Kwa namna Serikali ya Rais Samia ilivyoshindwa kuwatumikia Watanzania maandamano kama ya Kenya yalipaswa kuitishwa mara moja

Awamu hii watu woote wenye ukaribu na msoga ndio wanaoitafuna nchi...jk mwenyewe kila leo anadaka mwewe huyoo ulaya kutafuna kodi zetu
Enzi za jiwe muda woote yupo msoga analima mananasi na kucheza bao!
Mpaka miaka 10 ya Samia ipite mtashikwa na vidonge vya tumbo sugu, nyie wanafiki, mnasahau Makonda, Mnyeti na Sabaya walivyokuwa mabilionea kisa kuchaguliwa kuwa RC au DC leo mnapata wapi ujasiri wa kumkosoa Samia?
 
Watangulize mke/mume wako na watoto wako[emoji16]
ndio maana huwa nawambia humu kila siku sitakio kuona nguruwe anasema sijui lissu,sijui mbowe wamelamba asali sijui nini kama mnaona wamelamba asali wambieni mamazenu ambao hawajalamba asali wawapiganie.
 
Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.

Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.

Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.

Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Umeandika ujinga mwingi sana. Sjui neno "vyuma vimekaza" kiliibuka wakati gani? Yule alikuwa muhimu tu, haiwezekani mbolea niagize kutoka nje halafu ninachovuna nisiuze nje. Yule alivuruga masoko ndio maana gunia la mahindi lilikuwa aftatu. Guys, so far Samia is better than he and taking your country to the right path. Fanyeni kazi, zalisha uone kama utalalmika.
 
Unatumia makalio kufikiria
 
ndio maana huwa nawambia humu kila siku sitakio kuona nguruwe anasema sijui lissu,sijui mbowe wamelamba asali sijui nini kama mnaona wamelamba asali wambieni mamazenu ambao hawajalamba asali wawapiganie.
Ubongo wako umejaa mavi
 
Fanya maandamano wewe, mkeo na wanao chumbani kwako mnazunguka kitanda.
 
Kuna Rais mmoja nimemsahau Jina pamoja ns nchi yake nimeisahau pia ( sasa Mstaafu ) alipewa Makavu ( aliambiwa ) na Rais Kagame wa Rwanda kuwa anaongoza Maiti tupu akimaanisha Mizuzu / Migoigoi isiyojielewa.
Kweli kabsa ni mazuzuz kweli kweli yaan sijui tupoje nchi imepooza kama minges
 
Hao chadema mliokuwa mnawategemea waitishe maandamano wamewasaliti tayari na sasa wako bize kumlinda mama kwa kumchafua magufuli
 
Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.

Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.

Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.

Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Naona unacheua Manguree na Busaa muda huu, upo kijiwe gani. Mfumuko wa bei ni kwa dunia nzima.

Kenya kuandamana kwao ni suala la mtambuka sio kama unavyowaza wewe kirahisi rahisi hivyo.

Siasa za Kenya ni zaidi ya uwazavyo wewe.
 
Hapanaaaa hapanaa namimi nimesubili kulamba asali hapo dodoma kuanzia tarehe 27 mwezi wa tano tusiharibiane mkuu
 
Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.

Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.

Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.

Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Nakerekwa na nchi na watu wa Tanzania!nachukia nachukia waTanzania walaaniwe
 
Hao mchele waliosema unaagizwa toka nje mpaka leo haijafika na ungeweza kustablize bei ya mchele ambayo imewanya aslimia 99 ya watz waone wali kama chakula cha anasa.Huo mchele ungekuja mapema na kuingizwa sokoni mapema usingeleta shida hata wakulima wetu watakapovuna wa mashambani mwezi wa nne na wa tano.Lakini nani anahaki kwenye nchi hii
 
Back
Top Bottom