greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Taja vijiji ulivyoona Kuna uvivu kama wa Chalinzee,Yote
Taja hapa wenyeji wapo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja vijiji ulivyoona Kuna uvivu kama wa Chalinzee,Yote
Naafiki.chalamila
Ahsanteee broo..hata huwaoni ktk mikoa inayohitaji chakula cha msaadaHao watu Wana Diaspora wengi wanaowatumia hela , hao Diaspora hasa hasa wapo Uarabuni.
By the way shughuli kuu ya watu wa mikoa hiyo ni uvuvi na shughuli hii hufanyika zaidi nyakati za usiku.
Kwa kifupi wakati wewe unarandaranda mabaani kusaka Malaya basi wao huwa baharini kupiga kazi.
Kingine inabid uwe Makin Sana ili uwaelewe hao watu maana unaweza kuchanganya " Uvivu" na " Uvuvi" ukashindwa kuwaelewa kwamba ni wavivu au ni wavuvi?
Hao wanapiga kazi mkuu ndio maana huwaoni kwenye orodha ya mikoa masikin Zaid nchini.
Uvivu au Uvuvi?Taja vijiji ulivyoona Kuna uvivu kama wa Chalinzee,
Taja hapa wenyeji wapo...
Hayo mazao pwani hawezi kulima hayana faida.Maneno yako ni sahihi kabisa.. Kama huko Pwani ukipita unaona mashamba makubwa kabisa lakini watu wa Pwani wameshindwa kuyatumia kabisa kulima hata mahindi na maharagwe, hata ng'ombe au mbuzi hawafugi wanawaza tu ngono na kuongeza mke. Kongole sana watu wa hii mikoa Loh!!
Ndio nakuambia huyo namjua ,wapo kibao wanamiliki minazi ,mashamba ya mihogo wanakaa town...Vijana sio rahisi kuwakuta mtaani wengi ni boaboda .Mkuu,
Sasa hapo umesema kuna Mzee, yani wa kuokoteza ...
Mwanza kuna mpaka Viwanda cha kuchakata Samaki ....yani wanasafirisha shehena ya kutosha.
UvivuUvivu au Uvuvi?
Huo uvivu wanaishia pesa ya kula tu na sio maendeleoHao watu Wana Diaspora wengi wanaowatumia hela , hao Diaspora hasa hasa wapo Uarabuni.
By the way shughuli kuu ya watu wa mikoa hiyo ni uvuvi na shughuli hii hufanyika zaidi nyakati za usiku.
Kwa kifupi wakati wewe unarandaranda mabaani kusaka Malaya basi wao huwa baharini kupiga kazi.
Kingine inabid uwe Makin Sana ili uwaelewe hao watu maana unaweza kuchanganya " Uvivu" na " Uvuvi" ukashindwa kuwaelewa kwamba ni wavivu au ni wavuvi?
Hao wanapiga kazi mkuu ndio maana huwaoni kwenye orodha ya mikoa masikin Zaid nchini.
mkuu mmewalaumu kwamba watu wa pwani wavivu sasa vijana wamejiongeza kufanya biashara ya kuuza vinywaji na mahindi kwenye mabasi bado unawaponda sasa wafanyeje.Acha kuwatetea hao wavivu..
Mkoa upo karibu na Dar ila wana umasikini wa kufa danganya ambao hawajatembelea huko rufiji, bagamoyo vijijini n.k
Mkoa wa pwani kama ungekuwa unakaliwa na watu kama wa Mbeya ungekuwa zaidi ya hapo.
Kingine mshukuru mungu mkoa wa pwani viwanda vingi vimejengwa wameajiri sana watu wa pwani. Mkuranga Kuna viwanda vingi. Kinyume na hapo ingekuwa shida.
Chalinze miaka na miaka hakuna lolote la maana zaidi ya vijana kuuza mahindi ya kuchoma kwenye mabasi ya mikoani
Uvivu ni matokeo ya maisha kuwa rahisiNadhani mtwara inaongoza Tanzania kwa uvivu! Ni sehemu pekee ambako saa moja asubuhi unakuta wanaume wanacheza bao au wapo kwenye vijiwe vya kahawa.
Ni sehemu pekee maisha ya wenyeji wanashindia mlo mmoja na wanaona ni sawa. Ni sehemu pekee ambako hata ukitoa kibarua mwenyeji ukisha mlipa elfu 3 harudi kazini hadi aitumie iishe . Ni sehemu pekee ambao vikongwe ndio wanaenda shambani vijana wanazurura mtaani
. Ni sehemu pekee ambako mtu akilima robo heka anahadithia nina shamba kubwa. Ni sehemu pekee ambako wafanya biashara wenyeji wameridhika wanafungua maduka saa nne asubuhi. Ni sehemu pekee ukienda duka la mwenyeji na elfu kumi ukitaka kununu kitu cha elfu 4 unaambiwa sina chenji na unaondoka na hela yako vinginevyo ukatafute mwenyewe chenji.
Tunashkru wakinga kuingia mji huu vinginevyo tungenyanyasika sana na hela zetu madukani. Ila kwa penzi na chumvi ni mkoa rafiki kuliko mikoa yote. Karibu mtwara tufaidi watoto wa kimakonde kwa elfu 2 hadi kwa mkopo bila kujali ni msichana au mke wa mtu. Ila ukisha mtongoza au kumla atafanya matangazo mtaa mzima. Hawana siri
Sio kweli mkuuNimetembea kote Tanzania hii Mpaka kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..
Watu wa huku wanakatisha tamaa Balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama singida au dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama mbinga au songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.
Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama makonda, mtaka, chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
Lima tunza subiri kiangazi unasafirishaSasa
mkuu mmewalaumu kwamba watu wa pwani wavivu sasa vijana wamejiongeza kufanya biashara ya kuuza vinywaji na mahindi kwenye mabasi bado unawaponda sasa wafanyeje.
Halafu nikuibie tu siri moja hiyo mikoa unayosema ina maendeleo labda kwa sababu ya miundombinu wala haikuwa juhudi ya wakazi wa eneo husika bali serikali tangu enzi ya ukoloni na enzi ya Mwalimu Nyerere walitilia mkazo wa kuweka miundombinu katika eneo hilo ikiwemo barabara,shule na viwanda.
Kwa mfano nikitolea kwa mkoa wa Mtwara barabara imekuja kujengwa baada ya Rais Mkapa kuwa Rais na kuweka daraja katika mto Rufiji ila kabla ya hapo usafirishaji ilikuwa shida mno.
Sasa kama mtu alikuwa na ndoto ya kuwa mkulima au mfanyabiashara mkubwa angemudu vipi kusafirisha mizigo kwenda kwenye masoko makubwa utagundua mtu huyu ameangusha na miundombinu automatically ambayo ni jukumu la serikali.
Mkuu...Ndio nakuambia huyo namjua ,wapo kibao wanamiliki minazi ,mashamba ya mihogo wanakaa town...Vijana sio rahisi kuwakuta mtaani wengi ni boaboda .
Pia kumbuka wana exposure kubwa tangu miaka ya 80's mwishoni kuzamia kwenda nje ,asilimia ya vijana wengi ni wa ukanda wa pwani huko nje. Pesa zinatumwa sana watu wanaishi.
Chakula cha kutosha tena aina tofauti ,huwezi kukuta utapiamlo kama kwenu wabara
View attachment 2960396
Kumbuka miundombinu ikiwa mibovu kila kitu utanunua kwa bei juu ikiwemo mbolea,dizeli/petroli ambapo mwisho wa siku utajikuta umetumia gharama kubwa sana hautaweza kupambana na bei ya soko au utauza kwa hasaraLima tunza subiri kiangazi unasafirisha
Nimewahi tafuta CHAI YA MAZIWA hapo mtwara nikakosa,hawafugi,na ukipata bei juu sababu maziwa almost ni kama hakuna kbsaNimetembea kote Tanzania hii Mpaka kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..
Watu wa huku wanakatisha tamaa Balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama singida au dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama mbinga au songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.
Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama makonda, mtaka, chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
Mkuu..Sasa
mkuu mmewalaumu kwamba watu wa pwani wavivu sasa vijana wamejiongeza kufanya biashara ya kuuza vinywaji na mahindi kwenye mabasi bado unawaponda sasa wafanyeje.
Halafu nikuibie tu siri moja hiyo mikoa unayosema ina maendeleo labda kwa sababu ya miundombinu wala haikuwa juhudi ya wakazi wa eneo husika bali serikali tangu enzi ya ukoloni na enzi ya Mwalimu Nyerere walitilia mkazo wa kuweka miundombinu katika eneo hilo ikiwemo barabara,shule na viwanda.
Kwa mfano nikitolea kwa mkoa wa Mtwara barabara imekuja kujengwa baada ya Rais Mkapa kuwa Rais na kuweka daraja katika mto Rufiji ila kabla ya hapo usafirishaji ilikuwa shida mno.
Sasa kama mtu alikuwa na ndoto ya kuwa mkulima au mfanyabiashara mkubwa angemudu vipi kusafirisha mizigo kwenda kwenye masoko makubwa utagundua mtu huyu ameangusha na miundombinu automatically ambayo ni jukumu la serikali.
Mkuu,ukanda wetu miundombinu ni mibovu kuliko Pwani...watu wanalima milimani huko,Kumbuka miundombinu ikiwa mibovu kila kitu utanunua kwa bei juu ikiwemo mbolea,dizeli/petroli ambapo mwisho wa siku utajikuta umetumia gharama kubwa sana hautaweza kupambana na bei ya soko au utauza kwa hasara
Hata huo Uvuvi basi, samaki wawe wengi na bei nzuri ila doh....Watu wa pwani ni wavuvi na sio wafugaji so maziwa yatoke wapi