Kwa nini Rais hajakemea Ushoga badala yake anasema maadili?

We mwanao akiwa shoga unakubali na siku ya harusi yake unakwenda kama mzazi mwanao kijana wa kiume anaolewa, tuanzie kwanza hapo.
Msichanganye kati ya ushoga na ndoa za jinsia moja. Ushoga hauhitaji harusi, huo upo nchini tangu muda mrefu tu wala tusiwasingizie wafadhili. Jambo ambalo ni geni kwa Tanzania (na Africa) ni hilo la ndoa za jinsia moja, ambazo walau hapo unaweza ukahusisha na harusi
 
Hiyo ngumu kwani yawezekana wenzetu
 
Kama hupendi mwanao awe shoga ni bora hata usi comment hapa kwamba ni haki za kibinadamu.

Ungeacha lilivyo tu, unaposema ni haki za binadamu ina maana unapiga kampeni, unafiki ni pale unapiga kampeni kwa wengine kuwa mashoga hali ya kuwa wewe hutaki.

Kama inavyokuuma wewe kijana wako asiwe shoga basi elewa pia hisia za wengine wanapokataa watoto wao, ndugu n.k kuwa mashoga.

Hao wazungu mbona hawakuwahi kupata rais shoga, aingie ikulu na mwenza wake na wawe wanatembea kwenye ziara pamoja.
Wazungu nao ni wanafiki tu.
 
kuishi na fedheha au aibu ni Tatizo la kiutimamu.

Tuungane Pamoja na Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kukemea utovu wa kimaadili kuanzia kwenye familia zetu πŸ’

..Znz inasemekana ni makao makuu ya ushoga.

..sasa inasemekana ukipinga ushoga unaweza kuwa anaipinga Znz.

..mimi nimeambiwa hivyo. Usije ukaninukuu.
 
Naweza kuwa sipendi kuvuta sigara halafu nikaelewa haki ya watu wengine kuvuta sigara kwa sababu hao watu wana uhuru wao binafsi.

Usichoelewa ni nini hapo?

Hao wenzetu wana viongozi mashoga, ni wewe tu hujajielimisha kuwajua.

 
Nchi, makanisa na misikiti vinakemea zinaa, lakini vijana mnakesha mkifanga zinaa
Nchi, makanisa na misikiti vinakemea uvivu, lakini vijana mnakesha mkibet
Hiyo n mifano tu

Sasa hata liwekwe bango kubwa angani la kukemea ushoga, bado mashoga na ushoga vitaendelea kuwapo

Juzi imevuja video ya kijana (msanik) akimla demu tigo, ni kinyume na sheria, lakini amepelekwa wapi??? Na wew ulilalamika wapi zaidi ya kufurahia connection???

Acha unafiki
 
Mangi anasemaje?
 

Sasa kama dini yenu ya kikatoliki imeruhusu ushoga kwanini maaskofu wenu ndio wasisimame mbele na kuupinga badala yake unataka Raisi aingilie uhuru wenu wa kuabudu
 
We mwanao akiwa shoga unakubali na siku ya harusi yake unakwenda kama mzazi mwanao kijana wa kiume anaolewa, tuanzie kwanza hapo.
Assume wewe ni mzungu lazima utaenda.


Tumeassume miaother ni mzungu mwanae anaolewa.
 
Sasa kama dini yenu ya kikatoliki imeruhusu ushoga kwanini maaskofu wenu ndio wasisimame mbele na kuupinga badala yake unataka Raisi aingilie uhuru wenu wa kuabudu
Nafikiri kila mtu aijenge familia yake kwenye misingi anayoona inafaa
Tunakatazwa zinaa, hatufanyi?
Tunkatazwa uvivu, hatushindi tubet?
Tunakazwa wizi, hatuibiani?
Vijana wangapi leo wanakula tigo?
Video ngapi za ngono zinavuja, wanapelekwa wapi?

Linda familia yako ndug
 
..Znz inasemekana ni makao makuu ya ushoga.

..sasa inasemekana ukipinga ushoga unaweza kuwa anaipinga Znz.

..mimi nimeambiwa hivyo. Usije ukaninukuu.
sifahamu kwa kweli πŸ’
 
Hilo jibu limejibu swali la kwanza nlilokuuliza, ina maana kama hupendi ushoga mwanao kama ameamua kuwa huwezi mkataza, ahsante.


Mi nimezungumzia rais, iwe mfano kwa vijana. Na haitotokea US ikawa na rais shoga.

Sawa hupendi kuvuta sigara lakini bora wavuta sigara kwenye pakiti ya sigara kuna ONYO, lakini ushoga unapigiwa promo, mifano yako ni irrelevant.

Wavunjaji wa haki za binadamu ni hao EU na US. Huo ndio unafiki kwenda kuua vitoto vya kiarabu kikatili kisa tamaa za mafuta halafu ukija huku una preach haki za binadamu.

Kinachotokea duniani si kigeni, dunia ni ile ile tu, zamani wazungu n.k walikuja Africa kukamata watu kwa nguvu na kuua kisha kuwatumia shambani kama vibarua, leo hii wazungu wanavamia gulf states kwa nguvu au kuwalazimisha kuendana na sera zao. Huu ndio unafiki wenyewe.
 
Njia sahihi ya kupambana na ushoga ni kwa kimya kimya, yaani jamii inawabana kimya kimya bila watetezi wao kushtuka hadi wanaacha wenyewe.

Vita hizi pamoja na ile ya machangudoa usipaze sauti, ni ile style ya kimbiza mwizi kule Buguruni - kimya kimya - ukikamata unaminyaa
 
Ushoga unalisaidia nini taifa hadi apoteze muda kuuongelea?

Watoto wanakaa chini hawana madawati halafu tupoteze nguvu na muda kujadili ushoga, wewe ushoga ulishakusaidia nini au ulishakupunguzia nini?
 
..mambo ya ushoga huku Tanganyika yameletwa na Wazanzibari.

..wakati tunakua tuliambiwa ushoga uko Mombasa na Zanzibar.
UShoga una viasilia na pwani - kwa hiyo ni kweli Mombasa na Zenji ndiyo chibuko.

Sababu nenda mikoa ya kanda ya ziwa uone kama kuna ishoga wa waziwazi kama Zenji, Dar, Tanga
 

..haiwezekani kwa Tanzania.

..kuna mtu mwenye mamlaka anatuhumiwa kuwa msagaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…