Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #21
Simple tu, China haijaisaidia moja kwa moja Iran kwenye vita na Israel kwa sababu inataka kulinda diplomatic balance, inafanya biashara na pande zote mbili,, haitaki kuharibu interests zake za kiuchumi na kisiasa globally.
Kwanini China haijawahi kuiuzia Iran silaha za kisasa kama inavyoiuzia Russia au Pakistan, unadhani ni kwa sababu ya huruma au kuna red lines zisizoandikwa?China ni trade partner mkubwa wa Israel na Iran
Lakini hilo halimaanishi kuwa China ikipata deal la kuuza silaha kwa Iran itakataa kwa sababu eti China ni trade partner mkubwa wa Israel
Ndio maana anaiuzia Egypt silaha ijapokuwa Egypt na Israel hazina uhusiano mzuri
Waajemi wanajiamini sana. Na inapokuja suala la silaha za China wanajiona superior kuliko China ndio maana walikataa deal la fighter jets za China 2021 na 2022Kwanini China haijawahi kuiuzia Iran silaha za kisasa kama inavyoiuzia Russia au Pakistan, unadhani ni kwa sababu ya huruma au kuna red lines zisizoandikwa?
Iran truly values its strategic interests, how can it justify turning down partnerships that could strengthen its defense, just because of perceived superiority? Isnβt that short sighted in a complex geopolitical game?"Waajemi wanajiamini sana na inapokuja suala la China wanajiona superior kuliko China ndio maana walikata deal la fighter jets za China 2021 na 2022
Hii mwaka jana Chief of Staff of the Iranian military alichosema in China Xiangshan Forum:
View attachment 3375095
Haya uliyoyasema wale wa wafuasi wa Mudi hawatakuelewa huwa hawatambui uwezo wa Hebrew..Tatizo moja tu kubwa linalo isumbua Iran na sehemu kubwa ya middle east ni uwepo wa wayahudi wengi katika vyombo vya ulinzi na usalama hili ni tatizo linaisumbua hata Marekani na Russia ni ngumu kulidhibiti.
Iran truly values its strategic interests, how can it justify turning down partnerships that could strengthen its defense, just because of perceived superiority? Isnβt that short sighted in a complex geopolitical game?"
Huu ni mtazamo wa upande mmoja. Marekani yenyewe wamewahi kushindwa majaribio ya silaha zao mara nyingi tu, lakini hiyo haimaanishi kuwa ni taifa lisiloaminika.Iran made a big strategic mistake the truth be told
Take the case of the C-802 anti-ship missile, a Chinese system Iran had acquired in the early 2000s
Iranian engineers, convinced there were flaws in the original Chinese design, modified the missileβs guidance system without consulting China. Subsequent test launches failed the missiles missed their targets every time
When Chinese technicians were called in for after sales support, they found the issue wasnβt with the original system it was with Iranβs modifications. Once restored to factory settings, the missiles performed exactly as intended.
The more reason most Chinese believe that China should remain neutral in the war between Iran and Israel.
They have some good reasons, such as Iranians are very arrogant, and many Iranians are very pro West and against China, and even they have racial superiority towards Chinese. Iran is unfriendly to Chinese enterprises as well
Huu ni mtazamo wa upande mmoja. Marekani yenyewe wamewahi kushindwa majaribio ya silaha zao mara nyingi tu, lakini hiyo haimaanishi kuwa ni taifa lisiloaminika.
China na Iran bado wana mahusiano ya kina, kibiashara, kisiasa, na kijeshi. Kama kweli Wachina wangewaona Wairani kuwa ni arrogant na unfriendly, basi tusingeona mikataba ya mabilioni kupitia Belt and Road Initiative wala uhusiano wao wa karibu ndani ya Shanghai Cooperation Organization.
Propaganda za chuki hazipaswi kuchukua nafasi ya uchambuzi wa kisera.
CDF wa Pakistan yupo Marekani tangu June 14 kwenye ziara na atakutana na Trump,kwa kifupi Wairani wanatapatapa na kama ulivyosema ego ya kujiona wao wapo sawa au kuzidi mataifa makubwa ndio imewacost,alichotakiwa ni kuplay low profile kama walivyofanya wenzake mpaka pale walipojiweza kwa kijeshi na hata kiuchumi.Baada ya shambulizi la kwanza la Israel kwa Iran la 12th June, Waziri wa mambo ya kigeni wa Iran simu yake ya kwanza ilikuwa ni Beijing kwa Wang Yi, Waziri wa mambo ya kigeni wa China na simu ya pili ilikuwa Islamabad ndio maana mapema sana Pakistan ikatangaza kuwa bega kwa bega na Iran.
Great Firewall ya China
Economic impacts
edit
The Great Firewall has also allowed China to develop its own major internet services, such as Tencent, Alibaba, Baidu,[100][101] Renren, Youku, and Weibo.[102]:β8β China has its own version of many foreign web properties, for example: Bilibili and Tencent Video (YouTube), Weibo (Twitter), Moments[103] and Qzone (Facebook), WeChat (WhatsApp), Ctrip (Orbitz and others), and Zhihu[104] (Quora). With nearly one quarter of the global internet population (700 million users), the internet behind the GFW can be considered a "parallel universe" to the Internet that exists outside.[12]
Whatever might be said on the side of Iran will be the story of too little to late because the regime is currently on the life support system and possibly next month the country might be hosting a new establishment.
Those who choose to argue this assertion can do so but the fact that the so called islamic regime is quickly running out of the playing cards is a vivid manifestation based on the course of the strife.
When the US president Mr. Donald Trump said today concerning the war between the sworn enemies in arms that next week will be a decisive, only the intelligent people know what he conotes and our ardent eyes will surely be glued to our tv sets to see what will transpire.
Mwemyewe ana kisanga pale Taiwan
Mimi ni Pro-Iran kwenye hii vita lakini hapo Waajemi ndipo wanaponikwaza "ego"Wairani wanatapatapa na kama ulivyosema ego ya kujiona wao wapo sawa au kuzidi mataifa makubwa ndio imewacost
Haya dunia inaelekea resetIssue ya Taiwan ni suala la muda tu
Utumwa Bado ni tatizoWhatever might be said on the side of Iran will be the story of too little to late because the regime is currently on the life support system and possibly next month the country might be hosting a new establishment.
Those who choose to argue this assertion can do so but the fact that the so called islamic regime is quickly running out of the playing cards is a vivid manifestation based on the course of the strife.
When the US president Mr. Donald Trump said today concerning the war between the sworn enemies in arms that next week will be a decisive, only the intelligent people know what he conotes and our ardent eyes will surely be glued to our tv sets to see what will transpire.
Irani haitaji msaada wa nchi yoyote kuichapa IsraelWengi wamekuwa wakisema China sio mshirika wa kuaminika kwa Iran.
Kwanza kabisa China haina ushirika wa kulindana na Iran na wala hawajawahi kusign bilateral security and defence partnership.
China ikiwa bado haina nguvu kubwa za kijeshi kama sasa imewahi kuisaidia North Korea na Vietnam kijeshi na kuingia frontline kuzichapa.
Kwa nini isiwe kwa Iran? Hapa kuna sababu 3:
1. Back in 2021, China na Iran zilisaini mkataba wa USD 400 billion wa miaka 25 kwa ajili ya strategic cooperation kwenye masuala ya nishati, bandari, finance n.k
Miradi ilisitishwa na Tehran, mikataba wakaitupia kabatini. Ushirikiano wa bandari ya Chabahar ulikwama, vifaa vya masuala ya energy vilikamatwa na IRGC, na katika hali ambayo ilionekana kama chuki ya makusudi, Iran ilikodisha bandari ya Chabahar kwa India mkataba wa miaka 10.
2. Deal la kununua silaha.
Mwaka 2021 na 2022 Beijing iliipa Tehran deal la kununua fighter jets J10CE na hata maafisa wa jeshi la Iran walifika hadi China. Ikumbukwe J10CE ni ndege vita zilezile ambazo Pakistan alinunua kutoka China na ziliisaidia Pakistan kuangusha French made fighter jets Rafale za India kwenye vita ya hivi karibuni.
Badala yake mwaka 2023 Tehran ilikwenda Moscow kununua Su-35 na S-300, kwa makusudi wakapiga chini Chinese military hardware. Na hii ni kwa sababu Iran wanajiona superior race kuliko China na Chinese weapons ni inferior quality.
Mwaka 2023 Urusi ilikuwa bado kwenye vita na Ukraine hivyo haikuwa rahisi kwa Russian defense contractors kuingia kwenye production line na kufanya uzalishaji wa Su-35 na kudeliver kwa wakati Iran. Kwa sababu ya kuwa arrogant Iran bado haikuirudia China kufufua lile deal la J10CE
Mpaka kufikia mwaka huu 2025 tunapoongea not a single Su-35 has arrived in Iran, no production line, no training system, no change in combat readiness
3. Hata sasa hivi Iran iseme ianze kununua silaha za China hazitakuwa na msaada kivile.
Iran haijatengeneza mifumo yake ya ulinzi na silaha kwa Chinese military hardware zaidi ni ile ya Urusi na ya West.
Hata China iseme inaipa mifumo yake ya ulinzi na silaha Iran haitaweza kuitumia kwa weledi kwa sababu Iran inahitaji wapate training. Na wakipewa silaha wakashindwa reputations ya Chinese weapons itaharibika.
Pakistan na Egypt wateja wakubwa wa silaha za China wamekuwa wakipew training na China.
Labda baada ya hii vita Iran should consider switching to Chinese weapons.
All in all hypersonic na ballastic missiles za Mwajemi ni vinu aisee Tel Aviv wanazifahamu vizuri πππ