mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
Mnaenda kutafuta pilau maeneo ya pale bondeni panaitwa kariakoo, hatari sana. Ukilala unayasikia mawimbi ya bahari usiku😅Ni mwendo wa mihogo mkuu! Nani ana time na nyama choma.
Nimesoma advance lindi sec 2006