Kwa nini wavuta bange wengi ni wahuni , matendo na akili zao zimepinda ?

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
17,595
Reaction score
39,893
Moja kwa moja.

Kwa utafiti usio rasmi ;

Wahuni akili mbovu wengi ni wavuta bange

Watu wakitaka kufanya matukio ya kinyama wanavuta bange kwanza

Watoto wanaanza kuvuta bange mapema asimia kubwa wanapoteza focus kwenye masona ,maisha na kuanza wizi , uhuni na matendo mengine ya hovyo .

Wavuta bange kujiona wao MaGenius zaidi , akitoa maoni anaona hakuna mawazo mengine Bora kuliko yake na lazima ufuate mawazo yake na wanakuwa na confidence ya kipuuzi

Miongoni mwa mijitu ya hovyo zaidi Duniani ni wavuta bange hata mawazo yao ni ya kibwege sana.

#UziTayari
images (42).jpeg
 
Attachments

  • images (37).jpeg
    images (37).jpeg
    25.9 KB · Views: 26
Sifa hizo mbona sizioni kwa Barack Obama, Bill Clinton, na Bob Marley?
Hawa wamekili hadharani kuwahi kutumia bangi (pot/marijuana).
Inajulikana na raisi mstaafu wa nchi jirani. Hapo Northern East ya bongoland.
 
Kuvuta bangi na kuwa muhuni havina mahusiano kabisa ! 😂 Ni vile tu mnashobokea mambo wabongo !!

Nakula kijiti na sio muhuni na naishi vyema na mche nimeandaa mwenyewe
 
Attachments

  • 90c5628b691b6aaca193ae6431d754cc.jpg
    90c5628b691b6aaca193ae6431d754cc.jpg
    91.8 KB · Views: 30
  • c5fef2282e891a796631e7af7e89fdaa (1).jpg
    c5fef2282e891a796631e7af7e89fdaa (1).jpg
    362.6 KB · Views: 34
  • 58f7489c3042964f7c588761f593ddc7.jpg
    58f7489c3042964f7c588761f593ddc7.jpg
    111.2 KB · Views: 27
Moja kwa moja.

Kwa utafiti usio rasmi ;

Wahuni akili mbovu wengi ni wavuta bange

Watu wakitaka kufanya matukio ya kinyama wanavuta bange kwanza

Watoto wanaanza kuvuta bange mapema asimia kubwa wanapoteza focus kwenye masona ,maisha na kuanza wizi , uhuni na matendo mengine ya hovyo .

Wavuta bange kujiona wao MaGenius zaidi , akitoa maoni anaona hakuna mawazo mengine Bora kuliko yake na lazima ufuate mawazo yake na wanakuwa na confidence ya kipuuzi

Miongoni mwa mijitu ya hovyo zaidi Duniani ni wavuta bange hata mawazo yao ni ya kibwege sana.

#UziTayari
View attachment 3519494
Unamfahamu Elon Musk?
 
Bangi inavutwa kwa malengo,mfano kupata nguvu za ziada na kuwa jasiri,kuongea ukweli bila kumuogopa unayemuangalia,naamini hawa Vijana wa sasa hivi bangi inawasaidia maana hawadanganyiki kiurahisi na watawala
 
Back
Top Bottom