Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
HahahahahaaaaaJomba huyu ndo kipenzi chenu kwa sasa?
HahahahahaaaaaJomba huyu ndo kipenzi chenu kwa sasa?
SawaNdio maana sometimes unaleta mada za Kipimbi humu.
Kamshauri vincenzo jr sio mimiA.P au tahajuudi
ganja usivute kwenye magroup
vuta asubuhi na jioni tu
nyonga ganja mwenyewe
tafuta chimbo lenye usalama na tulivu
kuwa msafi
usivute ganga mpk uka seize
usichanganye na fegi au nyota
vuta dry
machache zingatia hayo.
Mimi siuzi kaka ,huu nakula tu mwenyewe 😂😂 kiroho safi tu ni dawa kama maua tu ! Au bado pia ni uhaini ?Dah kumamae ,hela hizi duh ,basi tu ni vile fake ID nabaki kula kwa macho tu .
Kaka kuwa makini ni hatari mkuu wangu
Hazipo sawa zipo extra mileElon Musk unamuona akili zake zipo sawa ?
Pamoja kakaMimi siuzi kaka ,huu nakula tu mwenyewe 😂😂 kiroho safi tu ni dawa kama maua tu ! Au bado pia ni uhaini ?
Wote tunakunywa pombe ila hatupendi kuitwa walevi, tunapenda mademu hatutaki kuitwa malaya, tunaishi dar lakin hatupendi kuitwa wanaume wa dar, hata mvuta sigara hatapenda kuitwa kwa title ya mvuta sigara, mkulima mwenyewe akifika town hataki kuitwa mkulima. Wageni dar hatupendi kuitwa wakuja, hata Stars isingependa kuitwa underdog Leo. Umeona eeehKama bangi ni kitu kizuri kwa nini achukie kuitwa Mvuta Bangi
Sio kweli nawatetea ten ukome kabisa.Moja kwa moja.
Kwa utafiti usio rasmi ;
Wahuni akili mbovu wengi ni wavuta bange
Watu wakitaka kufanya matukio ya kinyama wanavuta bange kwanza
Watoto wanaanza kuvuta bange mapema asimia kubwa wanapoteza focus kwenye masona ,maisha na kuanza wizi , uhuni na matendo mengine ya hovyo .
Wavuta bange kujiona wao MaGenius zaidi , akitoa maoni anaona hakuna mawazo mengine Bora kuliko yake na lazima ufuate mawazo yake na wanakuwa na confidence ya kipuuzi
Miongoni mwa mijitu ya hovyo zaidi Duniani ni wavuta bange hata mawazo yao ni ya kibwege sana.
#UziTayari
View attachment 3519494
Hapana inatefemea na kichwa cha mtumiajiMihadarati huondoa utimamu wa akili.
Ubarikiwe sana jamaa yanguKuvuta bangi na kuwa muhuni havina mahusiano kabisa ! 😂 Ni vile tu mnashobokea mambo wabongo !!
Nakula kijiti na sio muhuni na naishi vyema na mche nimeandaa mwenyewe
Saana tuu kama marehemu alikua anapiga pafu 2.. 3 alafu anaanz kutumbua majipu bila wogaBangi inavutwa kwa malengo,mfano kupata nguvu za ziada na kuwa jasiri,kuongea ukweli bila kumuogopa unayemuangalia,naamini hawa Vijana wa sasa hivi bangi inawasaidia maana hawadanganyiki kiurahisi na watawala
Saana tuu kama marehemu alikua anapiga pafu 2.. 3 alafu anaanz kutumbua majipu bila wogBangi inavutwa kwa malengo,mfano kupata nguvu za ziada na kuwa jasiri,kuongea ukweli bila kumuogopa unayemuangalia,naamini hawa Vijana wa sasa hivi bangi inawasaidia maana hawadanganyiki kiurahisi na watawala
AmenNavuta sana mkuu Toka mwaka 2007 hadi Leo
Bange haina madhara kabisa
Huyu mwamba nimemdharau sanaBro mimi nakula "kitu" na nina uhakika 100% nimekuacha mbali sana kimaisha. By the way nipo Finland kimasomo, hapo vipi Chief!? Mimi sio wa hovyo kama ulivyotuita wavuta 'kitu'