Kwa nini China haijaisaidia Iran kwenye vita vyake na Israel?

Kwa nini China haijaisaidia Iran kwenye vita vyake na Israel?

Kwa nini Israel imekuwa na uwezo mkubwa wa kuwaua senior Iranian generals kwa haraka?

Viongozi wakubwa bado wanatumia iPhones badala ya Huawei.

Bado wanatumia apps za Meta kama WhatsApp, facebook n.k

Wanashare files kupitia app za PlayStore

Leo kwa mara ya kwanza Iran imewataka raia wake kuacha kutumia WhatsApp kwa sababu inakusanya user data kama location

Hili liwe somo kwa mataifa mengine kudevelop their own apps and operating systems kama China
​
Kitu ambacho wewe haukijui ni kuwa Sheria za kimataifa haziruhusu kiwauwa viongozi wa nchi Kwa kuwavizia kwahiyo alicho kifanya Israel ni uhalifu na ugaidi inatakiwa UN wamuadhibu Kwa kosa hilo

Ila hilo jambo ndio limempa Iran haki ya kuishambulia Israel anavyotaka maana Sasa Israel anahesabika kama gaidi na mchokozi dhidi ya Iran

Ndio maana Trump kiti hakikaliki yajayo yanafurahisha
 
Trump hana kabisa shida na anatamba kwamba muda wowote ataamua hatima ya Ayatollah na genge lake.

Kumbuka pia kwamba ni juzi tu ambapo makombora ya Iran yaliishambulia nyumba ya Netanyahu sasa angekuwemo humo kisha auwawe kwani isingekuwa kinyume na sheria za kimataifa.
 
Kwa nini Israel imekuwa na uwezo mkubwa wa kuwaua senior Iranian generals kwa haraka?

Viongozi wakubwa bado wanatumia iPhones badala ya Huawei.

Bado wanatumia apps za Meta kama WhatsApp, facebook n.k

Wanashare files kupitia app za PlayStore

Leo kwa mara ya kwanza Iran imewataka raia wake kuacha kutumia WhatsApp kwa sababu inakusanya user data kama location

Hili liwe somo kwa mataifa mengine kudevelop their own apps and operating systems kama China
​
Wewe ni wa wapi? Kwani Iran kashindwa
 
Kwa hii vita inavyoendelea unaona kabisa Waafrika sie bado bado bado kabisa still tutazidi kuwa chini tukiendelea na hizi mindset zetu za kijinga
 
Simple tu, China haijaisaidia moja kwa moja Iran kwenye vita na Israel kwa sababu inataka kulinda diplomatic balance, inafanya biashara na pande zote mbili,, haitaki kuharibu interests zake za kiuchumi na kisiasa globally.
Case closed.
 
Too early to reach a conclusion that Iran will lose this war

Apparently, Iran has just launched new types of missiles. Maybe hypersonic?

Israel will find out in a few minutes
​
What will follow will be the liquidation of the Iranian top leadership something that will leave the Iranian military with no military command and control structure a situation that will definitely lead to the capitulation of its armed forces and subsequently the fall of the regime.
 
CDF wa Pakistan yupo Marekani tangu June 14 kwenye ziara na atakutana na Trump,kwa kifupi Wairani wanatapatapa na kama ulivyosema ego ya kujiona wao wapo sawa au kuzidi mataifa makubwa ndio imewacost,alichotakiwa ni kuplay low profile kama walivyofanya wenzake mpaka pale walipojiweza kwa kijeshi na hata kiuchumi.
Haki ya nani waarabu akili hawana, umoja pia hawana. Acha wachapwe tu na Myahudi.
 
Population ya china ni bilioni, ukiwa na watu wengi hivi ukajiingiza kwenye ugonvi, la kutokea likatokea ni ngumu kuwa manage, ndio maana China yuko busy kutafuta maslahi ya watu wake. Mfano itokee tu hata vituo vya kuzalisha umeme, njia kuu za kusafirishaji zishambuliwe, hiyo pressure ya watu bilioni unafanyaje?
Hawawezi kukuelewa mkuu. Watakwambia hiyo vita ina manufaa gani hadi wananchi tuteseke n.k
 
Kwanza nikutoe wasiwasi Iran walisitisha mkataba wa kununua su 35 baada ya wao kuunda ndege iliyokuwa na uwezo zaidi ya su35 (kowsar) wakataka wauziwe su57pia hata mkataba wa s300na ulisitishwa na Iran baada ya kuunda mfumo wake waulinzi wa anga,na sio kwamba Iran inafanya jeuri kwa china, Iran na china wanaushirikiano mkubwa Sana ILA tunachojua sasa Iran hajaomba msaada popote
 
Kwa nini Israel imekuwa na uwezo mkubwa wa kuwaua senior Iranian generals kwa haraka?

Viongozi wakubwa bado wanatumia iPhones badala ya Huawei.

Bado wanatumia apps za Meta kama WhatsApp, facebook n.k

Wanashare files kupitia app za PlayStore

Leo kwa mara ya kwanza Iran imewataka raia wake kuacha kutumia WhatsApp kwa sababu inakusanya user data kama location

Hili liwe somo kwa mataifa mengine kudevelop their own apps and operating systems kama China
​
Iran ilishindwa kununua J-10C sababu haina cash kutokana na sanctions za muda mrefu. Haikuwa na USD au Euro ya kulipia hizo ndege ikataka kulipia thamani ileile kwa mafuta na gesi ila China ikakataa.

Vilevilez J-10C sio ndege inayoifaa sana Iran badala ya Sukhoi Su-35. Su-35 ni ndege kubwa yenye range kubwa, powerful radar, inabeba uzito mkubwa wa munitions na ni heavy fighter wakati J-10C ni medium. Kwa hiyo first option hapo ni Su-35.

Iran ingekuwa na hela ingenunua zote mbili ila ndio hivyo ikaagiza Urusi ambao wanachelewa. Ingawa na China walikuwa wanasita kwa sanctions za Iran.
 
Simple tu, China haijaisaidia moja kwa moja Iran kwenye vita na Israel kwa sababu inataka kulinda diplomatic balance, inafanya biashara na pande zote mbili,, haitaki kuharibu interests zake za kiuchumi na kisiasa globally.
Huo ndio unafiki sasa, kama una mtu ambaye unadhani ni rafiki wa karibu halafu wakati unashambuliwa hataki kukusaidia kwa sababu anaona atawakwaza wale wanaokushambulia, huyo sio rafiki mzee
Basi tuseme tu Iran na China hawana urafiki wa kivile kama watu wengi wanavyodhani
 
Iran ilishindwa kununua J-10C sababu haina cash kutokana na sanctions za muda mrefu. Haikuwa na USD au Euro ya kulipia hizo ndege ikataka kulipia thamani ileile kwa mafuta na gesi ila China ikakataa.
Kulingana na uchunguzi fulani wa Marekani:

Tangu 2011 Iran imetumia zaidi ya USD 15-20 billion kuisupport serikali ya Syria

Hezbollah wanapokea zaidi ya USD 700 million kila mwaka kutoka Iran

China inanunua 40% ya mafuta yote yanayozalishwa na Iran

Iran wanakosaje cash ya kununua fighter jets? Wanawawezaje kugharamia urutubishaji wa nyuklia na gharama zingine za kutengeneza silaha?

Na China anachotaka Iran wafanye naye biashara kwa kutumia yuan
​
 
Vilevilez J-10C sio ndege inayoifaa sana China badala ya Sukhoi Su-35. Su-35 ni ndege kubwa yenye range kubwa, powerful radar, inabeba uzito mkubwa wa munitions na ni heavy fighter wakati J-10C ni medium. Kwa hiyo first option hapo ni Su-35.
Kati ya Rafale na Su-35 ipi ni fighter jet bora?​
 
Iran ingekuwa na hela ingenunua zote mbili ila ndio hivyo ikaagiza Urusi ambao wanachelewa. Ingawa na China walikuwa wanasita kwa sanctions za Iran.
China wanasitaje? China ndio taifa pekee lenye uthubutu wa kununua mafuta ya Iran ambayo iko kwenye vikwazo.

Na licha ya Marekani kuya blacklist makampuni ya China yanayonunua mafuta Iran, China haijaacha kununua mafuta

Sasa wangeanzaje kusita kuiuzia Iran J10CE kisa tu sanctions?
​
 
Irani haitaji msaada wa nchi yoyote kuichapa Israel
Kwa nini waziri wa mambo ya kigeni wa Iran baada ya shambulizi la kwanza la Israel la June 12 alipiga simu Beijing kuomba navigation sattelite system ya BeiDou?​
 
Kitu ambacho wewe haukijui ni kuwa Sheria za kimataifa haziruhusu kiwauwa viongozi wa nchi Kwa kuwavizia kwahiyo alicho kifanya Israel ni uhalifu na ugaidi inatakiwa UN wamuadhibu Kwa kosa hilo

Ila hilo jambo ndio limempa Iran haki ya kuishambulia Israel anavyotaka maana Sasa Israel anahesabika kama gaidi na mchokozi dhidi ya Iran

Ndio maana Trump kiti hakikaliki yajayo yanafurahisha
Sawa sheria haziruhusu ila adui yako anazivunja, utasubiri U.N iingilie kati?

Serikali ya Iran kuwaambia wanachi wake waache kutumia WhatsApp its a good move.

Iran ina haki zote za kujilinda haiwezekani tu taifa lingine lije kukushambulia halafu ukae kinyonge
​
 
Back
Top Bottom