Kwa nini wavuta bange wengi ni wahuni , matendo na akili zao zimepinda ?

Akili yako ni ndogo ganja ina faida kubwa sana kwenye mwili wa binadamu mm nikiiingia zangu shamba nagusa jembe sio pw
 
Watoto wako au mkeo utawaruhusu kuvuta bange ?

Japo sina kitu katika maisha ila najivunia kutowahi kuvuta bange , bange mbaya sana .

Wachache sana wanaosalimika na bange ila lazima itawaathiri kwa namna fulani
Kwanini Hadi niwapangie Mimi wakati Mimi hakuna alienipangia mzee, ubaya wa kitu ni nini? Namna Fulani ndo namna gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…