Tumekuwa Donor country chini ya utawala wa Mama Maridhiano![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.
Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.
Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.
Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Labda amejifungia ndani hajui kinachoendelea huko duniano.Mfumuko wa bei uko duniani nzima, sasa unadhani ukiandamana ndio bei zitashuka?
KabisaWatu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.
Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.
Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.
Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Nini jitihada za serikali ..mfano kupunguza matumiziMfumuko wa bei uko duniani nzima, sasa unadhani ukiandamana ndio bei zitashuka?
Kenya wana msingi wa katiba , ndo sababu maandamano yananoga,Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.
Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.
Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.
Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Acha kuhadaa Watanzania usitumie uhuru ulioupata vibaya. Fanya kazi Mungu atabariki kazi ya Mikono yako. Kabala ya kuilalamikia serikaji. Wewe fikiria kwanza unaifanyia nini au umeweza kuifanyia nini.
Akina Bill Gate, Elon , Mark, Steve Jobs Hawakuwahi kuajiriwa.
Please hebu tufikiri tofauti. Tufanye changamoto kuwa fursa. Hakuna serikali inayowatumikia wananchi hata siku moja. Ukisikia hayo ni mambo ya kisiasa. Wewe mwananchi ndo unatakiwa uitumikie Serikali kwa kulipa kodi. Then kodi yako ndo itengeneze miundombinu wezeshi.
We fikiria katika watanzania milioni 62 wanaolipa kodi hawazidi Milioni 3. Hivyo watu milion 59 wahudumiwe na milioni 3.
Fanya maandamano wewe, mkeo na wanao chumbani kwako mnazunguka kitanda.
Ukame ndio umesababisha bei za vyakula kupanda japo simkubali huyo bimkubwa ila Kwa hili unamsingiziaWatu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.
Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.
Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.
Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Tatizo la kushinda vijiweni badala ya kupambana na maishaMfumuko wa bei uko duniani nzima, sasa unadhani ukiandamana ndio bei zitashuka?
Ana mke/watoto? Tuanzie hapo kwanzaWatangulize mke/mume wako na watoto wako[emoji16]
Fanya kazi Kwa bidii utalamba asali tu nchi inatiririsha maziwa na asali hii ni bidii yako tu usitarajie serikali itakuja kukuwekea fedha mfukoniCHAWA WA MAMA wamekujibu ipasavyo, unataka washindwe kulamba asali vizuri kwa heka heka za maandamano?
Andamana wewe na familia yako.Samia piga kazi mamaWatu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.
Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.
Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.
Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Fanyeni kazi acheni uzwazwa nyie msiyopenda kujishughulisha ndio huwa mnaolialia hata mkilala njaa mnailalamikia serikali mkinyimwa unyumba mnailalamikia serikali mkiishiwa mnailalamikia serikaliNinaita wazalendo wote na raia wema wote wenye nia njema na Tanzania tujikusanye kwa ajili ya maandamano kupinga yale yanayoendelea hapa nchini.
Yapi hayo umeondolewa kwenye nafasi yako unatuingiza na sisi kwenye ujinga wakoNinaita wazalendo wote na raia wema wote wenye nia njema na Tanzania tujikusanye kwa ajili ya maandamano kupinga yale yanayoendelea hapa nchini.
Kama ulishindwa kutajirika enzi za huyo umpendaye ndio imekula kwako hivyo fanya kazi Kwa bidii hakuna vya bure, hivi kipindi anagawa fedha Barabarani hukufanikiwa kupata mgao?Awamu hii watu woote wenye ukaribu na msoga ndio wanaoitafuna nchi...jk mwenyewe kila leo anadaka mwewe huyoo ulaya kutafuna kodi zetu
Enzi za jiwe muda woote yupo msoga analima mananasi na kucheza bao!
Dadeq[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm n familia yangu ametutendea mema mpk sasa. Sijui wakulima nao
View attachment 2566035
Kalime wewe wa kwako uje kuuza hiyo bei kwani umezuiwaUmetumia gharama gani hapo zaidi ya kukaza makalio na kupiga jembe? Ulitakiwa uuze kilo moja sh 800