residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Mkuu "tovarishch Vladimir Lenin ,hao wadada waliopewa kazi ya "kilainishi" hamna kitu kichwani, wao wanachojua ni kufunua madera tu na kuacha makufuki hadharani. Subiri kampeni zianze uone walivyokosa radhi.Nchi ya wapi, kwa sasa hakuna rais bali kuna wagombea wa urais, lijue hilo sister.
Hatuna Rais as of the moment, tunawagombea urais.Rais wa nchi akamjibu huyu kibara. Hivi mmeifanya taasisi ya urais kuwa dekio.
Du, kwa hiyo Sasa hivi serikali haiko madarakani? Nani ameshikiria nchi kwa Sasa? Kwa taarifa yako raisi anakoma kuwa raisi wa nchi hadi atakapoapishwa raisi mwingine.Nchi ya wapi, kwa sasa hakuna rais bali kuna wagombea wa urais, lijue hilo sister.
Mizombie ni mizombie tu....lissu kamuwekea pingamiz mgombea urais wa ccm na sio rais w jmt.nyambafu
Kwa hasira nilo nayo kwa huyu kibaraka hata saiz nikipewa bunduki namlipua haijalishi mengine tutajua mbele kwa mbele
Rais wa nchi akamjibu huyu kibara. Hivi mmeifanya taasisi ya urais kuwa dekio.
hahahhaha ..Ila tuache utani hapa cha arusha kinahusika[emoji16][emoji16]
Hatuna Rais as of the moment, tunawagombea urais.
Kwani yy kamwekea pingamizi rais au mgombea wa ccm?
Mkuu rais hawezi akagombea uraisRais wa nchi akamjibu huyu kibara. Hivi mmeifanya taasisi ya urais kuwa dekio.
Wewe uko na matatizo huoni hata kwa macho tu utofauti wa wanao Mzunguka Lissu na wanao mzunguka JPM. Ndio mnadanganywa na maandishi ya wabadamu yanayoitwa sheria. Saa nyingine wako binadamu hawana tofauti na hayawani.
Mkuu rais hawezi akagonbea urais
hiyo mtoto hatumwi dukaniKama Materazzi na Zidane, hadi Zizzou akapanick akaharibu game, world cup final
Kwahiyo akizungukwa na hao ndo anakuwa siyo mgombea wagombea wana haki sawa mbele ya sheria
Mkuu mapingamizi hayana uhusiano na focus Wala vision bali Sheria,umeifuata vipi sheria. Tafuta muda uwe unaenda kusikikiza kesi mahakamani, I believe itakusaidiaPingamizi hazina maana kabisa hii na kijinga tu, hivi focus ya CDM ni ndogo hivi?