Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mpaka miaka 10 ya Samia ipite mtashikwa na vidonge vya tumbo sugu, nyie wanafiki, mnasahau Makonda, Mnyeti na Sabaya walivyokuwa mabilionea kisa kuchaguliwa kuwa RC au DC leo mnapata wapi ujasiri wa kumkosoa Samia?Awamu hii watu woote wenye ukaribu na msoga ndio wanaoitafuna nchi...jk mwenyewe kila leo anadaka mwewe huyoo ulaya kutafuna kodi zetu
Enzi za jiwe muda woote yupo msoga analima mananasi na kucheza bao!
100%Unakubaliana naye?
ndio maana huwa nawambia humu kila siku sitakio kuona nguruwe anasema sijui lissu,sijui mbowe wamelamba asali sijui nini kama mnaona wamelamba asali wambieni mamazenu ambao hawajalamba asali wawapiganie.Watangulize mke/mume wako na watoto wako[emoji16]
malamba asali yatapinga maana yanajua yananufaika na mfumo uliopo.Hakika. Akiweza aongeze na majirani zake kama watakubali.
goigoi hili.Mawazo yako yamelewa kangala. Andamana wewe na wanao..
goigoiUandamane wewe na watoto wako kwanza. Si ajabu wewe siyo Mtanzania. Sisi watanzania tuna hulka yetu siyo kama unavyofikiri.
Umeandika ujinga mwingi sana. Sjui neno "vyuma vimekaza" kiliibuka wakati gani? Yule alikuwa muhimu tu, haiwezekani mbolea niagize kutoka nje halafu ninachovuna nisiuze nje. Yule alivuruga masoko ndio maana gunia la mahindi lilikuwa aftatu. Guys, so far Samia is better than he and taking your country to the right path. Fanyeni kazi, zalisha uone kama utalalmika.Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.
Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.
Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.
Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Kangala imemleweshaNANI ANAYAITISHA WEWE AU NANI?
Unatumia makalio kufikiriaUmeandika ujinga mwingi sana. Sjui neno "vyuma vimekaza" kiliibuka wakati gani? Yule alikuwa muhimu tu, haiwezekani mbolea niagize kutoka nje halafu ninachovuna nisiuze nje. Yule alivuruga masoko ndio maana gunia la mahindi lilikuwa aftatu. Guys, so far Samia is better than he and taking your country to the right path. Fanyeni kazi, zalisha uone kama utalalmika.
Ubongo wako umejaa mavindio maana huwa nawambia humu kila siku sitakio kuona nguruwe anasema sijui lissu,sijui mbowe wamelamba asali sijui nini kama mnaona wamelamba asali wambieni mamazenu ambao hawajalamba asali wawapiganie.
Sema ni wewe siyo watanzania. Sisi tuna akili zetuThis is perfect term for all these cretinous animals called Tanzanians
Kweli kabsa ni mazuzuz kweli kweli yaan sijui tupoje nchi imepooza kama mingesKuna Rais mmoja nimemsahau Jina pamoja ns nchi yake nimeisahau pia ( sasa Mstaafu ) alipewa Makavu ( aliambiwa ) na Rais Kagame wa Rwanda kuwa anaongoza Maiti tupu akimaanisha Mizuzu / Migoigoi isiyojielewa.
Naona unacheua Manguree na Busaa muda huu, upo kijiwe gani. Mfumuko wa bei ni kwa dunia nzima.Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.
Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.
Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.
Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Nakerekwa na nchi na watu wa Tanzania!nachukia nachukia waTanzania walaaniweWatu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.
Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.
Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.
Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.