Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

wapumbavu nyie hamna jipya ushamba kwenda mbele
 

Attachments

  • #TagFriends #MwambieNaMwenzio.mp4
    1.3 MB
we fala hata nguo bado unavaa maronya ..Wajinga tunawaona kama manyani .. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Ila katika mikoa yenye rekodi nzuri ya ulipaji kodi Pwani haiko mbali, sijajua inakuwaje hapo? Achana na hao Lindi na Mtwara…..
 
Kiswahili ni lugha iliyokua kwa maeneo tofauti kijana.
Kuosha mwili wazee walikua wakioga mitoni na katika maziwa usitudanganye kuwa kuoga mmeelekeza ninyi.
Mkwawa alikua akiandika kiswahili kwa kutumia alphabet za kiarabu kwa misamiati ya kibantu.
Au hujui safari ya kiswahili mpaka inakuja kukamilika kuwa lugha kamili!?
Una mengi unayajua kwa kusikia.
 
Ila katika mikoa yenye rekodi nzuri ya ulipaji kodi Pwani haiko mbali, sijajua inakuwaje hapo? Achana na hao Lindi na Mtwara…..
Mkuu Pwani hii ifuatilie kuanzia Mkoa wa Pwani hiyo Chalinze,Mlandizi,Kibaha,Mkuranga(vikindu&kisemvule),Bagamoyo walipaji kodi wakubwa ni kina nani.
Biashara kubwa na kati za waarabu,ofisi kubwa za wabara na wakaskazini kama vituo vya afya,vituo vya elimu na vituo vingine vya utoaji huduma za kati na chini.
Ukifuatilia wazawa kazi zao zile zile uvuvi na kupika visheti.
 
Shida yako Wewe unanipanga niandikaje wakati bando nimeweka mwenyewe, we kataa kubari mnaletewa chakula na bara.
Nashukuru umepata ka elimu, angalau umeweza kuandika Chakula badala ya Chakura.
Napenda wanafunzi warevu na wasikivu kama wewe. Haya nenda kapate mlo bora wa mchana ili uweze kuimarisha afya yako, usije ukadumaa kama wenzako wa kule karibu na Ludewa
 
Hamna mnachojua zaidi ya kunuka midogo , wengi meno yameoza kama mnakula kinyesi😳..Wachafu wezi wakubwa

Kule zenji ni kula bakora shenzi type!
 
Hamna mnachojua zaidi ya kunuka midogo , wengi meno yameoza kama mnakula kinyesi😳..Wachafu wezi wakubwa

Kule zenji ni kula bakora shenzi type!
Unaleta mipasho badala ya facts.
Ushaishiwa hoja mkuu we baki kujifirahisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…