Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Iran imeomba msaada kwa China ?Simple tu, China haijaisaidia moja kwa moja Iran kwenye vita na Israel kwa sababu inataka kulinda diplomatic balance, inafanya biashara na pande zote mbili,, haitaki kuharibu interests zake za kiuchumi na kisiasa globally.
Hakuna ushahidi wa wazi, so jibu ni Hapana.Iran imeomba msaada kwa China ?
China wana great firewall wakomunisti hapa walitumia akili kubwa na ndio maana magharibi kila siku wana lia lia kuhusu great firewallKwa nini Israel imekuwa na uwezo mkubwa wa kuwaua senior Iranian generals kwa haraka?
Viongozi wakubwa bado wanatumia iPhones badala ya Huawei.
Bado wanatumia apps za Meta kama WhatsApp, facebook n.k
Wanashare files kupitia app za PlayStore
Leo kwa mara ya kwanza Iran imewataka raia wake kuacha kutumia WhatsApp kwa sababu inakusanya user data kama location
Hili liwe somo kwa mataifa mengine kudevelop their own apps and operating systems kama China
Tatizo moja tu kubwa linalo isumbua Iran na sehemu kubwa ya middle east ni uwepo wa wayahudi wengi katika vyombo vya ulinzi na usalama hili ni tatizo linaisumbua hata Marekani na Russia ni ngumu kulidhibiti.Wengi wamekuwa wakisema China sio mshirika wa kuaminika kwa Iran.
Kwanza kabisa China haina ushirika wa kulindana na Iran na wala hawajawahi kusign bilateral security and defence partnership.
China ikiwa bado haina nguvu kubwa za kijeshi kama sasa imewahi kuisaidia North Korea na Vietnam kijeshi na kuingia frontline kuzichapa.
Kwa nini isiwe kwa Iran? Hapa kuna sababu 3:
1. Back in 2021, China na Iran zilisaini mkataba wa USD 400 billion wa miaka 25 kwa ajili ya strategic cooperation kwenye masuala ya nishati, bandari, finance n.k
Miradi ilisitishwa na Tehran, mikataba wakaitupia kabatini. Ushirikiano wa bandari ya Chabahar ulikwama, vifaa vya masuala ya energy vilikamatwa na IRGC, na katika hali ambayo ilionekana kama chuki ya makusudi, Iran ilikodisha bandari ya Chabahar kwa India mkataba wa miaka 10.
2. Deal la kununua silaha.
Mwaka 2021 na 2022 Beijing iliipa Tehran deal la kununua fighter jets J10CE na hata maafisa wa jeshi la Iran walifika hadi China. Ikumbukwe J10CE ni ndege vita zilezile ambazo Pakistan alinunua kutoka China na ziliisaidia Pakistan kuangusha French made fighter jets Rafale za India kwenye vita ya hivi karibuni.
Badala yake mwaka 2023 Tehran ilikwenda Moscow kununua Su-35 na S-300, kwa makusudi wakapiga chini Chinese military hardware. Na hii ni kwa sababu Iran wanajiona superior race kuliko China na Chinese weapons ni inferior quality.
Mwaka 2023 Urusi ilikuwa bado kweye vita na Ukraine hivyo haikuwa rahisi kwa Russian defense contractors kuingia kwenye production line na kufanya uzalishaji wa ndege na kudeliver kwa wakati Iran. Kwa sababu ya kuwa arrogant Iran bado haikuirudia China kufufua lile deal la J10CE
Mpaka kufikia mwaka huu 2025 tunapoongea not a single Su-35 has arrived in Iran, no production line, no training system, no change in combat readiness
3. Hata sasa hivi Iran iseme ianze kununua silaha za China hazitakuwa na msaada kivile.
Iran haijatengeneza mifumo yake ya ulinzi na silaha kwa Chinese military hardware zaidi ni ile ya Urusi na ya West.
Hata China iseme inaipa mifumo yake ya ulinzi na silaha Iran haitaweza kuitumia kwa weledi kwa sababu Iran inahitaji wapate training. Na wakipewa silaha wakashindwa reputations ya Chinese weapons itaharibika. Pakistan na Egypt wateja wakubwa wa silaha za China wamekuwa wakipew training na China.
Labda baada ya hii vita Iran should consider switching to Chinese weapons.
All in all hypersonic missiles za Mwajemi vile ni vinu aisee Tel Aviv wanazifahamu vizuri 🙌🙌🙌
China wana great firewall wakomunisti hapa walitumia akili kubwa na ndio maana magharibi kila siku wana lia lia kuhusu great firewall
Ila ilivyoisadia Urusi haikuangalia hilo!?Simple tu, China haijaisaidia moja kwa moja Iran kwenye vita na Israel kwa sababu inataka kulinda diplomatic balance, inafanya biashara na pande zote mbili,, haitaki kuharibu interests zake za kiuchumi na kisiasa globally.
Iliisadia but not direct military aid. Tofauti ni kwamba mgogoro wa Mashariki ya Kati una hatari kubwa ya kusababisha regional explosion, na China haitaki kuonekana kama inachochea moto kwenye eneo lenye maslahi ya kimataifa.Ila ilivyoisadia Urusi haikuangalia hilo!?
Iran inasema wananchi wake wazime WhatsApp inachekesha yaani hata North Korea wana akili kubwa kuliko Iran iliyo katika tension ya vita na Israel na Marekani kwa muda mrefu kuliko North Korea iliyopo katika safe zone ya China na RussiaUmesema vyema, China waliona mbali sana.
Ndio maana wana great firewall na wakaanzisha satellite navigation yao ya BeiDou badaka ya kutegeme GPS ya Marekani au Galileo ga Ulaya
Wngi wanaona ufahari kutumia apps za West lakini kipindi kama hichi wanachipitia Iran ndio unaelewa kwa nini sio salama kabisa
Maslahi ya China Russia na middle east yanafanana hayana utofauti.Iliisadia but not direct military aid. Tofauti ni kwamba mgogoro wa Mashariki ya Kati una hatari kubwa ya kusababisha regional explosion, na China haitaki kuonekana kama inachochea moto kwenye eneo lenye maslahi ya kimataifa.
Hata kama maslahi yao yanafanana, China ina approach tofauti kwa kila conflict, kwa Russia China anaweza afford risk zaidi, lakini Middle East ni fragile sana, hivyo anacheza carefully to avoid global backlash.Maslahi ya China Russia na middle east yanafanana hayana utofauti.
Subiri kwanza.
Kwani Iran imeomba msaada mpaka sasa ?