Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikajua umeshaitisha kumbe uko jf kuchat 😁😁Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.
Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.
Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.
Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Umetumia gharama gani hapo zaidi ya kukaza makalio na kupiga jembe? Ulitakiwa uuze kilo moja sh 800Mm n familia yangu ametutendea mema mpk sasa. Sijui wakulima nao
View attachment 2566035
Acha kuhadaa Watanzania usitumie uhuru ulioupata vibaya. Fanya kazi Mungu atabariki kazi ya Mikono yako. Kabala ya kuilalamikia serikaji. Wewe fikiria kwanza unaifanyia nini au umeweza kuifanyia nini.Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.
Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.
Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.
Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Ungeanza wewe hasa kipind kile wahanga wa tetemeko kagera wanaporwa misaada yao!! Ilitakiwa uanzishe maandamano ukiwa mstari wa mbele kbs!!Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.
Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.
Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.
Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
We jinga kabisa wewe si ukakaze makalio yako na wewe uvuneUmetumia gharama gani hapo zaidi ya kukaza makalio na kupiga jembe? Ulitakiwa uuze kilo moja sh 800
We jikite kwenye kilimo. Kaza makalio piga jembe. Je Mvuvi akikuuzia samaki Sh 30000 utafurahi? PumbavuWe jinga kabisa wewe si ukakaze makalio yako na wewe uvune
Tunazimudu hizo bei pia tutajiongeza msimu wa mavuno tuweke akiba ya kutosha.
Ninaita wazalendo wote na raia wema wote wenye nia njema na Tanzania tujikusanye kwa ajili ya maandamano kupinga yale yanayoendelea hapa nchini.
Hakuna maandamano yeyote Yale duniani yasiyokuwa na kiongozi...
Sasa nani atuongoze kwenye hayo maandamano??
Unakosa weledi mkuu, Hili jukwa linahitaji hoja na si matusi. Mtu anaetumia matusi huwa nakuwa na mashaka nae kwenye kufikiriUmepost uharo
Nyie Sukuma Gang mlitaka Magufuli aue waliokuwa wanataka kuandamana, leo mnaunga mkono maandamano?Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.
Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende.
Watanzania wanatakiwa kujua kuwa ukombozi wa matatizo yao upo mikononi mwao. Sio kwa ngonjera za wanasiasa wanaofurahisha mabeberu kwa manufaa yao.
Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga huu uduwanzi wa kisiasa.
Chekecha akili mtoto wa kiume sio kuja mtandaoni kulia lia usitegemee serikali ikutajirishe wakati wewe upo upo tuWe jikite kwenye kilimo. Kaza makalio piga jembe. Je Mvuvi akikuuzia samaki Sh 30000 utafurahi? Pumbavu