Ustadh Osama hakuwa anavuta bangi ila alikuwa anaangalia porno videos sana.Wapo wengi tu labda wewe haujawahi kuona
Watoto wako au mkeo utawaruhusu kuvuta bange ?Bro mimi nakula "kitu" na nina uhakika 100% nimekuacha mbali sana kimaisha. By the way nipo Finland kimasomo, hapo vipi Chief!? Mimi sio wa hovyo kama ulivyotuita wavuta 'kitu'
Pamoja kakaUbarikiwe sana jamaa yangu
Kanuni ya maisha
1. Kula vizuri
2. Vaa vizuri
3. Fanya ibada
4.Vuta bangi
Shindii shindi shindii acha bangiMmevurugwa na maisha wenyewe huko mkawa wa hovyo, then mnakuja kuisingizia bangi!!
Unamfikia kwa lipi?Namfahamu ndio
Kenyata mbona anaonekana wazi ni mvuta bangi.Sifa hizo mbona sizioni kwa Barack Obama, Bill Clinton, na Bob Marley?
Hawa wamekili hadharani kuwahi kutumia bangi (pot/marijuana).
Inajulika na raisi mstaafu wa nchi jirani. Hapo Northern East ya bongoland.
Haswaaaa.Mmevurugwa na maisha wenyewe huko mkawa wa hovyo, then mnakuja kuisingizia bangi!!
Uhuru Kenyatta,Julius Nyerere na sigara.Sifa hizo mbona sizioni kwa Barack Obama, Bill Clinton, na Bob Marley?
Hawa wamekili hadharani kuwahi kutumia bangi (pot/marijuana).
Inajulika na raisi mstaafu wa nchi jirani. Hapo Northern East ya bongoland.
Huyo kipwnzi Cha roho yako Vale Nafaka?
Wengi hawajui ganja inafungua milango yote ya ufahamuMmea unakikuza na kukionyesha ambacho tayari kipo ndani...art, math, piece, violence, love na mengine..
Mtoto wangu wa kwanza baada ya siku40 nilimpulizia moshi wa ganjaWatoto wako au mkeo utawaruhusu kuvuta bange ?
Japo sina kitu katika maisha ila najivunia kutowahi kuvuta bange , bange mbaya sana .
Wachache sana wanaosalimika na bange ila lazima itawaathiri kwa namna fulani
Shindiii umefufuka!! Nimefurahi kukuona.Shindii shindi shindii acha bangi
Shindii matarimo wa pale kwenye mabohora alitaka nifanya mariooShindiii umefufuka!! Nimefurahi kukuona.
Bangi siachi🤣🤣
Nilijua tu huyu pampula kuna mahali analelewa si bure🙆♂️🙆♂️Shindii matarimo wa pale kwenye mabohora alitaka nifanya marioo
Nimetoroka kibahatibahati tu shindiiNilijua tu huyu pampula kuna mahali analelewa si bure🙆♂️🙆♂️