Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,929
- 7,927
Wewe jamaa unatafuta kutukanwa na mishangazi ya humu. I second youWanawake weusi wa kizenji ndio wanaoongoza kutumia mikorogo waonekane waarabu.... wakivua yale mabuibui utakimbia wana mabaka kama kenge
Huenda asingekuwa na jina kubwa alilonalo hivi sasa.Hakuna..
Sipatii picha yesu angekuwa mwafrika
Kuna kitu kinaitwa devil incarnation wahindi, waarabu Hawa Wana amini utu unaweza kuwa unateseka sababu ya 👿 👿 devil incarnation sababu vizazi vyako havikuishi vizuri 😊Walioko Uarabuni wanasema ni vigumu kwa kijana mweusi kuwa na mahusiano ya mapenzi au kuzaa na binti wa Kiarabu na unaweza kuuwawa kabisa na familia yake wakijua una mahusiano ya mapenzi na binti yao.
View attachment 3676114

dini ni imani ya mtu juu ya maelekezo ya Mungu...huwezi kulazimisha watu wa imani tofauti waoane ili hali mitazamo yao haiendaniKuna ndoa nyingi zimeshindikana kufanyika kisa wahusika wana amini katika dini tofauti. Kitu cha kijinga kabisa kinacho endelea miongoni mwa waafrika.
Sio ubaguzi?dini ni imani ya mtu juu ya maelekezo ya Mungu...huwezi kulazimisha watu wa imani tofauti waoane ili hali mitazamo yao haiendani
inategemea wewe umeamua kutafsiri vp,? ila kwangu sio ubaguzi bali ni preference..haki ya mtu kuchagua anachokipendaSio ubaguzi?
Musa😁Sio tu duniani
Nitajie nabii alietumwa na Mungu iwe kwenye biblia au kwenye Qur an ambae alikuwa mweusi?
inferiority inaletwa na uchumi mbovu ndugu. Nenda China au korea au hata uarabuni uone jinsi gani hawawashobokei wazungu.Sisi wenyewe inferiority yetu dhidi yao ndio imetufanya kuwaweka hao watu kwenye daraja la juu......
Sisi wa africa wenyewe tunajiona inferior mbele ya mtu mweupe asiye kuwa muafrika labda warangi na albinos.......
MWAMPOSASio tu duniani
Nitajie nabii alietumwa na Mungu iwe kwenye biblia au kwenye Qur an ambae alikuwa mweusi?
SureHuenda asingekuwa na jina kubwa alilonalo hivi sasa.