Kitu ambacho wewe haukijui ni kuwa Sheria za kimataifa haziruhusu kiwauwa viongozi wa nchi Kwa kuwavizia kwahiyo alicho kifanya Israel ni uhalifu na ugaidi inatakiwa UN wamuadhibu Kwa kosa hiloKwa nini Israel imekuwa na uwezo mkubwa wa kuwaua senior Iranian generals kwa haraka?
Viongozi wakubwa bado wanatumia iPhones badala ya Huawei.
Bado wanatumia apps za Meta kama WhatsApp, facebook n.k
Wanashare files kupitia app za PlayStore
Leo kwa mara ya kwanza Iran imewataka raia wake kuacha kutumia WhatsApp kwa sababu inakusanya user data kama location
Hili liwe somo kwa mataifa mengine kudevelop their own apps and operating systems kama China
Trump hana kabisa shida na anatamba kwamba muda wowote ataamua hatima ya Ayatollah na genge lake.Kitu ambacho wewe haukijui ni kuwa Sheria za kimataifa haziruhusu kiwauwa viongozi wa nchi Kwa kuwavizia kwahiyo alicho kifanya Israel ni uhalifu na ugaidi inatakiwa UN wamuadhibu Kwa kosa hilo
Ila hilo jambo ndio limempa Iran haki ya kuishambulia Israel anavyotaka maana Sasa Israel anahesabika kama gaidi na mchokozi dhidi ya Iran
Ndio maana Trump kiti hakikaliki yajayo yanafurahisha
😁😁😁
Wewe ni wa wapi? Kwani Iran kashindwaKwa nini Israel imekuwa na uwezo mkubwa wa kuwaua senior Iranian generals kwa haraka?
Viongozi wakubwa bado wanatumia iPhones badala ya Huawei.
Bado wanatumia apps za Meta kama WhatsApp, facebook n.k
Wanashare files kupitia app za PlayStore
Leo kwa mara ya kwanza Iran imewataka raia wake kuacha kutumia WhatsApp kwa sababu inakusanya user data kama location
Hili liwe somo kwa mataifa mengine kudevelop their own apps and operating systems kama China
Case closed.Simple tu, China haijaisaidia moja kwa moja Iran kwenye vita na Israel kwa sababu inataka kulinda diplomatic balance, inafanya biashara na pande zote mbili,, haitaki kuharibu interests zake za kiuchumi na kisiasa globally.
What will follow will be the liquidation of the Iranian top leadership something that will leave the Iranian military with no military command and control structure a situation that will definitely lead to the capitulation of its armed forces and subsequently the fall of the regime.Too early to reach a conclusion that Iran will lose this war
Apparently, Iran has just launched new types of missiles. Maybe hypersonic?
Israel will find out in a few minutes
Haki ya nani waarabu akili hawana, umoja pia hawana. Acha wachapwe tu na Myahudi.CDF wa Pakistan yupo Marekani tangu June 14 kwenye ziara na atakutana na Trump,kwa kifupi Wairani wanatapatapa na kama ulivyosema ego ya kujiona wao wapo sawa au kuzidi mataifa makubwa ndio imewacost,alichotakiwa ni kuplay low profile kama walivyofanya wenzake mpaka pale walipojiweza kwa kijeshi na hata kiuchumi.
Hiki ndo kinamfanya asiweke mguu popote ambapo US yupo.Mwemyewe ana kisanga pale Taiwan
Hawawezi kukuelewa mkuu. Watakwambia hiyo vita ina manufaa gani hadi wananchi tuteseke n.kPopulation ya china ni bilioni, ukiwa na watu wengi hivi ukajiingiza kwenye ugonvi, la kutokea likatokea ni ngumu kuwa manage, ndio maana China yuko busy kutafuta maslahi ya watu wake. Mfano itokee tu hata vituo vya kuzalisha umeme, njia kuu za kusafirishaji zishambuliwe, hiyo pressure ya watu bilioni unafanyaje?
Iran ilishindwa kununua J-10C sababu haina cash kutokana na sanctions za muda mrefu. Haikuwa na USD au Euro ya kulipia hizo ndege ikataka kulipia thamani ileile kwa mafuta na gesi ila China ikakataa.Kwa nini Israel imekuwa na uwezo mkubwa wa kuwaua senior Iranian generals kwa haraka?
Viongozi wakubwa bado wanatumia iPhones badala ya Huawei.
Bado wanatumia apps za Meta kama WhatsApp, facebook n.k
Wanashare files kupitia app za PlayStore
Leo kwa mara ya kwanza Iran imewataka raia wake kuacha kutumia WhatsApp kwa sababu inakusanya user data kama location
Hili liwe somo kwa mataifa mengine kudevelop their own apps and operating systems kama China
Vita si rahisi inahitaji uthibutuHiki ndo kinamfanya asiweke mguu popote ambapo US yupo.
Huo ndio unafiki sasa, kama una mtu ambaye unadhani ni rafiki wa karibu halafu wakati unashambuliwa hataki kukusaidia kwa sababu anaona atawakwaza wale wanaokushambulia, huyo sio rafiki mzeeSimple tu, China haijaisaidia moja kwa moja Iran kwenye vita na Israel kwa sababu inataka kulinda diplomatic balance, inafanya biashara na pande zote mbili,, haitaki kuharibu interests zake za kiuchumi na kisiasa globally.
Iran ilishindwa kununua J-10C sababu haina cash kutokana na sanctions za muda mrefu. Haikuwa na USD au Euro ya kulipia hizo ndege ikataka kulipia thamani ileile kwa mafuta na gesi ila China ikakataa.
Vilevilez J-10C sio ndege inayoifaa sana China badala ya Sukhoi Su-35. Su-35 ni ndege kubwa yenye range kubwa, powerful radar, inabeba uzito mkubwa wa munitions na ni heavy fighter wakati J-10C ni medium. Kwa hiyo first option hapo ni Su-35.
Iran ingekuwa na hela ingenunua zote mbili ila ndio hivyo ikaagiza Urusi ambao wanachelewa. Ingawa na China walikuwa wanasita kwa sanctions za Iran.
Irani haitaji msaada wa nchi yoyote kuichapa Israel
Kitu ambacho wewe haukijui ni kuwa Sheria za kimataifa haziruhusu kiwauwa viongozi wa nchi Kwa kuwavizia kwahiyo alicho kifanya Israel ni uhalifu na ugaidi inatakiwa UN wamuadhibu Kwa kosa hilo
Ila hilo jambo ndio limempa Iran haki ya kuishambulia Israel anavyotaka maana Sasa Israel anahesabika kama gaidi na mchokozi dhidi ya Iran
Ndio maana Trump kiti hakikaliki yajayo yanafurahisha
Ni wapi imesemwa Iran imeshindwa?Wewe ni wa wapi? Kwani Iran kashindwa