ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #261
Shukran sana mkuu π₯π₯WACHANGIAJI WOTE MMECHANGIA KWA WELEDI , UMAHIRI BILA KUPUNGUZA UTONDOTI WALA KUTIA TASHISHI ZISIZO MAANA...Haya karibuni bia sasa
Najishikilia mkuuShukran sana mkuu π₯π₯
Sasa kua makini na unachoandika π π
Safiii sanaNajishikilia mkuu
Yaani! Kwa hiyo naruhusiwa au siruhusiwi? πMimi sio mkorofi kabisa
Ila tu hua siruhusu mipaka yangu ivunjweπ π
Kuruhusiwa nini sasa mkuu πYaani! Kwa hiyo naruhusiwa au siruhusiwi? Na mipaka yako haitavunjwa kamwe! ππ·
Asante sanaShukran sana mkuu
Karibu sanaππ
Madam mm nakukubali sana πUnataka nini kwani wewe?
Tokea huko juu sikuelewi ujue ?
Umetumwa?
Huoni kama unafanya ujinga sana?
Baada ya kutoa shomboMadam mm nakukubali sana π
Yaani kila kitu twasakiziwa sie π€£π€£Itβs has a name βParasocial relationshipβ it has no gender.
π₯ π₯ π₯ π― Mkuu, Kongole sana.Swali zuri sana mtu mmoja wapo ni mimi,huwa siwezi kukaa na chuki kwa muda mrefu,yani tunaweza kuzinguana sasa na muda sio mrefu napotezea.
Ila kwanza ifahamike hakuna mtu ambaye hachukii au hakasirki,hizi ni hisia ambazo tumeumbwa nazo na ndio ubinadamu wenyewe
Ila tofauti inakuja kwenye kuzihifadhi hizi hisa,kuna wengine wanahifadhi kwa muda mrefu,wengine muda wa kati na wengine akina sie,chap tu tunaendelea na maisha yetu kana kwamba hakuna kilichotokea aibu unaona wewe
Kwanza ni kujua chuki inakudhuru wewe mwenyewe,yes usifikiri eti nikiimchukia flani namkomoa au ntamfanya ajisikie vibaya,hapana huenda yeye ashasahau tayar,ila wewe kila ukimuona ndio unachefukwa zaidi,kwahiyo inakutafuna wewe mwenyewe
Kwahiyo ukishalijua hili basi you let it go,kwakuwa unajipa nafasi ya kujiponya mwenyewe
Lingine fikiria katika namna ambayo ni positive zaidi
Mfano:
Binti Kiziwi amenitukana,sasa hapa fikiri au jaribu kujua kwanini amenitukana. Huenda swala ambalo limetokea baina yetu lilikuwa kubwa sana kwake kulihandle ndio maana akajikuta kanitukana,huenda hayupo strong emotionally
Kwahiyo ukifikir kwa mtazamo huu unapata justification kwani yametokea haya yaliyotokea
Lingine ni Ile hali ya kuwa na stress free, huwezi kutokuwa na stress kama kila jambo unaliweka kichwani au moyoni,jifunze kuachilia mambo ambayo yapo nje ya uwezo wako
Mtu kukutukana au kutokukutukana ni swali ambalo lipo nje ya uwezo wako,ila ambalo lipo ndani ya uwezo ni jinsi gani utaamua kulipokea hilo jambo,sasa amua kulipokea positively na the rest itakuwa amani tu
Apo ndo unapokosea au bdo dawa hazijafanya kazi πππ tuongeze doziBaada ya kutoa shombo
Pita π«΄
Maskini π€£ π€£Apo ndo unapokosea au bdo dawa hazijafanya kazi πππ tuongeze dozi
Majivuni yatakuponza sho'lako πΎMaskini π€£ π€£
Haya jimwaemwae shoga yanguπ€
Utaka unijie na maneno ya shombo nikunyenyeke peleka ujinga wako hukoMajivuni yatakuponza sho'lako πΎ
Wajinga ndio waliwao x3 πΆUtaka unijie na maneno ya shombo nikunyenyeke peleka ujinga wako huko
Nikuulize kwa mfano hua mnapata faida gani kuibuka na ma I'd tofauti tofauti na kuanza ku mshambulia mtu?Majivuni yatakuponza sho'lako πΎ
Mjinga namba moja ni wewe hapo Shame on youWajinga ndio waliwao x3 πΆ
sasa nani kaleta shombo mm au ww
Wajinga ndio waliwao x3 πΆUtaka unijie na maneno ya shombo nikunyenyeke peleka ujinga wako huko
Naona kisukari kimefikia levo mbaya sana inabdi tukuwashe hospitali, usipoangalia utaishia pabayaπNikuulize kwa mfano hua mnapata faida gani kuibuka na ma I'd tofauti tofauti na kuanza ku mshambulia
Halafu baada ya kumshambulia mtu mnataka kunyenyekewa kwa sababu zipi?
Wewe ni nani hasa kwenye maisha mpaka unipe onyo ?
Hii I'd yako ndio kwanza naina leo
Ila nashangaa unavyonikalia kooni
Hivi ukiangalia huu uzi mwanzo mpaka mwisho hujioni kama una matatizo ?
SidhaniMjinga namba moja ni wewe hapo Shame on you
Sikujua kama na deal na tahila π€£ππΌWajinga ndio waliwao x3 πΆ
sasa nani kaleta shombo mm au ww
Naona kisukari kimefikia levo mbaya sana inabdi tukuwashe hospitali, usipoangalia utaishia pabayaπ