Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Utapiamlo ? Hiyo migodi inaleta uchumi upi?

Onyesha takwimu ya mapato usiwe mjinga ,ambao wazungu wanachota nyie mmebaki na umaskini kama Geita...Leta takwimu uchumi za kiuchumi sijui kama shule umesoma!?πŸ˜…πŸ˜…

Nimetembea huko watu wananuka wanashangaa hata perfume ,wabara kuweni wasafi hata vyuoni nyie ni wachafu sana mna harufu kama beberu.
 
Kwa nini unaitoa dar ukanda wa pwani!?
Sijaitoja Dar ukanda wa pwani.
Bali nimeipa exception kwa sababu Dar ni mji uliojengwa kwa nguvu kubwa ya serikali kimkakati.
Na ndio financial hub.
Tofauti na mikoa mengine raia walianza kuitanua serikali ikaona miji ikikua ndio wakaiwezesha.
 
AiseeπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.
Kwahiyo kunukia perfume ndio kuendelea ndio civilization!?
Kweli huwezi mzidi mtu wa pwani kwa mdomo.
Unaniuliza mimi kuhusu kusoma ilhali wewe unaleta mihemko badala ya fact!?
Aiseee!
 
Utapiamlo na ukimwi ni wenu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…jamii za mwisho kabisa yaani bara hakuna maendeleo ,mkija pwani kwenu mnapaona kinyaaa.

Vyoo hakuna wengi wachafu ,magonjwa ya aibu kama kuharisha ndio yenuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…...Wabara wengi ni mambumbumbu hawajielewi.
 
Ukanda wa pwani wote ,uchumi wa Dar tu no sawa na takataka chafu zote za bara kama unabisha soma...Nienda huko bara nikafanye nn watu wananuka midomo hata kupiga mswaki tatizo..
πŸ˜…πŸ˜…Mnaleta shobo wezi wakubwa.
Narudia kusema Dar imejengwa na serikali kimkakati kwaajili ya kiuchumi kama uonavyo Dodoma ikijengwa kwa sasa.
Ila cha ajabu wanufaikaji wakubwa Dar wa hiyo mikakati ni wabara sio wapwani.
Hata ajira wabara ndio huzikamata kwa wingi kuliko wapwani.
NInyi hata mkae wapi kuendelea ni vigumu.
 
Leta ushahidi.
Maana nijuavyo Dar ndio inaongoza kwa maambukizi ya Ukimwi.
 
Acheni shobo na sisi ,tumewafundisha mengi sana wazazi wenu walikuwa hatwajitambui .

Elimu tumewapaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…wabara bado wachafu hamna jipy ,mnakuja pwani kujifunza mengi.
 
Leta ushahidi.
Maana nijuavyo Dar ndio inaongoza kwa maambukizi ya Ukimwi.
Miko yote na kilimo chenu za kimaskini hakifikii hata bandari mojaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…mmejazana hapa washamba .

Ndio maana nakuambia hujui kitu mbar ,Dar sio ya kwanza shenzi achana na hizi za utapiamlo kaangalie za Ukimwi ,

Ukimwi unapata sana wapumbavu wa bara ndio wamauleta pwani.
 
Leta ushahidi.
Maana nijuavyo Dar ndio inaongoza kwa maambukizi ya Ukimwi.
We nae hapa napo pa kubishania!
Mkoa unao ongoza kwa maambukizi ni:
1.Njombe
2.Mbeya
3.Iringa
4.Songwe
5.Shinyanga

Hapo Simiyu haitoki sita bora.
 
Ivi kuna sehemu inaitwa pwani? Masikiki wakubwa nyie mpaka kina mpanda wamewazidi pamoja na nguvu za viwanda,
Ivi apo ulipo unaweza kulima ata shamba la 5Γ—5meters kwasiku?.
 
Sasa kwani hiyo mikoa haipo kwenye orodha ya mikoa maskini nchini ?
 
Kwa hiyo wakazi wa Pwani wananunua chakula kutoka Dsm ?
 
Sijaitoja Dar ukanda wa pwani.
Bali nimeipa exception kwa sababu Dar ni mji uliojengwa kwa nguvu kubwa ya serikali kimkakati.
Na ndio financial hub.
Tofauti na mikoa mengine raia walianza kuitanua serikali ikaona miji ikikua ndio wakaiwezesha.
Serikali wakaiwezesha vipi hiyo miji!?..hakuna mji unaokuzwa/jengwa na serikali, serikali ikihamia dodoma totally,dom haitokua Kama dar hata ipite miaka 20,dar imejengwa na bandari,mji hukua kwa shughuli za kichumi za mji husika,geita,kahama,nzega zimesaidiwa Sana na migodi
 
Ni jinga mmoja tu atakubaliana na upuuzi wako dar kuna msukumo mkubwa wa serikali licha ya mambo mengi yaliyopo ila kubari dar ni jiji la kiserikali kama Dom.
 
Ni jinga mmoja tu atakubaliana na upuuzi wako dar kuna msukumo mkubwa wa serikali licha ya mambo mengi yaliyopo ila kubari dar ni jiji la kiserikali kama Dom.
Kuna pesa kiasi gani zinazoingia kwenye mzunguko uchumi wa dar toka bandarini,na pesa kiasi gani toka serikali kuu dar!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…