Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

Wote wanaomnena vibaya JPM iwe kwa wazi au mioyoni mwao tu ni wale waliozoea kupiga na wenye vyeti fake na wasiofuata sheria!
Kwamba walijiingiza kazini wenyewe ?!. Alitakiwa awe mama yako akoswe na pension zake [emoji107]
 
Ujinga mtupu.
 
Well said kijana, naionea huruma Tz yangu tulikuwa tumeanza kupaa Sasa tumerudi tena ground
Kipindi cha Magufuli GDP ya Tanzania unajua iliongezeka kwa kiasi gani? kisha linganisha hiyo na kipindi cha Kikwete usisikilize sana propaganda za TBC
 
tunawezakuwa tunajadiri na kijana ambaye 2015 kushuka chini alikuwa hajazaliwa au hakuwa na ufahamu wa jambo lolote.

leo hii hayo uliyoorodhesha bado yapo,lakini sababu hutumii akili vizuri pia bado huwezi jua.
Dubwana lako limekufa, lilikuwa linajiona ni kubwa kuliko Tanzania, ila limekufa limeiacha Tanzania ipo salama kabisa. Shenzy type
 
Let me keep everything aside, what I know JPM was a real visionary leader, rest in pease Baba
 
Mwenyewe unajiona umeandiiiiiika
 
Hawa wapumbavu kila siku kututolea mifano ya Libya na China, as if ndio mataifa pekee yaliyoendelea, mbona wasitolee Korea na Singapore
 
Hapana. Aliyemuwahisha ahera ni Mungu mwenyewe,maana Mungu wa watanzania anachukia mtu mbabe, katili na asiye heshimu katiba aliyoapa kuilinda. Asante Mungu wa Tanzania kwa kuwa unatupenda waja wako.
 
JPM was kind of a leader.. Alikosea na Kuharibu reputation yake..
..Alipoendekeza ukabila.
..kuminya demokrasia
..kutotaka kosolewa
Kuna vitu alikuwa anafanya unaona kabisa ubongo una shida
 
sijui una umri gani kiongozi,ila wewe ni kati ya watu wazima wajinga sana.

nyinyi wazembe wachache ndio matokeo ya tz hii ilipo zaidi ya miaka 50 ya uhuru.
Mbona inaonekana kama wewe huko kama huyo uliyetumia lugha mbaya dhidhi yake, hayo maneno jiambie wewe
 
..Vyama vya siasa hupenda kupenyeza watu wao ktk vyama vya wafanyakazi, wanafunzi, etc etc.

..Sio jambo la ajabu chama cha kijani, au kile kingine, kuwa na interest na uchaguzi wa viongozi wa chama cha wafanyakazi.
Umejibu vyema sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…