Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

Duh kasheshe mbona, Sasa mtu anajiamulia frequency au frequency ndio ina kuchagua?
 
Shukran sana
sikujua kuhusu hili aiseee
 
What's your practice mkuu,
And how do you stay grounded?
Practice yangu imetoka kwenye mkusanyiko mwingi na mkubwa wa vipande vipande kutoka sehemu mbalimbali ambavyo napaswa kuvi unganisha na kufikia neutrality ( katikati) au emptiness( utupu) au tasteless ( isiyo na ladha)

I stay grounded by inner standing that I m absolutely nothing and live in state of nothingness. Mimi sio kitu ni mtupu na Sina umuhimu kabisa wala Sina sababu ya kujipa umuhimu, Mimi ni mavumbi na majivu.
 
Likes and dislikes huwa zinakuwa soo subjective kulingana na connotation ambayo mtu anayo
 
Duh kasheshe mbona, Sasa mtu anajiamulia frequency au frequency ndio ina kuchagua?
Ngoja nikupe mfano, ukiwa Dar ukitaka kwenda Songea unaweza ukapita njia ya morogoro, iringa au ukapita njia ya kusini kupitia Lindi na Mtwara na ukafika Songea. Zote ni njia na zitakufikisha.

Choice ni ya kwako ila kikubwa ni Kutambua njia ya kukufikisha katika masafa unayotaka au destination ambayo unataka ufike kutokana na mahitaji na dhamira yako
 
Wewe kwangu ni nani?
Maana mara unicharure mara ufungue uzi au na weww hujui kama unanikubali au hunikubali?
Ohoo😂
Je hii iko nje ya mada?

Binafsi na kukubali, ila nilikuwa na kuchukia mwanzo, because ya ile negative energy ambayo ulikuwa unaleta, pale mtu a navyo jaribu kuku challenge. Ila ni kawaida maana we share the same existence but live in different realities..

Kukuandikia uzi ni kawaida yangu, na hakuna mtu wa kunikataza, next ni ephen_ so a get ready
 
Utakuta mtu anakuchukia akiona ww umekaa kimsimamo huyumbi, unapigilia pamba kali huna muda na watu watu wengi watakuchukia tu bila sababu yaani ni chuki binafsi

Una sikia jamaa ana jikuta sana sijui ana jikuta nan uyo jamaa

Sababu za kijinga sana wanatak mtu wa kuwapelekesha asa kazini HR ana kuchukia bila sababu
 
And huwa najaribu kuwaeleza hawa viumbe kuwa hawana maana kabisa ila. Wanaojifanyaga wabishi kama nguruwe😂

I feel like ni nahitaji a more deep conversation na wewe mkuu, we seem to match on higher levels of awareness, Nitakuja privately kukuuliza maswali kidogo mkuu.

At the very core though we are nothing, we are everything. Ni wapuuzi tu wenye egoistic identity wanakaa kujilinda na ego zao.
 
Uzi una makundi mawili tofauti, Wazee wa frequency (Vibration/energ) vs wazee wa sayansi ya ubongo (Subconscious mind)

Tushike lipi? Au tuchukue zote kama school of thoughts.
Subconscious na process zake zote zina ingia kwenye (vibrations and energy)

Either unajua au haujui una emit a certain vibration kupitia conscious and subconscious processes.
 
Mkuu hii ni elimu mpya kwa baadhi yetu, tueleweshe kama tuko vidudu. Kwahiyo kwa mfano mimi nikizaliwa nikaanza kujitambua mimi ni binadamu, Hizo Frequency nazaliwa nazo au nafanya kitu fulani kuzipata?

Swali langu linajibu fact yenu ya kuwa binadamu tunatofautiana hizo energy/frequence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…