Wengi wamekuwa wakisema China sio mshirika wa kuaminika kwa Iran. Ila tatizo liko kwa Iran yenyewe
Kwanza kabisa China haina ushirika wa kulindana na Iran na wala hawajawahi kusign bilateral security and defence partnership.
China ikiwa bado haina nguvu kubwa za kijeshi kama sasa imewahi kuisaidia North Korea na Vietnam kijeshi na kuingia frontline kuzichapa dhidi ya Marekani na washirika wake.
Kwa nini isiwe kwa Iran? Hapa kuna sababu 3:
1. Back in 2021, China na Iran zilisaini mkataba wa USD 400 billion wa miaka 25 kwa ajili ya strategic cooperation kwenye masuala ya nishati, bandari, finance n.k
Miradi ilisitishwa na Tehran, mikataba wakaitupia kabatini. Ushirikiano wa bandari ya Chabahar ulikwama, vifaa vya masuala ya energy vilikamatwa na IRGC, na katika hali ambayo ilionekana kama chuki ya makusudi, Iran ilikodisha bandari ya Chabahar kwa India mkataba wa miaka 10.
2. Deal la kununua silaha.
Mpaka kufikia mwaka huu 2025 tunapoongea not a single Su-35 has arrived in Iran, no production line, no training system, no change in combat readiness.
3. Hata sasa hivi Iran iseme ianze kununua silaha za China hazitakuwa na msaada kivile.
Labda baada ya hii vita Iran should consider switching to Chinese weapons.
All in all hypersonic na ballastic missiles za Mwajemi ni vinu aisee Tel Aviv wanazifahamu vizuri 🙌🙌🙌