😗😂😂😂Yaani anahujumiwa vipi wakati kapangua kila kitu na ameunda timu yake. Si huyu huyu aliyesema mashine zimetumika mfululizo kwa hiyo ye alipoingia tu zikafa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😗😂😂😂Yaani anahujumiwa vipi wakati kapangua kila kitu na ameunda timu yake. Si huyu huyu aliyesema mashine zimetumika mfululizo kwa hiyo ye alipoingia tu zikafa.
Mbona kapewa muda mfupi tu,makelele ya magenerator yanasumbua mbaya sana mjini.Miaka 4 nyuma hatukuwahi kusikia hayo makelele.Ama kweli mtanikumbuka.Mkuu mbona unataka kumkaanga JM, mtu hata miezi mitatu bado hajaimaliza kwenye hiyo nafasi tayari amekuwa sumukuvu? Tumpe nafasi manake naona ana vitu anavitayarisha na siku vikikamilika atatuvusha.
Angelikuwa nalo ungetaja hata moja basi!Umeujaza chuki moyo wako, unafikiria kuna hata jema lake ukiambiwa utalielewa?
Hiyo upstairs unayoisema amefanya nini? Watu wanataka matokeo sio uelewa.Ukiona maadui wanakuzonga sana ujue umewapiga,Makamba ni Kiongozi smart sana upstairs
Hata wewe uteuliwe sio huyo,Ni nani huyo mnae mtaka aje achukue nafasi yake?
MIMINi nani huyo mnae mtaka aje achukue nafasi yake?
Achana na mlamba viatu wa Septemba LuleYaani hapa inaonekana no jinsi gani ulivyo kiazi. Hivi ni wapi pameandikwa , tu akijiunga leo hapaswi kuanzisha uzi?
Kama anataka kwa rais wa maisha aimarishe vyombo vya usalama na tume, wengine wanampotezea tuning tuKatika vitu ambavyo huyu mama ataviepuka ni kutumbua watu aliowateua yeye. Sababu ye anaamini akiwatengua itaonyesha ni udhaifu wake yeye aliyeteua, ikumbukwe ameshaonekana ana mapungufu. Atabaki kutumbua watu wa mtangulizi wake tu. Pia hawa anaowateua wengi ni mkakati kwa ajili ya 2025.
Sijui wewe na ukoo wako mtakuaje. Kama makamba unamwona smart upstairs.nyie mtakuwaje sijui downstairs.Ukiona maadui wanakuzonga sana ujue umewapiga,Makamba ni Kiongozi smart sana upstairs
Kwahiyo eat sperm ndio anatembea na mkasi wa kukata nyaya za umeme ukatike ili amkomoe waziri wa taa na maji baridiNyie wapuuzi kutwa mnamtukana Samia kwa kutumwa na Kalle manii , nyie mna chuki tangu huyo mtu wenu afutwe uwaziri, Wala hamna Nia njema na Rais wapuuzi nyie,huo ushauri wenu pelekeni Chato wajinga wakubwa !!
Katika watu milion sitini plus hakuna tofauti na makamba?Ni nani huyo mnae mtaka aje achukue nafasi yake?
Huwa nasema ukishakuwa ccm na akili zinatokaUkiona maadui wanakuzonga sana ujue umewapiga,Makamba ni Kiongozi smart sana upstairs
Ndo uyataje hayo mema yako aliyoyafanyia tzUmeujaza chuki moyo wako, unafikiria kuna hata jema lake ukiambiwa utalielewa?
Sasa mkuu nani mwenye dhamana na maji baridi, bisi, U fresh, kipupwe ndani ya house, kuchomea mageti n.k ni fundi wa wiring, anayedandia nguzo au anaanza na neno Mh spika?Mtoa Mada kwani waziri ni fundi wa Tanesco? Kwanini unashindwa kuwa reasoning kwenye mfumo kazi wa Tanesco mpaka uone waziri pekee ndiye anayeweza kuzuia hitilafu ya umeme?" Ina maana hata umeme ukikatika mtaani kwako utasema ni waziri anahusika. Kumbe wanabadilisha nguzo za miti na kuweka nguzo za zege, acha chuki binafsi jiongeze kwa kupanua uwezo wako wa kufikiri.
you never knowKwahiyo eat sperm ndio anatembea na mkasi wa kukata nyaya za umeme ukatike ili amkomoe waziri wa taa na maji baridi
Hivi wewe unatumia akili au mavi kichwani yani watu wakilalamikia umeme unapatikana kwa shida mpumbavu wewe unakuja na ajenda yako ya ukabila jinga kabisa.kwaiyo yule sukuma mwenzenu Kale man ndio alikuwa smart Sana??! Ukabila na udini unawasumbua wapuuzi nyie,
Mnataka Rais awasikilize wakati kutwa mnamtukana
who knows!!!you never know
hakuna Sehemu yoyote umeme unakatika masaa zaidi ya 24hr ,,Hivi wewe unatumia akili au mavi kichwani yani watu wakilalamikia umeme unapatikana kwa shida mpumbavu wewe unakuja na ajenda yako ya ukabila jinga kabisa.