Kwa nini China haijaisaidia Iran kwenye vita vyake na Israel?

Kama waliunda hizo ndege kwa nini wanashindwa kuzinesa na fighter jets za Myahudi zinazoingia anga la Iran kama kwao?​
 
Msaada wa Iran kwa Syria au makundi ya wanamgambo haupo kwenye cash. Thamani yake ipo kwenye material ambayo yanathaminishwa kwa fedha. Si kwamba Iran ilikuwa inatoa $700 million cash kwa Hezbollah, ilikuwa inatoa training, supplies na weapons ambazo zimethaminishwa hivyo. Kama ni USD ni kwa kiasi kidogo.

Pia deal la J-10CE ilikuwa iwe zaidi ya $3 billion ambazo Iran isingepata kwa muda huo. Ikawa ni mojawapo ya sababu kukosa kusaini.
 
China inatoa cash kununua mafuta ya Iran, sasa Iran inakosaje cash kununua fighters?

Na Iran ilikuwa inatoa cash na materials kuisaidia Syria na Hezbollah
​
 
Ni ngumu sana kimkwepa myahudi kwa sasa hata utumie sim kutoka china.. Hawa wayahudi wamejipenyeza kila kila mahali.. Yale ma pager yalitengenezwa wapi. Hata huko Huawei utakuta Kuna myahudi ilisha jipenyeza huko
 
...
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-19-18-21-41-639.jpg
    274.2 KB · Views: 18
Liquidation of the Iranian regime?

U.S and Israel should deploy boots on the ground to take a territory

But it's a sunk cost fallacy by that point. Iran is not the ideal country for boots on the ground warfare

It's a big ass mountainous, treacherous ass country, Iran has a rugged landscape that makes a mountainous Afghanistan look like a flat playground sandbox

If the Americans couldn't beat the Taliban in Afghanistan with boots on the ground, how come they can beat Iran in their own back yard?

You have to be completely devoid of intelligence if you believe America could
​
 
Ni ngumu sana kimkwepa myahudi kwa sasa hata utumie sim kutoka china.. Hawa wayahudi wamejipenyeza kila kila mahali.. Yale ma pager yalitengenezwa wapi. Hata huko Huawei utakuta Kuna myahudi ilisha jipenyeza huko
Sio kwa China
 
pakistan alimdhalilisha india hadi akaomba yaishe, pale china alionyesha ubabe
 
on point
 
Xi Jinping, uko sokoni kutafuta masoko?
 
pakistan alimdhalilisha india hadi akaomba yaishe, pale china alionyesha ubabe
Umesema vyema, Muhindi na Rafale zake ambazo ni mojawapo ya ndege vita bora kwa upande wa NATO imebidi aombe yaishe

Naamini Iran Air Force kwenye fleet yao wangekuwa na J-10CE wangeruka nao Israel Air Force ki-dogfight

Na IAF wasingekuwa na uthubutu wa kuingia anga la Iran kiholela

J-10CE inakuja na networked warfare doctrine, pamoja na radar, electronic warfare systems, missile systems PL-15E, data-link infrastructure na full pilot training support

Kwa kifupi, J-10CE ni plug and play combat package
​
 
wewe ulisema China iingie kumsaidia Iran wakati Iran mwenyewe anajipigia vya kutosha, hakuna haja kwa sasa china kuingia
Iran inahitaji BeiDou satellite navigation system ya China for missile and drones guidance​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…