Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

Inawezekana alitaka kukuudhi mawasiliano yafe kwahiyo umeingia moja Kwa moja kwenye plan yake...

Next time kama amekuvutia kweli muulize hela ya nini...
Akisema ya saloon mwambie mbona ndogo?itamtosha?halafu mtumie mara 2 au 3 ya alioomba...
[emoji23]
 
Wanaume wengi wa sahivi jinsi tulivyokwisha jeruhiwa kihisia na hii style ya kuombwa hela muda mfupi baada ya kutongoza, kama kila mwanaume anaekutana nae anampima kwa staili hiyo, mbona atajiona ana mkosi kwenye mapenzi Leejay49
mi binafsi kuomba omba ela siwezi, nasema huyo mdada uliyemtolea nje pengine alikua anakupima, kila mtu ana njia zake za kumfanyia mtu wake investigations kwenye suala la uchumi
 
Hakupendi na anamchepuko mwingne [emoji1241]
 
Tatizo tunawatumia sana. Unakuta huyo ameanza kudanganywa akiwa na miaka 16. Anatongozwa anaingiliwa anakimbiwa. Inafika kipindi kila anayemsemesha anajua litakalofata, anaachana na mapenzi anatanguliza fedha.
 
Usikutane na vidada vina rasta za rangi za ajabu ajabu zinafika magotini,
ukijitolea kesho utasikia sijala, mjomba mgonjwa, sina nauli unabaki unajiuliza alikuwa anaishi vipi huyu kupe..hongera sana kwa kukataa ujinga mapema
 
Kuna mmoja huyo juzi kanipa namba asubuhi kufika jioni anadai hana hela ya kula,nimemjibu hata kama unashida kweli ,ndo tumejuana siku hiyo hiyo tu unaanza vizinga atleast ungesubiri hata wiki ipite basi.
 
Umezidisha dose chief, dah! 😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipo.
Kuna maisha nje ya mapenzi.
 
Inawezekana alitaka kukuudhi mawasiliano yafe kwahiyo umeingia moja Kwa moja kwenye plan yake...

Next time kama amekuvutia kweli muulize hela ya nini...
Akisema ya saloon mwambie mbona ndogo?itamtosha?halafu mtumie mara 2 au 3 ya alioomba...
Mambo ndo haya sasa, lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mi binafsi kuomba omba ela siwezi, nasema huyo mdada uliyemtolea nje pengine alikua anakupima, kila mtu ana njia zake za kumfanyia mtu wake investigations kwenye suala la uchumi
Unapima mtu kwa kuomba pesa akili gani hizi
 
Kama ni hivyo basi hiyo mbinu ya upimaji haijakaa poa,kuomba omba hela hovyo hovyo ni kujishusha hadhi.
Kuna mmoja, baada ya siku 2 akaniomba hela ya gesi mtungi mkubwa, nikatafakari, nikaona nitume tu iwe kama nimetoa sadaka; baada ya hapo mambo yakawa moto moto, na hatimaye mambo mengine yakaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…