Kwa namna Serikali ya Rais Samia ilivyoshindwa kuwatumikia Watanzania maandamano kama ya Kenya yalipaswa kuitishwa mara moja

Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.

Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.

Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.

Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Tumekuwa Donor country chini ya utawala wa Mama Maridhiano![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Samia kakupa jeuri ya kusema hadharani upendavyo. Hukua na jeuri kama hii miaka miwili iliyopita. Enjoy freedom brother! HUYO ndie Samia. She is the voice of the voiceless! Long live MAMA!
 
Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.

Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.

Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.

Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Kabisa
 
Kenya wana msingi wa katiba , ndo sababu maandamano yananoga,
Mamlaka ya mawasiliano ilitishia vyombo vya habari kwa kurusha maandamano live, lakini mahakama imetengua hilo,
Kesho maandamano live kama kawa , na polisi hawana cha kuzuia maana kibali cha kuandamana ni mara mbili kwa wiki, hii ni nguvu ya katiba
 
Acha kuhadaa Watanzania usitumie uhuru ulioupata vibaya. Fanya kazi Mungu atabariki kazi ya Mikono yako. Kabala ya kuilalamikia serikaji. Wewe fikiria kwanza unaifanyia nini au umeweza kuifanyia nini.

Akina Bill Gate, Elon , Mark, Steve Jobs Hawakuwahi kuajiriwa.

Please hebu tufikiri tofauti. Tufanye changamoto kuwa fursa. Hakuna serikali inayowatumikia wananchi hata siku moja. Ukisikia hayo ni mambo ya kisiasa. Wewe mwananchi ndo unatakiwa uitumikie Serikali kwa kulipa kodi. Then kodi yako ndo itengeneze miundombinu wezeshi.

We fikiria katika watanzania milioni 62 wanaolipa kodi hawazidi Milioni 3. Hivyo watu milion 59 wahudumiwe na milioni 3.

Ona hili Jinga. unajikuta unaongea point kumbe unaongea mavi, maaavi kinyesi kitupu

Hopeless
 
Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.

Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.

Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.

Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Ukame ndio umesababisha bei za vyakula kupanda japo simkubali huyo bimkubwa ila Kwa hili unamsingizia
 
CHAWA WA MAMA wamekujibu ipasavyo, unataka washindwe kulamba asali vizuri kwa heka heka za maandamano?
Fanya kazi Kwa bidii utalamba asali tu nchi inatiririsha maziwa na asali hii ni bidii yako tu usitarajie serikali itakuja kukuwekea fedha mfukoni
 
Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.

Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.

Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.

Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Andamana wewe na familia yako.Samia piga kazi mama
 
Ninaita wazalendo wote na raia wema wote wenye nia njema na Tanzania tujikusanye kwa ajili ya maandamano kupinga yale yanayoendelea hapa nchini.
Fanyeni kazi acheni uzwazwa nyie msiyopenda kujishughulisha ndio huwa mnaolialia hata mkilala njaa mnailalamikia serikali mkinyimwa unyumba mnailalamikia serikali mkiishiwa mnailalamikia serikali
 
Ninaita wazalendo wote na raia wema wote wenye nia njema na Tanzania tujikusanye kwa ajili ya maandamano kupinga yale yanayoendelea hapa nchini.
Yapi hayo umeondolewa kwenye nafasi yako unatuingiza na sisi kwenye ujinga wako
 
Awamu hii watu woote wenye ukaribu na msoga ndio wanaoitafuna nchi...jk mwenyewe kila leo anadaka mwewe huyoo ulaya kutafuna kodi zetu
Enzi za jiwe muda woote yupo msoga analima mananasi na kucheza bao!
Kama ulishindwa kutajirika enzi za huyo umpendaye ndio imekula kwako hivyo fanya kazi Kwa bidii hakuna vya bure, hivi kipindi anagawa fedha Barabarani hukufanikiwa kupata mgao?
 
Back
Top Bottom