Kwa nini Rais hajakemea Ushoga badala yake anasema maadili?

Kwasababu ya mawazo yako ni yakipuuzi mno,halafu jifunze kuandika kwa ufasaha...ujishindwa ni kitu gani?
Ukitaka kazi ya kuwa secretary wangu karibu.

On second thoughts, wewe mwenyewe unaandika bila spacing.

Nakupeleka ignore list unashusha viwango vya mazungumzo. Kuanzia hapa sitaona unachopost.

Sitaki shari na country bumpkins hapa.
 
Ukitaka kazi ya kuwa secretary wangu karibu.

On second thoughts, wewe mwenyewe unaandika bila spacing.

Nakupeleka ignore list unashusha viwango vya mazungumzo. Kuanzia hapa sitaona unachopost.

Sitaki shari na country bumpkins hapa.
Wewe ni shoga ndio maana umecharuka, hapa umeulizwa swali fupi tu kuwa mwanao akiwa shoga utafurahi?
 
Mzanzibari Halisi yuko wapi?
Labda anaweza kutueleza kwa nini rais hakemei ushoga.
Ushoga,wabunge wamekemea,inatosha.
Ushoga tumesema unasababishwa na dieting,faulty eating,that's all.
 
unataka melo afungiwe kama alivyofungiwa mange na insta?
 
Kwa akili yako anayeishi kijijini haijui Dunia? Mbona kama uko chini ya kiwango. Tangu enzi za wWarumi bado unaamini Kijijini wako chini ya kiwango! Rubbish of a sort!

International media una maana za US ndo international? Ni ile syndrome kwamba ukiifahamu US unaifahamu Dunia. Mambo ya late night show yanatuhusu nini TZ. comedian wanafurahisha local audience. Kinachofurahisha US siyo lazima kilete raha Bongo. Yaani tuseme ushoga ni bora ili late night show wasitucheke?
 
Wacha mbwembwe wewe, hata huu mtandao wa internet unaoutumia kuidogosha Marekani umeanzishwa na Wamarekani.

Servers za Jamiiforums hii unayoitumia kuwadogosha Wamarekani zipo Marekani.

Kaanzishe mtandao wako wa mabua kijijini kwako Tanzania halafu nenda kasifie hicho kijiji chako na kuwakashifu Wamarekani nitakuona mtu wa maana.

Vinginevyo unaleta unafiki wa "Baniani mbayq, kiatu chake dawa".
 
ataukemeaje wakati serikali inaishi nao kwa mikataba

Prof mwakyembe alishafunguka ,kwamba wizarani afya ,wanamikataba ya ushoga
Hata wasomi!
Pale UD wanapewa na chama cha mashoga kuendesha kitengo cha mambo ya tabia nchi. Waulize pale geography
 
Ombaomba na mzururaji kama yule hawezi bwana, watamla kichwa🤣
 
Mambo ya kiarabu hayo! Tutawaudhi. Hata hivyo nakwenda kusoma ujumbe wa Mange Kimambi!
Bado anaendelea na hizi issue za kutoa habari za mambo ya ajabu ajabu!! nilifikiri atakuwa ameamua kuachana nayo.
 
Usitoke kwenye mada mambo uliyoandika kwamba watu wa kijijini. sijawalaani kwa teknolojia. Tunalaani mambo yao wanayoingiza kwa wengine, kutaka tulamishwe.
Kama hayo yote yako marekani ndo tulawitiwe?
Polepole tufanyishwe yasiyofaa kisa kuna server na mtandao?
 
Wewe uko kijijini kimawazo hata yasiyofaa na yanayofaa huyajui tofauti yake.
 
Kwa hiyo kijijini kwa tafsiri yako ni kutojua? Hiyo nayo ni aina ya ignorance
Kijiji cha Tanzania, si kijiji tu

Kijiji chenye choo la shimo, barabara mbovu, kisicho na umeme, maji safi na salama. Typical Tanzanian village.
 
MImi nakuunga mkono.Siamini m-TZ kuamini ustaarabu ni kuwafurahisha wamarekani. Yeye kasema kama rais wa nchi yake. Mbona US inataka Assange apelekwe? Na akipelekwa wanataka anyongwe! Ni wao na huyu ni yeye. so what

Hongera kwa kuipenda Amerika.
Hata wewe unaipenda Amerika, unatumia mtandao wa internet ulioanzishwa na Amerika.

Unatumia Jamiifirums, serves zake ziko Amerika.

Kama kweli huipendi Amerika anzisha mtandao wako wa mabua kijijini kwako.

Vinginevyo utakuwa unaleta unafiki wa "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
 
Haiingii akili kwa mtu mzima kufurahishwa na hili kutoka Amerika, halafu anaamua kufurahia na lile hata kama ni jambo la hovyo tu! Mtu mzima?
 
Haiingii akili kwa mtu mzima kufurahishwa na hili kutoka Amerika, halafu anaamua kufurahia na lile hata kama ni jambo la hovyo tu! Mtu mzima?
Nakwambia hivi, kama huipendi Amerika toka hata hapa, huu mtandao wa JF unaoutumia servers zake ziko Amerika.

Internet yenyewe imeanzishwa Amerika.

Acha unafiki wa "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…