Kwa nini Rais hajakemea Ushoga badala yake anasema maadili?

Si sheria zipo tayari, na mtu akikutwa na hatia anafungwa miaka 30 sasa akemee kitu ambacho kinahitaji utekelezaji tu?

Then unaposema hapingi kwani ni lini Tanzania tumeambiwa tuwe mashoga ili yeye atakiwe kusema Yes or No?

Huyo JPM mwenyewe kipindi Makonda anakamata mashoga alimkana kabisa na wala hakuwahi unga mkono operesheni ile!! Maana sheria zipo wala sio suala la kusimama majukwaani ni wewe mtafute tu mkamate basi kelele za nini?
 
Ushoga ni suala la faragha ya mtu binafsi, unajuaje US haijawa na rais shoga tayari?

US ina waziri Buttigieg shoga wa wazi, alikuwa meya wa mji mkubwa tu na mgombea urais.

Sigara ina onyo lakini kuna matangazo ya kununua sigara, watu wanaamua. Wakiamua wenyewe kuvuta sigara licha ya onyo wewe tatizo lako nini?

EU na US kuua watu kwa sababu ya mafuta ni topic tofauti ambayo haihusiani na mjadala huu, fungua uzi tuichambue kwa kina.

Watoto wenu wenyewe wanakuwa mashoga kwa raha zao, mmeshindwa kuwalea muwape maadili mnayoyataka wenyewe, badala ya kujilaumu mmeshindwa kulea watoto vizuri, bado mnamlaumu mzungu?
 
Ko kujiona unajua kingerez ndo unajiona kwamba wew ni most brain thinker kwamba wew ndo una iQ kubwa wew ni wamaana na kujiona ni bora kuzid hao watanzania ambao lugha mama ni kiswahili acha matus na mambo ya kudhalilisha watanzania kwamba hawajui iyo english ambayo unajiona ndo kama dunia yako upuuzi tu
 
Hakuna niliposema mimi bora, ila, ukikosa kujua Kiingereza unakosa kujua elimu kubwa sana ya dunia ambayo ipo katika Kiingereza na haijawekwa katika Kiswahili.

Hili halipingiki.
 
Kuzungumzia issue ya EU na US ni pale wakiona rais kutoka Africa anaongea hadharani kukataa ushoga huwa wanachukia na kuweka vikwazo kwa kigezo cha haki za binadamu, baadae wanatoka Libya n.k kuua wananchi na kuharibu mali za watu pia kuleta machafuko, sasa hizo ndio haki za binadamu au unafiki?

Kwamba rais kutoka Africa akizungumza kukataza ushoga basi atakuwa adui tayari, lakini wao kwenda kufanya vurugu na mauaji kwingine ni sawa na wasiingiliwe.

Kiongozi yeyote kutoka Africa akipinga ushoga mi na support, dunia haina usawa, hao wenyewe wanaotegemewa ndio wa kwanza kukiuka haki za binadamu.
 
Kwani kuna tofauti kati ya ushoga na usagaji?
 
Ushoga kama haki ya binadamu si suala la EU na US, ni haki ya binadamu kama vile haki ya uhuru wa kuabudu.

Na hao watu wa EU na US wakivunja haki za binadamu sehemu nyingine una haki ya kuwasema bila kudogosha hoja ya haki za mashoga.

Kufanya hivyo ni logical fallacy ya logical non sequitur.
 
Kama ni haki ya kila mwanadamu nimekuuliza tu vizuri unaanza kukwepa swali.
We unachukulia ushoga ni haki ya binadamu kama ilivyo uhuru wa kuabudu, Je mwanao kijana wa kiume akiamua kuwa shoga utapendezwa? Kama hutopendezwa kwa nini?
 
Kama ni haki ya kila mwanadamu nimekuuliza tu vizuri unaanza kukwepa swali.
We unachukulia ushoga ni haki ya binadamu kama ilivyo uhuru wa kuabudu, Je mwanao kijana wa kiume akiamua kuwa shoga utapendezwa? Kama hutopendezwa kwa nini?
Nikipendezwa au nisipopendezwa mimi jibu langu lina umuhimu gani katika suala la haki za binadamu za dunia nzima?

Kama kuvuta sigara ni haki ya mtu, ikiwa mimi sitaki mwanangu avute sigara, mimi kutotaka mwanangu avute sigara kunaathiri vipi haki hiyo ya watu kuvuta sigara?
 
Kuvuta sigara ni kuharibu afya, kuwa shoga ni kujiondolea utu, kujidhalilisha na kudhalilisha ndugu zako na pia ni hatari kwa afya yako.
Hivyo ushoga na uvutaji wa sigara unaona kabisa ni uharibifu, ni vitu vinafanana kwa sababu havijengi bali kuharibu. Japo naona umejibu kisisasa kwamba hutokubali udhalilike kama baba.

Kingine nimekuuliza si kwa nia ya kutumia kauli yako kuhalalisha ama kukataza ushoga, bali nimeuliza kufahamu maoni yako.

Mwanao akikuambia anataka kujiendeleza na career flani nzuri yenye manufaa utampongeza na km support kwa sababu ni jambo la kujenga, mwanao akitaka kuwa shoga utamkataza kwa sababu si suala la kujenga.

Naona tumeelewana.
 
Tambuwa kuwa ushoga ni sub set ya maadili mabaya?
 
Hawezi kukemea na hatoweza, akiweza basi atawezwa na wanao muweza
 
HAAAAA KISAGIO CHA TAIFA MNAKIWEKA MTU KATI🤪🤪
 
Rais ni muislamu na kila mtu anafahamu msimamo wa waislamu kuhusu ushoga.
 
Umeshindwa kujibu alichouliza huyo
 
Dogo itakuwa unaliwa kwasababu hata unachokiandika ni utumbo tupu
 
Umeshindwa kujibu alichouliza huyo
Si suala la kushindwa kujibu.

Ameshindwa kujadili hoja kidhahania ana i personalize kwangu.

I may simply have a rule to not talk about my family in the hypothetical in these matters, and that's my boundary, just respect tgat.

Lakini oengine hamjui boundary ni nini, na hivyo hatuwezi kuelewana.

Hata mimi nisingezaliwa, mjadala huu ungekuwepo na ungekuwa na umuhimu huo huo, sasa kwa nini maoni yangu binafsi yawe na umuhimu sana hapa?

Mimi sitoi maoni yangu binafsi tu, naongelea hoja zenye logical consistency.

Unaelewa tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…