Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Umetoroka na hela au umerudi na jitambi lako tu?Nimetoroka kibahatibahati tu shindii
Umetoroka na hela au umerudi na jitambi lako tu?Nimetoroka kibahatibahati tu shindii
Kweli inategemea na kichwa cha mtuBasi bangi ina kichwa na kichwa nawajua wavuta bangi wengi ni watu wakulipuka anaweza kufanya tukio la ajabu
Shindii hapo kwenye kitambi unanionea😁Umetoroka na hela au umerudi na jitambi lako tu?
Shindii kula bia na nyama choma🤣🤣🤣Shindii hapo kwenye kitambi unanionea😁
Hahaha shindii sipendi uneneShindii kula bia na nyama choma🤣🤣🤣
Kwani wewe kuni?Hahaha shindii sipendi unene
Kawaida tu shindiiKwani wewe kuni?
Kwanini Hadi niwapangie Mimi wakati Mimi hakuna alienipangia mzee, ubaya wa kitu ni nini? Namna Fulani ndo namna gani?Watoto wako au mkeo utawaruhusu kuvuta bange ?
Japo sina kitu katika maisha ila najivunia kutowahi kuvuta bange , bange mbaya sana .
Wachache sana wanaosalimika na bange ila lazima itawaathiri kwa namna fulani