Kwa nini Wanajeshi, polisi, magereza na Usalama wa Taifa bado wanamlilia Rais Magufuli?

Sasa hao ni jamaa zako, sio? Kwanini usiwaulize?
Haya yote mengine yalikuwa Blah Blah tu. Alikuwa anataka kusema mengine.

Hawa wazungu wamejaa chuki, wanataka kubadilisha Fikra zetu, wanataka kutuchonganisha, kutugawa. Yaani wanadai wanatusaidia.
Watashindwa tuu
 
Mkuu mtoto wa ndugu yangu katoka juzi tu segerea baada ya miezi kadhaa alipewa kesi ya kukaba kwa kutumia silaha na ni wengi tu walikamatwa na bado wanaendelea kukamatwa na kugewa hizo kesi yani hata ukitoka polisi wanakwambia hapa utarudi tu.

Ambacho hukisemi alikamatwa na nini, yaani una maana flatly walimkamata tu bila sababu....no probable cause?

Get outta heree
 
Mkuu sijakuelewa kabisa au hujanikusudia mimi?
 
Kwa sababu aliwaruhusu kuchukua rushwa na kuonea raia watakavyo..

Saizi marufuku kukamata mtu Kama huna ushahidi.
Huna uthibitisho wowote ule
Ati aliwaruhusu.
Mnamkumbuka Mke wa Waziri wake aliishia wapi. Unajua alisema nini Baada ya lile tukio?

Sisi Watanzania tunakumbuka....msimezeshe sumu zenu humu, waongo nyie.
 
hawapati tena posho za kupiga, kutesa na wakati mwingine kuua viongozi na wafuasi wa CHADEMA.

yule mzee binafsi ninampenda sana lakini sera yake ya kutaka kuua CHADEMA alipotoshwa ila nimemsamehe.
 
Huna uthibitisho wowote ule
Ati aliwaruhusu.
Mnamkumbuka Mke wa Waziri wake aliishia wapi. Unajua alisema nini Baada ya lile tukio?

Sisi Watanzania tunakumbuka....msimezeshe sumu zenu humu, waongo nyie.
Mwendazake aliongea mwenyewe kwamba Polisi wasisumbuliwe wanachukua vihela vidogo vidogo.
 
hawapati tena posho za kupiga, kutesa na wakati mwingine kuua viongozi na wafuasi wa CHADEMA.

yule mzee binafsi ninampenda sana lakini sera yake ya kutaka kuua CHADEMA alipotoshwa ila nimemsamehe.
Huyo alikuwa na kinyongo Binafsi baada ya kuchukuliwa mjengo wake....sio siri hawakuwa wanalipa THC utoto wake wa mjini akataka kuuleta....akaamua uhasama wake kwa Ugaidi. Vyombo vya Usalama vikafanya kazi zake. Mahakama vikafanya kazi zake....
 
Kweli kabisa, uvaaji wa kaunda/safari suti ulishamiri sana wakati wa dikteta jiwe
Uvaaji wa ngozi ya kondoo na Uumbwa mwitu wenu tunaujua.

Kwani kuvaa Kaunda suti na Safari suti ndio ina maana gani?

Lugha zenu za Ukimbari, pamoja na kutulaziimisha maadili yenu na Tamaduni zenu za kuzaa na Dada zenu.....Msituletee. Nyie ni sumu na Hatari kwa Afya na Usalama wa Taifa lelote.
 
Hao askari watakuwa ni wapumbavu sana kama kweli wapo kuweza kumlilia mtu aliyekufa na kuzikwa miaka 2 iliyopita. Kimsingi ni majuha
Hata Marekani kuna wapuuzi kama wewe ru. Yaani mijitu mipumbavu yameshindwa kura, yanadai wameibiwa. Mijuha.

Kule kwa Kibibi chenu Uingereza nako wamelialia wee na misura yao ya Ukimbari wakifikiria Mungu wao amekufa. Toba....Mijuha
 
Ni kawaida kwa Watanzania kujifanya wanawapenda Marehemu kuliko walio hai. Unafiki upo hata kwa familia kwahiyo hakuna ajabu hapo
 
Ni kawaida kwa Watanzania kujifanya wanawapenda Marehemu kuliko walio hai. Unafiki upo hata kwa familia kwahiyo hakuna ajabu hapo
Hata yule Bibi wenu wa Uingereza alivyokufa pwaa Walimlilia sana.
Kawaida.

Matusi yenu na Kejeli zenu zenye Lugha ya Ukimbari ni Hatari kwa Usalama wa Taifa lelote.

Rudi kwenu Haramia weeeee
 
Hao ni wale ambao wana akili na mawazo mgando kwamba Rais akiwa madarakani hawezi kufa.

Kwahiyo bado wana msongo wa mawazo wakizinduka watakuta wenzao wanaoenda na muda na kukubaliana na matokeo wamepiga hatua kubwa kimaendeleo.
 
Hata Malikia wenu Amekufa.
Papa wenu Amekufa.
Adolf Hitler Amekufa.

Donald Trump ameshindwa kura....Amekufa kisiasa.

Huo mgando upo kwenu huko kwa Wazungu wenzako. Kila kona kuna misanamu yao. Wamekufaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…