Kwa niliyoyashuhudia katika Uchaguzi huu, Poleni viongozi wa Upinzani

Watanzania wengi ujinga umekita mizizi ndo maana licha kusoma elimu ya kukariri lakini uwezo wa kupambunua mambo ni mdogo sana
Ww ni mmoja wao....
nyani haoni......ndule
 

Labda kuna mismatch kati yenu na Wananchi, ingekuwa kwenye dating game ningesema hamko on the same page, sasa sijui kosa ni la nani?
May they just dont trust you, ...
 
Mene Mene, tekeli na peresi. Wasalimie kina Amsterdam huko Ubelgiji ukienda tarehe 18/12.Waambie Watanzania sio mabwabwa. Tunajielewa Sana.
 
Mpaka sasa bado hujayapata?
Kwenye maeneo wanapita wanaimba wanakosa support wanakwenda kulala wenyewe kwa kujiona ni wajinga wakubwa. Alafu nimegundua wengi hawajaenda kupiga kwa kukosa imani ila wengine tumekwenda ili kupinga udhalimu unaoendelea.
 
Nakubaliana na wewe watanzania ni ajabu sana sitegemei kuona wakilalamika tena maisha magumu..
Yawezekana we ndo waajabu kulalamika maisha magum ukidhan serikali itakupa hella
 
Kwanza hatukutakiwa kupata uhuru mwaka 1961 ilibidi tupate 1995
 
Una ongozwa na mahaba kwaiyo kuwaza kwa kutumia akili itakua ngumu sana....siku ukiacha kutumia tumbo kufanya maamuzi itakuwa too late. Ukweli mnao lkn mtasema nn sasa wakati matumbo yanahitaji.
 
Wewe kama raia umesaidia nn?wapinzani ulitaka wafanye nn? Wamesusa mara ngapi na kimetokea nn? Wamedai tume huru kwa muda gani?nn kimefanyika?

Ulitaka Lisu afanye nini?aje na katiba kwa njia gani? Amefanya kilicho mpasa...hata watanzania wamefanya yao hila kilicho tokea naww unafahamu sema kwakua baya ni kwa wapinzani endelea kutupa lawama kama nchi yao wenyewe.
 
Hii post inaonyesha kuwa uligundua watu hawakupigia kura upinzani! Watanzania siyo wajinga, na ukiamini kuwa wamepiga kura kwa ujinga basi usiwaombe kura zao.
Hujaelewa mantiki ya mtoa hoja naona unataka fikra zako ndo ziwe za mtoa hoja poor you mzee.
 
Kwa kuongezea tu watu wamewaelewa hao wapinzani hawana tija ni maneno tu na kujijazia ruzuku matumboni (kujitajirisha)hawatusaidii lolote sisi sio wajinga wajinga ni nyie mnaotetea madhalimu, tuonyesheni mpinzani aliyehamasisha jimbo lk kubadilisha maisha ya wakazi au upinzani ni mdomo tu?
 

Sawa kabisa, angalia kwa mfano tu Halima Mdee (Kawe) miaka 5 yote anacheza tu twitter, facebook na kuzunguka Mahamakani kwa maswala ambayo hayana uhusiano wowote na Jimbo lake, leo hii muda umeisha anajifanya kulia lia na kupandisha kichaa kwamba anaibiwa kura, lkn ukweli ni kwamba wakazi wa Kawe wamemchoka, amekuwa Mbunge kwa vipindi 2 kwa hali ya kawaida vinatosha sana na sasa muda wa kuwapisha wengine pia, lkn kwa kuwa ubinafsi umewajaa wanafikiri wana hati miliki na Ubunge, ...
 
Tundu Lissu ni miongoni mwa mazao bora (kiubongo) ambayo Tanzania inaweza kujivuna nao. Tatizo ni watu wetu kutotumia bongo zao kulinda na kutetea maslahi ya taifa.

Lissu yule wa LEAT aliyekuwa akitetea wanyonge walioathiriwa na mifumo ya kinyonyaji, siye Lissu wa leo na mahubiri ya "Tanzania inaihitaji dunia kuliko dunia inavyoihitaji Tanzania". Huyu ndie awe Rais wangu?

Kazi ya kwanza ya Rais ni kuipa heshima nchi yake kwa kauli hata kabla ya vitendo. Nchi zote zenye akili wagombea uraisi na viongozi wote kimsingi lazima waonyeshe kuwa na pride na nchi yao. Marekani hadi kila nyumba imebandikwa bendera. Uchina ndio usiseme. Huyu mwenzangu na mie alishawahi hata kumtukana baba wa taifa. Huwezi kuwa Rais wa taifa hili kama huna pride na nchi yako na watu wake, pamoja na makandokando yetu mengi.

Raisi tuliye naye (na anayekwenda kushinda) ana mambo yake lakini ana pride na taifa lake. Na hicho ndicho kinamfanya awe Rais bora pengine kuliko marais wengine wote tuliowahi kuwa nao ukimtoa baba wa taifa.
 
Wanajisahau sana hawa ikifika uchaguzi wanatuona wajinga kwanza katiba iwekwe 5 years tu 10yrs for useless people wanaturudisha nyuma sana km arusha tumerudiii reverse ya hatariiii
 
Waswahili wanasema nyani haoni kundule, hawa watu wameng'ang'ania kutuita sisi wajinga bila kujiuliza ni kwa nini ajenda zao zinashindwa kutushawishi. Wakati chadema ilipokuwa na ajenda za maana zilizokuwa zinagusa mahitaji ya wananchi (ufisadi, wizi, kukosa huduma za muhimu, nk) wananchi wengi waliwaelewa na kuwaunga mkono, ndo maana chama kikawa kinaongeza idadi ya wabunge karibu kila uchaguzi. Baada ya Magu kuanza kushughulikia hizo kero na kuzipunguza, chadema imeshindwa kujiadjust na kuja na ajenda mpya zinazogusa mahitaji halisi ya wananchi. Matokeo yake ndiyo haya, kututukana na kutuona sisi ni hamnazo!
 
We ni raia wa nchi gani...?
 
Wewe ndo mjinga watanzania they what they are doing. Walikuwa wanachagua kati ya uzalendo na uhaini wa kuuza mali za umma. Sasa kama wamechagua uzalendo afu useme wajinga. Mjinga ni wewe siyo sisi.. Shida yenu wapinzani wote ni vichaa wakiongozwa na tundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…