Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Wengi wamekuwa wakisema China sio mshirika wa kuaminika kwa Iran. Ila tatizo liko kwa Iran yenyewe
Kwanza kabisa China haina ushirika wa kulindana na Iran na wala hawajawahi kusign bilateral security and defence partnership.
China ikiwa bado haina nguvu kubwa za kijeshi kama sasa imewahi kuisaidia North Korea na Vietnam kijeshi na kuingia frontline kuzichapa dhidi ya Marekani na washirika wake.
Kwa nini isiwe kwa Iran? Hapa kuna sababu 3:
1. Back in 2021, China na Iran zilisaini mkataba wa USD 400 billion wa miaka 25 kwa ajili ya strategic cooperation kwenye masuala ya nishati, bandari, finance n.k
Kwanza kabisa China haina ushirika wa kulindana na Iran na wala hawajawahi kusign bilateral security and defence partnership.
China ikiwa bado haina nguvu kubwa za kijeshi kama sasa imewahi kuisaidia North Korea na Vietnam kijeshi na kuingia frontline kuzichapa dhidi ya Marekani na washirika wake.
Kwa nini isiwe kwa Iran? Hapa kuna sababu 3:
1. Back in 2021, China na Iran zilisaini mkataba wa USD 400 billion wa miaka 25 kwa ajili ya strategic cooperation kwenye masuala ya nishati, bandari, finance n.k
- Miradi ilisitishwa na Tehran, mikataba wakaitupia kabatini. Ushirikiano wa bandari ya Chabahar ulikwama, vifaa vya masuala ya energy vilikamatwa na IRGC, na katika hali ambayo ilionekana kama chuki ya makusudi, Iran ilikodisha bandari ya Chabahar kwa India mkataba wa miaka 10.
2. Deal la kununua silaha.
- Mwaka 2021 na 2022 Beijing iliipa Tehran deal la kununua fighter jets J10CE na hata maafisa wa jeshi la Iran walifika hadi China. Ikumbukwe J10CE ni ndege vita zilezile ambazo Pakistan alinunua kutoka China na ziliisaidia Pakistan kuangusha French made fighter jets Rafale za India kwenye vita ya hivi karibuni.
- Badala yake mwaka 2023 Tehran ilikwenda Moscow kununua Su-35 na S-300, kwa makusudi wakapiga chini Chinese military hardware. Na hii ni kwa sababu Iran wanajiona superior race kuliko China na Chinese weapons ni inferior quality.
- Mwaka 2023 Urusi ilikuwa bado kwenye vita na Ukraine hivyo haikuwa rahisi kwa Russian defense contractors kuingia kwenye production line na kufanya uzalishaji wa Su-35 na kudeliver kwa wakati Iran. Kwa sababu ya kuwa arrogant Iran bado haikuirudia China kufufua lile deal la J10CE
- Mpaka kufikia mwaka huu 2025 tunapoongea not a single Su-35 has arrived in Iran, no production line, no training system, no change in combat readiness.
- Tunashuhudia ndege za Israel zinaingia anga la Iran na kupiga targets. Kwa nini Iran wanashindwa kubattle nao dogfight? Kwa sababu Iran Air Force wana fighters za kizamani za Western na za kipindi cha Soviet
3. Hata sasa hivi Iran iseme ianze kununua silaha za China hazitakuwa na msaada kivile.
- Iran haijatengeneza mifumo yake ya ulinzi na silaha kwa Chinese military hardware zaidi ni ile ya Urusi na ya West.
- Hata China iseme inaipa mifumo yake ya ulinzi na silaha Iran haitaweza kuitumia kwa weledi kwa sababu Iran inahitaji wapate training. Na wakipewa silaha wakashindwa reputations ya Chinese weapons itaharibika.
- Pakistan na Egypt wateja wakubwa wa silaha za China wamekuwa wakipew training na China.
Labda baada ya hii vita Iran should consider switching to Chinese weapons.
All in all hypersonic na ballastic missiles za Mwajemi ni vinu aisee Tel Aviv wanazifahamu vizuri 🙌🙌🙌