Kwa namna Serikali ya Rais Samia ilivyoshindwa kuwatumikia Watanzania maandamano kama ya Kenya yalipaswa kuitishwa mara moja

Awamu hii watu woote wenye ukaribu na msoga ndio wanaoitafuna nchi...jk mwenyewe kila leo anadaka mwewe huyoo ulaya kutafuna kodi zetu
Enzi za jiwe muda woote yupo msoga analima mananasi na kucheza bao!
 
Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.

Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.

Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.

Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Nikajua umeshaitisha kumbe uko jf kuchat 😁😁

Looser ni looser tuu.
 
Mm n familia yangu ametutendea mema mpk sasa. Sijui wakulima nao
Screenshot_20230316-005649_Facebook.jpg
 
Ingia barabarani ufunzwe adabu..AMANI ni kitu muhimu sana Kwa taifa
 
Uishi miaka mingi Mama
Gunia la mahindi 150000
Huu ni ushindi mkubwa hata alielima kidogo
 
Ulitaka wakulima wa mpunga wasipate hela we vipi bhana
 
Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.

Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.

Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.

Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Acha kuhadaa Watanzania usitumie uhuru ulioupata vibaya. Fanya kazi Mungu atabariki kazi ya Mikono yako. Kabala ya kuilalamikia serikaji. Wewe fikiria kwanza unaifanyia nini au umeweza kuifanyia nini.

Akina Bill Gate, Elon , Mark, Steve Jobs Hawakuwahi kuajiriwa.

Please hebu tufikiri tofauti. Tufanye changamoto kuwa fursa. Hakuna serikali inayowatumikia wananchi hata siku moja. Ukisikia hayo ni mambo ya kisiasa. Wewe mwananchi ndo unatakiwa uitumikie Serikali kwa kulipa kodi. Then kodi yako ndo itengeneze miundombinu wezeshi.

We fikiria katika watanzania milioni 62 wanaolipa kodi hawazidi Milioni 3. Hivyo watu milion 59 wahudumiwe na milioni 3.
 
Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.

Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.

Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.

Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Ungeanza wewe hasa kipind kile wahanga wa tetemeko kagera wanaporwa misaada yao!! Ilitakiwa uanzishe maandamano ukiwa mstari wa mbele kbs!!
 
Tunazimudu hizo bei pia tutajiongeza msimu wa mavuno tuweke akiba ya kutosha.

Jisemee nafsi yako, wewe na nani unazimudu hizo bei??, wewe utakuwa ni mfanyabiashara wa mahindi na mchele unapigia debe biashara yako huku wananchi tuliowengi tukiumia kwa vyakula muhimu kupanda bei.
 
Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.

Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.

Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.

Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Nyie Sukuma Gang mlitaka Magufuli aue waliokuwa wanataka kuandamana, leo mnaunga mkono maandamano?
 
Si wanajinasibu kuwa wanachakula cha kutosha kwenye maghala ya Serikali.

Kuna wakati ukiilalamikia Serikali unaitwa kuwa ni 'team Magufuli'.
 
We jikite kwenye kilimo. Kaza makalio piga jembe. Je Mvuvi akikuuzia samaki Sh 30000 utafurahi? Pumbavu
Chekecha akili mtoto wa kiume sio kuja mtandaoni kulia lia usitegemee serikali ikutajirishe wakati wewe upo upo tu
Jinga kabisa
 
Back
Top Bottom