Kwa nini wavuta bange wengi ni wahuni , matendo na akili zao zimepinda ?

Kwa nini wavuta bange wengi ni wahuni , matendo na akili zao zimepinda ?

Lakini mbona Popoma Genta havuti ila yuko resi? Hii topic ni ngumu sana kupata conclusion. Nikiwa form four aliyeongoza kwa kupiga One ya 7 alikuwa mvuta bangi wa kimyakimya ila hatari. Marafiki zangu wote niliokuwa nao shule walipiga One na wachache TWO. Hata kwenye maisha baada ya shule bado wako vizuri hawajachanganyikiwa. Kwa hiyo ni ngumu sana kuilaumu bangi kwa 100%.
 
Moja kwa moja.

Kwa utafiti usio rasmi ;

Wahuni akili mbovu wengi ni wavuta bange

Watu wakitaka kufanya matukio ya kinyama wanavuta bange kwanza

Watoto wanaanza kuvuta bange mapema asimia kubwa wanapoteza focus kwenye masona ,maisha na kuanza wizi , uhuni na matendo mengine ya hovyo .

Wavuta bange kujiona wao MaGenius zaidi , akitoa maoni anaona hakuna mawazo mengine Bora kuliko yake na lazima ufuate mawazo yake na wanakuwa na confidence ya kipuuzi

Miongoni mwa mijitu ya hovyo zaidi Duniani ni wavuta bange hata mawazo yao ni ya kibwege sana.

#UziTayari
View attachment 3519494
SAYNGAY
 
Lakini mbona Popoma Genta havuti ila yuko resi? Hii topic ni ngumu sana kupata conclusion. Nikiwa form four aliyeongoza kwa kupiga One ya 7 alikuwa mvuta bangi wa kimyakimya ila hatari. Marafiki zangu wote niliokuwa nao shule walipiga One na wachache TWO. Hata kwenye maisha baada ya shule bado wako vizuri hawajachanganyikiwa. Kwa hiyo ni ngumu sana kuilaumu bangi kwa 100%.
Screenshot_20251220_115636_Instagram.jpg
 
M
Navuta sana mkuu Toka mwaka 2007 hadi Leo
Bange haina madhara kabisa
Mimi sivuti Ila nimewatetea.
Sioni tatizo.
Naiona faida.
Inatumika kama tiba.
Inawafanya wavutaji wajitambue na kuwa na misimamo. Hicho kitu kinawafanya serikali na wote wanaotaka kutawala wenzao waiharamishe (criminalize). But I think they need to legalize marijuana.
It makes people realize themselves, become conscious, vigilant, and rebellion to the system. They hate tyranny.
 
A.P au tahajuudi
ganja usivute kwenye magroup
vuta asubuhi na jioni tu
nyonga ganja mwenyewe
tafuta chimbo lenye usalama na tulivu
kuwa msafi
usivute ganga mpk uka seize
usichanganye na fegi au nyota
vuta dry
machache zingatia hayo.
Mimi ni nani wa kumpinga BLACK TIGER hii comment yako nimeiwekea lamination na fremu juu afu nimeibandika kwenye ukuta wa sebule yangu, LEGALIZE WEED 🙏🙏
 
Kuvuta bangi na kuwa muhuni havina mahusiano kabisa ! 😂 Ni vile tu mnashobokea mambo wabongo !!

Nakula kijiti na sio muhuni na naishi vyema na mche nimeandaa mwenyewe
Naiona filter😂😂
Kama bangi ni kitu kizuri kwa nini achukie kuitwa Mvuta Bangi
Sio anaichukia ila ana pretend mbele ya watesi wake walioaminishwa kuwa bangi ni mbaya ili wawapo pamoja waongee lugha Moja,mvuta Bangi anapenda amani kuliko kawaida hataki kuwa disappoint watu wanaomzunguka
 
Back
Top Bottom