Kwa niliyoyashuhudia katika Uchaguzi huu, Poleni viongozi wa Upinzani

Nakubaliana na wewe watanzania ni ajabu sana sitegemei kuona wakilalamika tena maisha magumu..
Exactly.
Tatizo sio viongozi. Tatizo ni wananchi. Hawajitambui.
Mimi nimeongea na vijana wengi; na wananiambia hawaendi kupiga kura. Hao ndio tatizo. Waliniambia mwaka 2015 walimchagua bwana magufuli. Na kwamba amewaangusha (hajatimiza alichowaahidi). Kwa hiyo adhabu yao kwake ni kutompigia kura.
Tutafika tu.
 
Kwani wewe umekaazwa kufanya utakacho? Wewe fanya yako usituzimishe kuchagua upinzani huu wa kijinga
 
Halafu huyu kichuguu eti profesa. Pumbavu zake. Ndio viwango vya akina lipumba.
 
Mjinga wewe labda
 
Ndio maana hujawa na hautokuwa kwa akili na ufahamu ulionao sahau. Subiria kuitwa kwenye vikao vya chama na kuondoka na buku mbili.
Hahah.. Sina CHAMA cha aina yeyote wala sio MUUMINI wa Siasa..

Pili.. Siongei ushabiki wa kipuuzi kuchochea watu wagombane hali ya kuwa anayechochea yupo Kwake katuliza finyango zake kwenye kochi
 
nimejua kilichofanya wabunge wengi wa upinzani kuanguka uchaguzi huu sababu kubwa ni kuwa wabunge wengi wa upinzani walizuiwa kufanya mikutano ya kakutana na wananchi kuwaambia maendeleo waliyofanya kwenye majimbo yao matokeo yake wananchi sababu uelewa ni ndogo serikali ikiwa inawaaminisha kuwa kila kitu anafanya magufuli wapinzani kazi yao ni kupinga tu

Sababu nyingine wananchi walishagawanyika Makundi mawili lipo kundi lilishaamini ili kuweza kushinda inabidi tupiganie tume huru kundi lingine wakaamua kuingia kwenye mapambano kwa tume hiyo hiyo matokeo yake ndo hivyo tena watu wamesusia huu uchaguzi kutopiga kura umoja umekosekana uovu unaendelea kufanywa na ccm watu hawana habari
 
Sawa mkikuyu
 
Kama akishatangazwa si inawezekana kuanza ile kampeni ya kuondoa ukomo wa uraisi?

wasanii watumike kutunga nyimbo na kuhamasisha raia waondoe ukomo kuliko kupoteza tena pesa za kampeni 2025.

Tukae kama 20 yrs bila uchaguzi, juzi tu tumepanga foleni, leo tena na matokeo ni hayo hayo, ccm wanashinda upinzani unalalamika.
 
Upinzani watamkumbuka saana kikwete,Mbali na ubovu wa tume, lakin ilikuwa na ahueni.
 
Tunajipangaje?
 
Wewe uko wapi mbona hujaonyesha njia au ndio sisi twende tukifa uje kifungua uzi
 
Upinzani kama hamkuweza kupata funzo kipindi cha Lowassa, hamtoweza kupata tena funzo.

Tatizo hamtaki kukubaliana na ukweli, mtachezewa sana akili zenu na wachache wanaotaka kukutumieni kwa maslahi yao
 
Ach ujinga, kila mtu anapigania tumbo lake.
Lissu akupiganie wakati yeye mwenyewe anatunzwa na wanaume wenzake na watoto ada anachangisha!
 
Watanzania si wajinga hata kidogo isipokuwa wanapenda amani sana. Wanajua fika bila amani hakuna kitakachofanyika kwa mtu mmoja mmoja na kwa Taifa zima. Hata hiyo HAKI inayopigiwa debe na CDM (haki ipo ila wanapotosha) haiwezi kupatikana bila amani. Kuhamasisha watu kufanya vurugu, kudhamiria kuvunja muungano, kuharibu kilichokwishatengenezwa, kupinga kila kitu cha maendeleo, kula ruzuku za chama, nk, hiyo ndo akili? Hizo sio akili ni matope. Wananchi wanapokataa upumbavu huo ndo mnawaona wajinga na waoga? Wajinga na wabinafsi ni hao wapinzani wenyewe. Wanachokisema leo, kesho wanakipinga. Tuwafuate watu kama hawa? Walipopewa fursa za kuongoza Halmashauri, wameleta tija gani? Hao wapinzani ndo wajinga, msitukane Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…