Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

We umetembea pwani ipi yenye dongo zuri!?..mkuranga yote mchanga,bmoyo,kisarawe Kuna mbuga ya selous huruhusiwi kufanya chochote,kibaha gani Ina dongo zuri,misugusugu!?
 
We umetembea pwani ipi yenye dongo zuri!?..mkuranga yote mchanga,bmoyo,kisarawe Kuna mbuga ya selous huruhusiwi kufanya chochote,kibaha gani Ina dongo zuri,misugusugu!?
Bagamoyo kuna mbuga ya selous????????????????????????????????????????????
 
Kumbe mpumbavu
Sasa kaka ukiambiwa ukweli waita watu wapumbavu tenaa!?
Nammanga nimefika nikiwa kama gold broker mzee kule wazawa wa kuwahesabu ila wadada wa kimakonde kibao wanaojiuza.
Kubali kataa.
 
We umetembea pwani ipi yenye dongo zuri!?..mkuranga yote mchanga,bmoyo,kisarawe Kuna mbuga ya selous huruhusiwi kufanya chochote,kibaha gani Ina dongo zuri,misugusugu!?
Mzee unajua hata vikindu na Kisemvule ni Mkoa wa Pwani wilaya ya Mkuranga!?
Kuja mpaka huku mlamleni embu nenda uone kama hakuna ardhi ya kulima kule.
 
Tanga ilijengwa na wajerumani kabla ya ujinga wa matambiko
We Tanga mji wanawake wa kisambaa ndio wanaongoza kupambana kuliko wanaume mji utakuaje!?
Kuanzia Ngamiani kuja mpaka Dongwe kurudi mpaka Mgandini na mwakizaro yake kote tembea unambie idadi ya wanawake na wanaume ipi kubwa kiutafutaji.
Majengo mazuri sana sana ya waarabu koko.
 
Hawana elimu wachafu hawajui kupika ,wala Nguruwe kama Mbeya Na Songwe hawana wanachojua .
 
Sisi hatutaki shida. Ninyi mna tabia za kipuuzi za kutaka kuonekana mnafanya sana kazi. Sisi hatutaki complications za maisha. Mtuwache... Hatutaki shida. Tunalamba tu asali kwa raha zetu.
 
Acha kudanganya watu. Hii mikoa inaongoza kwa wasomi wa Quran? Au wasomi wa nini?
Mkuu mbona katika kila quote zangu unapenda kuleta masuala ya Qur'an!?
Toka Tz inaundwa nenda kafuatilie mikoa inayoongoza kutoa wasomi ni ipi kama sio kanda ya ziwa hususan Mwanza.
Hata viongozi wengi ni kanda ipi kama sio kanda ya ziwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…