Kwa mujibu wa Biblia, unaweza kujikuta wewe ni mmoja ya watu ambao Mungu aliwakataa hata kabla hawajazaliwa

Kwa mujibu wa Biblia, unaweza kujikuta wewe ni mmoja ya watu ambao Mungu aliwakataa hata kabla hawajazaliwa

Basi itakua wote Yesu alikua anawasuhuza tu, Ila Maria Magdalena hadi mapdrii/wachungaji wanajua ndie aliekua na mahusiano na Yesu maana alimtoa mapepo na baada ya kumtoa mapepo ndio mahusiano yao yalipoanzia hapo kwa hio Yesu akawa na mahusiano nae,
Yohana 11

Basi mtu mmoja alikuwa hawezi, Lazaro wa Bethania, mwenyeji wa mji wa Mariamu na Martha, dada yake.
2 Ndiye Mariamu yule aliyempaka Bwana marhamu, akamfuta miguu kwa nywele zake, ambaye Lazaro nduguye alikuwa hawezi.
3 Basi wale maumbu wakatuma ujumbe kwake wakisema, Bwana, yeye umpendaye hawezi.
4 Naye Yesu aliposikia, alisema, Ugonjwa huu si wa mauti, bali ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu, ili Mwana wa Mungu atukuzwe kwa huo.
5 Naye Yesu alimpenda Martha na umbu lake na Lazaro.
6 Basi aliposikia ya kwamba hawezi, alikaa bado siku mbili pale pale alipokuwapo.
7 Kisha, baada ya hayo, akawaambia wanafunzi wake, Twendeni Uyahudi tena.
8 Wale wanafunzi wakamwambia, Rabi, juzijuzi tu Wayahudi walikuwa wakitafuta kukupiga kwa mawe, nawe unakwenda huko tena?
9 Yesu akajibu, Je! Saa za mchana si kumi na mbili? Mtu akienda mchana hajikwai; kwa sababu aiona nuru ya ulimwengu huu.
 
Kule Sweden jamaa kiongozi kabisa kaichoma Moto 🔥 mbele ya Camera na hajatoka hata majipu, nilipokua mtoto nilikua naambiwa ukichoma Qur'an utaota mapembe sijui na madudu gan mwilini, daaah dini vitisho
waafrica tunachukulia serious sana hizi dini!!!!! masikini pia wengi wetu hatuwezi kudecode siri nyingi na mafundisho yaliyomo kwenye baibo.
 
Mkuu?
hivi maamuzi gani yenye mungu wa biblia alifanya , ambayo yalikufanya umtilie shaka au kukushangaza?
Kuna kisa kimoja jamaa alilazimishwa kuoa mke wa kaka yake ili aendeleze kizazi cha kaka yake Ila yeye hakua anampenda na pia hakutaka kuendeleza kizazi cha kaka yake, basi akamuoa Ila walipokua wakifanya tendo alikua anamwaga chini

Mungu alipoona hivyo akamuua, anaitwa Onani

Mwanzo 38:9
 
Kuna kisa kimoja jamaa alilazimishwa kuoa mke wa kaka yake ili aendeleze kizazi cha kaka yake Ila yeye hakua anampenda na pia hakutaka kuendeleza kizazi cha kaka yake, basi akamuoa Ila walipokua wakifanya tendo alikua anamwaga chini

Mungu alipoona hivyo akamuua, anaitwa Onani

Mwanzo 38:9
hahahahahaha
jamaa anaitwa Onan kama sikosei.
 
waafrica tunachukulia serious sana hizi dini!!!!! masikini pia wengi wetu hatuwezi kudecode siri nyingi na mafundisho yaliyomo kwenye baibo.
Kweli mkuu baibo Ina Siri nyingi sana,
 
sanaa.
washika dini hawawezielewa kwasababu booom! wakizing'amua kunawatu ugali wao upo mashakani
😂 Kuna jamaa akawa anasema sasa dini ya baibo imekua biashara, ukiijua mistari miwili ya Matayo na ukajua kwenda nayo sawa unafungua kanisa lako ndio linakua kitega uchumi chako unakusanya sadaka tu
 
Yes Onani ndio MUNGU alimuua sababu jamaa alikua hataki kuzaa na shemeji yake,
ile ya mungu na sheta kumbetia AYUBU,


god was killing people to prove a point. me hapo mzee nikaanza kumfuatilia vema nimjue huyo white God ni nan?
 
😂 Kuna jamaa akawa anasema sasa dini ya baibo imekua biashara, ukiijua mistari miwili ya Matayo na ukajua kwenda nayo sawa unafungua kanisa lako ndio linakua kitega uchumi chako unakusanya sadaka tu
Niliwahi sema humu "we don't need preachers anymore , we need teachers " yesu hakuwa akiubili alikuwa anafundisha.
asilimia 100 wachungaji hawafuati mambo aliyokuwa anafanya yesu.
 
Hata kwenye uislam pia Mungu anakazia kuwa tuamini katika qadar maana yake kila linalotikea liwe zuri au baya yeye alishapanga liwe hivyo, so hakuna haja ya kutumia nguvu na maarifa kuepuka jambo fulani, kama alipanga liwe litakuwa na kama alipanga lisiwe halitakua. Hata dhambi ufanyazi pia alishapanga ufanye kwa hiyo usiwe na hofu.
 
Ndugu, sio matendo,
Kuna Kitu kinaitwa hatma,

Huyo anachosema ni KWELI,

Kuna vyombo vya ghadhabu na vile vya rehema vilishaga takasaswaga hata kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu
Warumi 9:11-18, Soma hio

Mambo hayajaanza Leo, hakuchagui Kwa matendo Yako,

Anaechagua hata kabla hujazaliwa na hujatenda chochote,


Hii inatufundisha Nini basi,

Funzo ni hili: Tusijivune Kwa matendo yetu ,kiburi Cha matendo kiburi Cha huduma kiburi Cha upako kumbe Wala mtu hauko kwenye listi yake

Acha MUNGU aitwe MUNGU tetemekea unapolisikia jina Hilo MUNGU.
 
Unachosema ni KWELI ,

Mimi wiki hii ya 2023,

Katika pita zangu kusoma biblia nikakutana na hayo unayoyazungumzia

Kuingia umu jamii forum nakutana na mtu ana zungumzia abaki za Esau na yakobo
Kuwa kwani MUNGU alimkataza Esau hata kabla hajazaliwa

Mtume Paulo ,anafanya ni Ili tuelewe jinsi anavyochagua staili yake ya kuchaguwa , sio ya matendo

Mambo yalishapangwaga hapa kinachoendelea ni kurasa za matukio yaliopangwagwa inapita Kama kurasa za kitabu kirichobeba stori nzima ya matukio ya Dunia yote.

Funzo ni hili : Hii ni Ili Tusijivune matendo na kujawa na kiburi Kwa ajiri ya matendo yetu.
 
KWA ninavyojua MUNGU ana sifa ya OMNIPOTENCE mwenye nguvu zote, omnipresence aliyeko kila mahali, alafu kuna omniscience anayejua kila kitu. Anafahamu kabla hata ya kuwepo tumboni mwa mama yako. Kwanini tusiseme kwamba kuanzia adamu anatenda dhambi mpaka kufikia DUNIA ilipo MUNGU alikuwa anafahamu itakuwa hivi? Jaman mimi huwa najiuliza tu ila naamini katika uwepo wa MUNGU. Naomba mwenye jibu anisaidie tuelimishane
Kuna watu mafungu mawili walishatengwa Kuna vyombo vya udongo vya ghadhabu ya moto na Kuna vile vyombo Mungu alivyo vifinyanga na kuviweka kwenye kundi la vyombo vya Rehema vyombo vilivyopatarehema nehema na huruma za Mungu .

Soma warumi 9 ,inamajibu

23.tena, ili audhihirishe wingi wa utukufu wake katika vile vyombo vya rehema, alivyovitengeneza tangu zamani vipate utukufu;
 
Masikini, umeshakataliwa na hujui, unapasuka sala kwa kwenda mbele, kumbe unapoteza muda. Huenda wale wanaomsujudu shetani wameshajua , wanafurahia maisha kwani wameshakataliwa Mbinguni.
 
Back
Top Bottom