Kwa nini kuupinga Mkataba wa Bandari inaitwa "udini" lakini kuunga mkono sio udini?

Viongozi wetu wanatuchanganya sana, wakiwa wanataka kupata sapoti ya dini mbalimbali wanaomba kuombwea na aidha pakiwa na ujumbe mfano kipindi cha uchaguzi wanatuma wajumbe mbalimbali kuombea amani ya Nchi uchaguzi upite salama. Katika haya yote huwa hawaoni kama wanachanganya dini na siasa.
Ila pakiwa na jambo lipo la Kitaifa viongozi wa dini aidha dhehebu moja au madhehebu mengi wakitoa msimamo wao ambao uko tofauti na matakwa ya Serikali/viongozi utawasikia wanasema tusichanganye dini na siasa.
 
Hii imekaa vizuri !
 
Ni udini na Tanzania haina dini ya taifa kitendo cha kutumia mabaraza ya dini kupush ajenda za kisiasa haikubaliwi madhehebu ni mengi kila mtu akifanya hivyo tunaharibu umoja na ustawi wa taifa tuache udini ktk siasa na masuala ya kitaifa ila tuendelee na kuwa na dini zetu kwa kuwa kuamini au kuabudu ni la mtu binafsi tusilifanye kuabudu ni suala la kitaifa hii ni secular state and this state is neither muslim nor christian.
 
Hawa waliingiza tende na halua!!??View attachment 2723696
Hicho ndio kizuri tunataka isimame katikati kama state mfano hio barua amesaini mwantumu vs bakwata huu ni weledi wa kutenda hivyo hivyo hoja za waraka ni kuleta udini ktk taifa hii ni secular state mambo ya siasa na uwekezaji wao watu wa dini sio yao waache serikali ifanye ihangaike nayo ktk kutuletea maendeleo kutokana na ilani zao za siasa tukumbuke hatuna dini ya taifa we are secular state.
 
Hapo ndipo wanafika kikomo cha ujanjaujanja. Hawawezi kujibu, they resot to Udini, Ukabila, CHADEMA, and all other nonsense.
 
Kwanza hoja yako sio kweli. Hakuna ukweli kwamba wanaopinga wanaitwa wadini na wanaokubali sio wadini. Kama ni mfuatialiaji mzuri wa mdahalo huu, utagundua kwamba Wadini wapo pande zote mbili. Yaani Kuna wanaopinga Mkataba wa Bandari kwa hoja za kidini. Mfano, Anayejiita Askofu Mwamakula anapinga kwa hoja za udini na FaizaFoxy aunga mkono Mkataba kwa hoja za udini. Wengine kama Mimi, ni Mkatoliki safi kabisa na naunga mkono kwa nguvu zote ubinafsishaji wa Bandari yetu.
 
Pale ndugu Robert anapojitahidi kuwaelimisha mapepo waache kunywa Damu!!!
 
Pale ndugu Robert anapojitahidi kuwaelimisha mapepo waache kunywa Damu!!!

Aisee

Lakini kuusapoti Kwa kupitia haohao maaskofu sio udini?
 

Kwa hiyo hoja ya Watu Kutumia dini katika Siasa haipo?
 
Viongozi wa Afrika na Tanzania kwa ujumla ni Ndumila Kuwili.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
Una hoja nzuri....
 
Hizo ada zinawahusu wasio wakatoliki tu au ni kwa wagonjwa wote? Kama ada ziko juu kwa uende huko?

Kuhusu kupitisha mizigo kwani wenye mamlaka bandarini ni wakatoliki pekee. Usividhalilishe vyombo vyombo vinavyoendesha na kudhibiti shughuli za bandari
Hiviii huuu mkataba una dini gani mpaka watu wanakesha wanaimba watu wasiuguse? Maana ukiugusa unagusa dini. Kuna vipengele gani katika mkataba huu vyenye udini ndani yake ili visigushwe? Kumbe kwa mkataba huu uwekezaji umegeuzwa kuwa ni siasa, waachiwe wanasiasa pekee ndiyo waujadili? Jamani tunaelekea wapi mbona watu wanatulazimisha tusiongelee vipengele vyenye utata tunambiwa faida tu, hasara je mbona hatuambiw
 
Mkuu, usichanganye historia na siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…