Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Pwani mchanga tena hamna vumbi wala udongo labda uende wilayani wanapolima.
Mkuu,
1. Bagamoyo, Chalinze, Kisarawe huku kote kuna Tifutifu, maeneo yenye Mazao ya kushiba...

2. Hata kwenye mchanga kilimo chafanyika Dodoma na Kondoa nako ni mchanga lakini watu wanalima Karanga kupitiliza...

3. Njombe na Iringa kuna maeneo yanakataa mazao ya kawaida....udongo una aisidi kupitiliza.
Lakini watu wakajiongeza na Chai na miti...

4. Siyo kutembea tu, ila mimi na wenzangu tuna mashamba Chalinze, Kisarawe...
Tumeona uvivu wa watu wa Pwani...
 
Kwa mtazamo Wangu wengi wao ni wale wanaoamini Maisha matamu baada ya kifo! So wanawekeza zaidi huko kuliko kwenye elimu/Maisha DUNIA , sijui umenielewa?? Na zaidi ukichunguza Ni maeneo ambayo Mwarabu ndo alitia nanga kabla ya Watu toka Europe😁
 
Ho
Hivi kumbe kulima sana kwa jembe la mkono ni sifa?
 
Kutoka Kambi ya Ruvu pale kwenda Chalinze kufika Bwawani hadi Mwidu hadi Mpakani Morogoro...hapo kote ni pori.

Tokea Makurunge hadi Msoga, fika Wami hadi Mandela na hadi mkata huko kote...ni pori...

Mtu kalima basi ni robo heka...

Ambao mna damu ya huko mnaweza pinga sana coz ukweli unauma ila data hazidanganyi...
 
Nguvu nyingi akili kidogo... msuli tembo matokeo sisimizi
 
Unawajua wagogo vizuri
 
Pwani wanazalisha nn? Acha kukariri maisha nenda Mombasa kaangalie wanalima nn? Nenda Arusha kaangalie wanalima nn?

Umekariri kulima tu ,utapiamlo unatoka wapi kweny hiyo mikoa ya kilimo..


Basi kama hujui Muheza & lushoto ndio kuna matunda mengi kushinda mkoa wowote ule ,Handeni wanalima mahindi ya kulisha hata Tz nzima japo sio kwa wingi kama Ruvuma ila ni mengi... Ukienda mkinga watu wanalima mihogo.

Wengine ni uvuvi wa aina kibao ,huku kuna diaspora kibao usipenda kufananisha mikao ya huko na washamba wa bara ni vitu viwili tofauti.
 
Wenzao waliowaridhisha waarabu wanamafuta hata wakishinda kibarazani fuba linaingia huko. Wachangamke.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
So Pwani wanalima sana kwa Trekta....
Hongera mchapakazi unalima heka 10 kwa mkono unaambulia debe mbili

unanikumbusha mshkaji wangu Advance anakesha wiki nzima pure maths ikija na physics anapata 20%πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hongera mchapakazi unalima heka 10 kwa mkono

unanikumbusha mshkaji wangu Advance anakesha wiki nzima pure maths ikija na physics anapata 20%πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa hapo mfano wako haupo relevant,,coz Nyanda za Juu,Kanda ya Ziwa wanazalisha vyakula ambavyo vinalisha nchi nzima...tena Kula na kusaza....

Waulize Lindi na Pwani why hawakosi katika List la umaskini...
 
Kama ilivyo mikoa yenu inavyoongoza kwa ushamba, umalaya na roho mbaya.
Hahaha yani kwenye Umalaya mbona unatepeta sana...
πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Sitaji makabila ila kila mtu anajua Tabia za watu wa Mtwara, Tanga ....hivi tunahitaji kueleza.
Ushamba...?
Fanyeni kazi aiseeh, mna maeneo mazuri sana kwa kilimo,ufugaji na Uvuvi mubadilike.
 
Hiyo sio hoja Chief,,,uislamu haukumkataza mtu asitafute duniani yake na kuishi vizuri ila unasisitiza pambana utakavyo pambana ila usisahau kujitayarishia makazi yako ya akhera period
 
leta takwimu za ukimwi nchini nyie ni almarufu kupigana miti tu labda uchapakazi wa ngono zembe
 
Yani nyie hata kwenye Uvuvi bado sana....

Eti Handeni wanalima mahindi ya kutosha...🀣🀣🀣🀣...
Ndugu hapo imejidhihilisha haujawahi Fika Mbeya au Songwe ,ndiyo ungeelewa nini maana ya kilimo.

Taja hayo matunda unayosema wewe,,Machungwa na Chenza tu,ama?.

Mkuu, tembea kwanza kabla ya kubisha, kwa kilimo mikoa yenu bado sana...yani bado
 
Maneno yako ni sahihi kabisa.. Kama huko Pwani ukipita unaona mashamba makubwa kabisa lakini watu wa Pwani wameshindwa kuyatumia kabisa kulima hata mahindi na maharagwe, hata ng'ombe au mbuzi hawafugi wanawaza tu ngono na kuongeza mke. Kongole sana watu wa hii mikoa Loh!!
 
Mkuu mikoa inayozalisha matunda kwa wingi Tanzania ni Tanga na Pwani.
Kila mkoa una kitu chake hivyo usituaminishe totaly kwamba hiyo mikoa ni useless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…