Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Kosa lake ni kujifanya yeye ni MUNGU? Ndio akapigwa ban asikanyage Kaanani,japo iliniuma mussa hakutoboa kufika nchi ya ahadi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa lake ni kujifanya yeye ni MUNGU? Ndio akapigwa ban asikanyage Kaanani,japo iliniuma mussa hakutoboa kufika nchi ya ahadi.
Hahahah kweli bro. Kina stori nyingi sana za kusisimua. Kwa mfano ukisoma vizuri agano jipya kuna stori ya Yesu kumpenda Martha. Ukisoma juu juu hutaelewa ila ni kwamba Yesu alikuwa akimpenda Martha na ninadhani alikuwa demu wake. Martha alikuwa dada wa Lazaro yule aliyefufuliwa na Yesu. Pia alikuwa mdogo wake Mariam Magdalene. Na kwa mujibu wa maandiko Yesu alishawahi pigwa mawe na wanakijiji cha kina Lazaro akiwa kaenda huko kwa jambo ambalo halikuwekwa wazi. Na siku kafika kwa ajili ya kumfufua Lazaro hakumkuta Martha nyumbani ikabidi amuulizie dada yake kwamba Martha yuko wapi? Baada ya muda mfupi Martha akarudi home wakaenda faragha na Yesu na kuongea mambo yao. Baada ya hapo ndo likafuatia zoezi la kumfufua Lazaro.Nahuko kuchanganyikiwa ni sehemu ya ajenda ya walioandika hicho kitabu.
don't take it too serious bro.
kinamafundisho mengi na mazuri sana pia kina burudani kibao drama za kutosha.
japo iliniuma mussa hakutoboa kufika nchi ya ahadi.
hahahahaha
Ukinipiga kofi kushoto itabidi kama watu wazima tukae chini rushauriane wheelchair gani itakufaa.Agano la Kale ni Jino kwa Jino na Jicho kwa Jicho
Agano Jipya ni Upendo, ukipigwa kofi kushoto geuza kulia na usirudishe kofi, ukipokonywa koti mpe na shati, akikupora viatu mpe na soksi, akikuchojoa suruali msusie na boksa kabisa kisha baki uchi
Mbon inasemekana Yesu alikua na mahusiano na Maria Magdalena sio Martha? Alafu pia kuna yule mwanamke aliemuosha miguu kwa machozi yake, kuibusu miguu yake na kumpaka mafuta nyumbani kwa Zakayo mtoza ushuru, inasemekana alikua na mahusiano nae hapo vipi?Hahahah kweli bro. Kina stori nyingi sana za kusisimua. Kwa mfano ukisoma vizuri agano jipya kuna stori ya Yesu kumpenda Martha. Ukisoma juu juu hutaelewa ila ni kwamba Yesu alikuwa akimpenda Martha na ninadhani alikuwa demu wake. Martha alikuwa dada wa Lazaro yule aliyefufuliwa na Yesu. Pia alikuwa mdogo wake Mariam Magdalene. Na kwa mujibu wa maandiko Yesu alishawahi pigwa mawe na wanakijiji cha kina Lazaro akiwa kaenda huko kwa jambo ambalo halikuwekwa wazi. Na siku kafika kwa ajili ya kumfufua Lazaro hakumkuta Martha nyumbani ikabidi amuulizie dada yake kwamba Martha yuko wapi? Baada ya muda mfupi Martha akarudi home wakaenda faragha na Yesu na kuongea mambo yao. Baada ya hapo ndo likafuatia zoezi la kumfufua Lazaro.
no manKosa lake ni kujifanya yeye ni MUNGU? Ndio akapigwa ban asikanyage Kaanani,
Kaa mbali kabisa na Quran. Tusije laumiana huko mbeleni.Ukisoma Biblia , 2 Timotheo 2: 19 Mungu anasema yeye anawajua watu wake hata kabla hajaumba misingi ya ulimwengu.
Ukisoma tena Mathayo 22:14 Biblia inasema walioitwa ni wengi lakini wateule ni wachache.
Kwa msingi huo wewe unaweza ama inawezekana umeitwa tu, yaani umekuja tu Duniani lakini Mungu alishakukataa toka hujazaliwa, yaani kabla hata hajawaza kuumba Ulimwengu (Universe).
Kwa msingi huo ni kwamba unaweza kujikuta wewe ni reject from the beginning. Hata ufanyeje, wewe ni reject tu.
Kwa maneno hayo ya Biblia ni kwamba Mungu aliumba watu wengine kuja duniani kufurahisha na kupoteza muda, hawana chao mbinguni hata wafanyeje, yaani unaweza kujikuta unaomba na kulia machozi yote na hata kunena kwa lugha mungu akini hujibiwi maombi ni kwa sababu wewe ni reject muda mrefu maombi yako unapoteza muda bure
Wa maana nyingine unaweza kujikuta Mungu anakuangalia tu na kucheka na kusema huyu angejua anapoteza tu muda hapa, ananipigia kelele kwani tayari alishakukataa kabla hujaumbwa.
Unaweza kusema kwamba mungu aliumba hii dunia na watu kwa ghelesha tu lakini nia yake na mipango yake alishaipanga huko kabla Dunia haijaumbwa na huna cha kufanya kuibadilisha.
Kwa kuhitimisha ni kwamba hizi dini ni ghelesha tu, hazina maana yoyote kwani mungu alishafanya maamuzi yake kabla hata ya kuja hizi dini.
Sijataka kuongelea Quran maana ile ni worst case.
Agano la Kale hilo Mambo ya simulizi za Samson na Wafilisti,Ukinipiga kofi kushoto itabidi kama watu wazima tukae chini rushauriane wheelchair gani itakufaa.
Hapana. Mariam Magdalene alikuwa dada wa Martha ambaye ndo alikuwa anapendwa. Yule aliyemwosha miguu sina uhakika.Mbon inasemekana Yesu alikua na mahusiano na Maria Magdalena sio Martha? Alafu pia kuna yule mwanamke aliemuosha miguu kwa machozi yake, kuibusu miguu yake na kumpaka mafuta nyumbani kwa Zakayo mtoza ushuru, inasemekana alikua na mahusiano nae hapo vipi?
ha ha ha ha aisee mkuu haya mambo ?Mbon inasemekana Yesu alikua na mahusiano na Maria Magdalena sio Martha? Alafu pia kuna yule mwanamke aliemuosha miguu kwa machozi yake, kuibusu miguu yake na kumpaka mafuta nyumbani kwa Zakayo mtoza ushuru, inasemekana alikua na mahusiano nae hapo vipi?
Musa alipopasua mwamba ili utoe maji alijitapa km yeye ndie MUNGU, hapo ndio MUNGU akamwita chonjo akampiga ban usikanyage Kaanani wewe kule marufuku utaishia hapa hapa Jangwanino man
daah!
nakumbuka mungu wa kwenye bible alikuwa hatakagi utani?
Unakumbuka nin kilimkuta Miriam Baada yakuwa anasnitch, ana mdiss mussa kwa aaron ?
mkuu mbona kama vitisho.Kaa mbali kabisa na Quran. Tusije laumiana huko mbeleni.
Basi itakua wote Yesu alikua anawasuhuza tu, Ila Maria Magdalena hadi mapdrii/wachungaji wanajua ndie aliekua na mahusiano na Yesu maana alimtoa mapepo na baada ya kumtoa mapepo ndio mahusiano yao yalipoanzia hapo kwa hio Yesu akawa na mahusiano nae,Hapana. Mariam Magdalene alikuwa dada wa Martha ambaye ndo alikuwa anapendwa. Yule aliyemwosha miguu sina uhakika.
God gave Miriam Leprosy for talkn behind mosses back?Musa alipopasua mwamba ili utoe maji alijitapa km yeye ndie MUNGU, hapo ndio MUNGU akamwita chonjo akampiga ban usikanyage Kaanani wewe kule marufuku utaishia hapa hapa Jangwani
Quran hii inayotoa ahadi za mbunye Mbinguni ama nyingine? Hii iliyojaa ahadi za kitaahira kutoka kwa Allah ama nyingine? That's a shit of a book.Kaa mbali kabisa na Quran. Tusije laumiana huko mbeleni.
Alikua anamteta au sio?God gave Miriam Leprosy for talkn behind mosses back?
God was like. 'don't talk behind my boy's back " take prosy
man!Basi itakua wote Yesu alikua anawasuhuza tu, Ila Maria Magdalena hadi mapdrii/wachungaji wanajua ndie aliekua na mahusiano na Yesu maana alimtoa mapepo na baada ya kumtoa mapepo ndio mahusiano yao yalipoanzia hapo kwa hio Yesu akawa na mahusiano nae,
Kule Sweden jamaa kiongozi kabisa kaichoma Moto 🔥 mbele ya Camera na hajatoka hata majipu, nilipokua mtoto nilikua naambiwa ukichoma Qur'an utaota mapembe sijui na madudu gan mwilini, daaah dini vitishoQuran hii inayotoa ahadi za mbunye Mbinguni ama nyingine? Hii iliyojaa ahadi za kitaahira kutoka kwa Allah ama nyingine? That's a shit of a book.
Afu baadae akajakuwa banned to the promise land.Alikua anamteta au sio?
Mkuu?Kule Sweden jamaa kiongozi kabisa kaichoma Moto 🔥 mbele ya Camera na hajatoka hata majipu, nilipokua mtoto nilikua naambiwa ukichoma Qur'an utaota mapembe sijui na madudu gan mwilini, daaah dini vitisho
Ndo nimeshakuambia. Usije sema hukuambiwa.mkuu mbona kama vitisho.
what are you fighting for?