😂 🙌Kanuni ya maisha
1. Kula vizuri
2. Vaa vizuri
3. Fanya ibada
4.Vuta bangi
Kama huna akili ni hauna Tu mzee, visingizio vya ninMihadarati huondoa utimamu wa akili.
Navuta sana mkuu Toka mwaka 2007 hadi LeoKumbe na wewe unavuta ?
Unamfahamu Elon Musk?Moja kwa moja.
Kwa utafiti usio rasmi ;
Wahuni akili mbovu wengi ni wavuta bange
Watu wakitaka kufanya matukio ya kinyama wanavuta bange kwanza
Watoto wanaanza kuvuta bange mapema asimia kubwa wanapoteza focus kwenye masona ,maisha na kuanza wizi , uhuni na matendo mengine ya hovyo .
Wavuta bange kujiona wao MaGenius zaidi , akitoa maoni anaona hakuna mawazo mengine Bora kuliko yake na lazima ufuate mawazo yake na wanakuwa na confidence ya kipuuzi
Miongoni mwa mijitu ya hovyo zaidi Duniani ni wavuta bange hata mawazo yao ni ya kibwege sana.
#UziTayari
View attachment 3519494
Magaidi hawavuti bangi.Mihadarati huondoa utimamu wa akili.
Bangi inavutwa kwa malengo,mfano kupata nguvu za ziada na kuwa jasiri,kuongea ukweli bila kumuogopa unayemuangalia,naamini hawa Vijana wa sasa hivi bangi inawasaidia maana hawadanganyiki kiurahisi na watawalaMoja kwa moja.
Kwa utafiti usio rasmi ;
Wahuni akili mbovu wengi ni wavuta bange
Watu wakitaka kufanya matukio ya kinyama wanavuta bange kwanza
Watoto wanaanza kuvuta bange mapema asimia kubwa wanapoteza focus kwenye masona ,maisha na kuanza wizi , uhuni na matendo mengine ya hovyo .
Wavuta bange kujiona wao MaGenius zaidi , akitoa maoni anaona hakuna mawazo mengine Bora kuliko yake na lazima ufuate mawazo yake na wanakuwa na confidence ya kipuuzi
Miongoni mwa mijitu ya hovyo zaidi Duniani ni wavuta bange hata mawazo yao ni ya kibwege sana.
#UziTayari
View attachment 3519494
Sehemu ya ibada ya naniHii ndo mada ya kipimbi ya kufungia mwaka
huo utafiti wako umeufanyia wapi?
je wewe ulishawahi vuta ganja ukawa muhuni?
je unajua ganja ni sehemu ya ibada?