Hakuna mchezo hapo! Issue serous ya mauaji na utekaji wa watu iwe issue ya kuhamisha ajenda kweli? Hakuna mtu anamtaka huyu Mama yenu hata CCM hawamtaki sema wanajua wakisema kuna kisanga! Pambaneni na Gwajima!Soma uzuri kabla ya kupayuka bila kufikiri. Mbona Gwajima na anayemtuhumu lao moja au hujui haya ni machezo kuelekea uchaguzi?
1: Mm ni mmojawapo wa wale ambao sijauamini huu mchongo wa Gwajima.
2: Inshu yake imekuja kwa kuchelewa sana.
3: Kwanini wakati huu? Miezi kadhaa kuelekea uchaguzi mkuu. Ni kweli tumesahau propaganda za hawa jamaa?
4: Ziko agenda muhimu sana zilizokuwa zinaendelea kabla ya hili jambo, lakini cha ajabu, tumeacha kuimba wimbo wetu na sasa tunampambania Gwajima🤔
5: Hivi tukiwaacha waparurane wao kwa wao mpaka watakapoishia, sisi tutapungukiwa nini?
6: Sikuona sana wanashadadia majibizano ya G55 na Chadema, bali waligusia kwa mbali huku wakiendelea na agenda zao.
7: Hawa ni mabingwa wa kuandaa mambo, tena kupitia watu tusiotarajia ila tunaowaamini. Tukizolewa na upepo mpaka tuje turejee huwa wameshapitisha mambo yao au wameshatuchelewesha kwa baadhi ya mambo yetu muhimu cause tuliacha yetu tukafata yao😀
8: Kwani, Gwajima kama Askofu, kwanini anatishia kusema ukweli kwa kuwataja watekaji na badala yake anarefusha mambo? Nimemtaja kama Askofu kwa cheo chake ambacho kinamtaka Daima kusema kweli, maana kuusema ukweli ndani ya chama sio rahisi. (Yohane aliusema ukweli mbele ya Herode na ukweli huo ukamgharimu maisha yake) Askofu wetu Gwajima hawezi kuifia kweli anayoihubiri kanisani?
9: Watekaji amewajua hivi karibuni? Alikuwa wapi kukemea utekaji tangu habari za utekaji zilipoanza kusikika na kushamili kwa kasi?
10: Ameona hakuna uwezekano wa kurudi Bungeni hivyo kaona atishie nyau ili wamrudishe kwenye mchakato? Yeye anajijua hakuwa wao, nao wanamjua hakuwa mtu wao (hata juzi wamemtaja kutomtambua). Nawasihi hata Chauma wasimpokee.
Unafikiri hana cia watch closely pengine na satelite inamfata kila apitapo tunasubiri watu wajiweke uchi.Dawa yake ni kutembea na walinzi waliobeba Glocks.
Unadhani ubunge ndio force iliyofanya gwaji azungumze hayo? Kama ni hivyo si angenyamaza basi na kusifia kama ponjoro ili mwakani arudi bungeni.1: Mm ni mmojawapo wa wale ambao sijauamini huu mchongo wa Gwajima.
2: Inshu yake imekuja kwa kuchelewa sana.
3: Kwanini wakati huu? Miezi kadhaa kuelekea uchaguzi mkuu. Ni kweli tumesahau propaganda za hawa jamaa?
4: Ziko agenda muhimu sana zilizokuwa zinaendelea kabla ya hili jambo, lakini cha ajabu, tumeacha kuimba wimbo wetu na sasa tunampambania Gwajima🤔
5: Hivi tukiwaacha waparurane wao kwa wao mpaka watakapoishia, sisi tutapungukiwa nini?
6: Sikuona sana wanashadadia majibizano ya G55 na Chadema, bali waligusia kwa mbali huku wakiendelea na agenda zao.
7: Hawa ni mabingwa wa kuandaa mambo, tena kupitia watu tusiotarajia ila tunaowaamini. Tukizolewa na upepo mpaka tuje turejee huwa wameshapitisha mambo yao au wameshatuchelewesha kwa baadhi ya mambo yetu muhimu cause tuliacha yetu tukafata yao😀
8: Kwani, Gwajima kama Askofu, kwanini anatishia kusema ukweli kwa kuwataja watekaji na badala yake anarefusha mambo? Nimemtaja kama Askofu kwa cheo chake ambacho kinamtaka Daima kusema kweli, maana kuusema ukweli ndani ya chama sio rahisi. (Yohane aliusema ukweli mbele ya Herode na ukweli huo ukamgharimu maisha yake) Askofu wetu Gwajima hawezi kuifia kweli anayoihubiri kanisani?
9: Watekaji amewajua hivi karibuni? Alikuwa wapi kukemea utekaji tangu habari za utekaji zilipoanza kusikika na kushamili kwa kasi?
10: Ameona hakuna uwezekano wa kurudi Bungeni hivyo kaona atishie nyau ili wamrudishe kwenye mchakato? Yeye anajijua hakuwa wao, nao wanamjua hakuwa mtu wao (hata juzi wamemtaja kutomtambua). Nawasihi hata Chauma wasimpokee.
Ukimgusa Samia, Mchengelwa hakuachi.Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika.
Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .
Hazijibiki!zinajibiwa Kwa kumpoteza! Pasco mayala alionya kuhusu haya yote!!Kwanini wasijibu HOJA za Gwajima?!
Amekuambia?Nijuacho, Gwajima atajiteka au kujitekesha ili apate sympathy ya umma.
Hivi ni Rais gani duniani anaeweza kutishiwa na kelele za huyooo huyooo mchinjeee mchinjeee atakufa mwaka huu 2025, nimeoteshwa atakufa? Rais mwenye vyanzo vyote vya taarifa na nguvu zote za Dola?Hakuna mchezo hapo! Issue serous ya mauaji na utekaji wa watu iwe issue ya kuhamisha ajenda kweli? Hakuna mtu anamtaka huyu Mama yenu hata CCM hawamtaki sema wanajua wakisema kuna kisanga! Pambaneni na Gwajima!
Wapare hawajawahi kutoa manguli wa harakati... hao jamaa ni taka.taka kabisa.... wanaharakati wa maana ni wanyakyusa na wakurya hilo halina ubishani..Mbona hueleweki? Wewe si kila SIKU unawasifu hapa mpaka Mimi nakuita mpare mjinga.
Kwa akina Azori walitekwa awamu hii? Zile maiti zilizokuwa zinakutwa fukweni kwenye mifuko Ya sandarusi ilikuwa ni awamu hii ya Mama? Gwajima hakuwepo, mbona alikuwa kimyaa?Wakosoaji kila siku wanaibuka wapya..
Huyu ni chawa wa kujitegemeaWewe mbona hueleweki upo upande gani? Au siku usipopewa buku Saba hapo Lumumba unawageuka sisiem wenzio? Wewe sisiem maslahi?
Kila siku humu tunaona michango yako ukienda kinyume na wapenda haki dhidi ya madhalimu sisiem. Now nini kimekupata?
Dira ya CCM ni ujamaa na kujitegemea. Kariba yao na Katiba ya Tanzania imenakiliwa (borrow a leaf) kutoka kwenye katiba za China, NKorea na Soviet. Kwani huko China, NKorea na Soviet Kuna demokrasia kiasi Gani? Hii ndivyo ilivyo!!!Ukimgusa Samia, Mchengelwa hakuachi.
Mchengelwa ni kama Bashite wa enzi za Magufuli.
Watu sijui akili zao zikoje sasa haya ma ccm yashindwe kumteka Gwajima kwani yeye ana exception gan zaidKama walifanikiwa kwa Kitima,Gwajima ni cha mtoto
CCM haijawahi kushindwa
Ata mii niliwaza ivyooNijuacho, Gwajima atajiteka au kujitekesha ili apate sympathy ya umma.
Shida ni Moja tu, watu kupotea walipotea kwenye awamu zote,, akina Kambona na Ibrahim Babu walikimbia kwa kuhofia kupotea, akina kombe walipotea huko nyuma. Wakosoaji wetu uchwara wanataka kusema na kutuaminisha kuwa Samia ndiye anaepoteza watu. Hiyo ni propaganda yenye malengo tofauti kabisaaa.Hazijibiki!zinajibiwa Kwa kumpoteza! Pasco mayala alionya kuhusu haya yote!!
Nadhani serikali ianze upya usajili wa makanisa na misikiti ili tuchunje ipi ipate vibali. Tuzibe nyufa mapemaaa kabla makundi hayajakiwa makubwa kama ya NRA, March 23, alshabab, Al-qaida, Boko Haram, interahamweAta mii niliwaza ivyoo