Acha kuhadaa Watanzania usitumie uhuru ulioupata vibaya. Fanya kazi Mungu atabariki kazi ya Mikono yako. Kabala ya kuilalamikia serikaji. Wewe fikiria kwanza unaifanyia nini au umeweza kuifanyia nini.
Akina Bill Gate, Elon , Mark, Steve Jobs Hawakuwahi kuajiriwa.
Please hebu tufikiri tofauti. Tufanye changamoto kuwa fursa. Hakuna serikali inayowatumikia wananchi hata siku moja. Ukisikia hayo ni mambo ya kisiasa. Wewe mwananchi ndo unatakiwa uitumikie Serikali kwa kulipa kodi. Then kodi yako ndo itengeneze miundombinu wezeshi.
We fikiria katika watanzania milioni 62 wanaolipa kodi hawazidi Milioni 3. Hivyo watu milion 59 wahudumiwe na milioni 3.