greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Uvuvi wenu ni wa samaki wa Nyumbani tu,shida ndiyo iko hapo...Yani samaki wenu wanaishia hapohapo, ukifika Moro hauwaoni..Ilala wachapa kazi!?..kumbe hata bila kutumia nguvu ni kuchapa kazi!?... mtwara na Lindi hawana korosho!?..hawavui!...hakuna mgodi ruangwa!?hakulimwi karanga huko!?
Nenda Ziwa Victoria ukaone samaki...tena wanasafirishwa mpakan Arusha na Dar....
Shida kilimo chenu mwisho heka moja,,tena hapo mtu kajiongeza sana...
Mbegu hazipandwi kwa mstari,Matuta hamna...
Ukizungumza migodi, Nenda Mara na Kahama ukaone kazi....