Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Ahsanteee broo..hata huwaoni ktk mikoa inayohitaji chakula cha msaada
 
Hayo mazao pwani hawezi kulima hayana faida.
Watu wanapambana na ufuta, korosho minazi ndio mazao Yao.
 
Mkuu,
Sasa hapo umesema kuna Mzee, yani wa kuokoteza ...
Mwanza kuna mpaka Viwanda cha kuchakata Samaki ....yani wanasafirisha shehena ya kutosha.
Ndio nakuambia huyo namjua ,wapo kibao wanamiliki minazi ,mashamba ya mihogo wanakaa town...Vijana sio rahisi kuwakuta mtaani wengi ni boaboda .

Pia kumbuka wana exposure kubwa tangu miaka ya 80's mwishoni kuzamia kwenda nje ,asilimia ya vijana wengi ni wa ukanda wa pwani huko nje. Pesa zinatumwa sana watu wanaishi.

Chakula cha kutosha tena aina tofauti ,huwezi kukuta utapiamlo kama kwenu wabara
 
Hii mikoa jumlisha na Tabora ni ishu za kiroho zaidi hadi wale wakuu wa anga mabrigedia wa anga Hilo walioshikilia nguvu za kiroho walioseti standard limits ya maisha wasivuke mstari Fulani wa mafanikio watandikwe kiroho ili waachilie baraka kwa watu wa maeneo hayo ndipo watakuwa na maendeleo.
Hii mikoa ilifanyika matambiko ya kishirikina kuitambikia nchi moja ya masharti ya matambiko hayo ni kufunga fikra za maendeleo kwa maeneo hayo matambiko yalipofanyika.
Thus kutoboa mikoa hio ni lazima uwe umesimama vizuri kiroho.
 
Huo uvivu wanaishia pesa ya kula tu na sio maendeleo
 
Sasa
mkuu mmewalaumu kwamba watu wa pwani wavivu sasa vijana wamejiongeza kufanya biashara ya kuuza vinywaji na mahindi kwenye mabasi bado unawaponda sasa wafanyeje.
Halafu nikuibie tu siri moja hiyo mikoa unayosema ina maendeleo labda kwa sababu ya miundombinu wala haikuwa juhudi ya wakazi wa eneo husika bali serikali tangu enzi ya ukoloni na enzi ya Mwalimu Nyerere walitilia mkazo wa kuweka miundombinu katika eneo hilo ikiwemo barabara,shule na viwanda.
Kwa mfano nikitolea kwa mkoa wa Mtwara barabara imekuja kujengwa baada ya Rais Mkapa kuwa Rais na kuweka daraja katika mto Rufiji ila kabla ya hapo usafirishaji ilikuwa shida mno.
Sasa kama mtu alikuwa na ndoto ya kuwa mkulima au mfanyabiashara mkubwa angemudu vipi kusafirisha mizigo kwenda kwenye masoko makubwa utagundua mtu huyu ameangusha na miundombinu automatically ambayo ni jukumu la serikali.
 
Uvivu ni matokeo ya maisha kuwa rahisi
 
Sio kweli mkuu
 
Lima tunza subiri kiangazi unasafirisha
 
Mkuu...
1.Watu wa Pwani walioenda wengi ilikuwa kukimbia kipigo cha Mwana Pwani mwenzenu, mkapa...Tanga na Zenji

2.Mihogo inalimwa hadi Mbalali...Minazi siyo zao la kukaa na kujisifu.

3.Yani,wengi wamekaa kungoja hela za kutumiwa, hicho ndiyo chasabisha Uvivu...

4.Hayo mazao unayosema mengi yapo Wilaya 4 tu....tena hayatoshi kufika hata Iringa...

5.Mpaka Wagosi wa Kaya waliimba kwenye Tanga kunani paleee....
 
Nimewahi tafuta CHAI YA MAZIWA hapo mtwara nikakosa,hawafugi,na ukipata bei juu sababu maziwa almost ni kama hakuna kbsa

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu..
Kigoma ilikuwa haina barabara mpaka Kikwete ndiyo akajenga....

Kwenda Mwanza ilikuwa lazima uingilie Kenya mkuu,Barabara imejengwa na mkapa

Njombe,Mbeya,Ruvuma nako hivyo hivyo...
Barabara ni janga la Kitaifa...


Pwani kuna Bandari zote tatu,ndiyo ukanda wenye Viwanda vingi nchini...

Mkoa wa Pwani ina shule za Sekondari na Advance tangia enzi...
 
Kumbuka miundombinu ikiwa mibovu kila kitu utanunua kwa bei juu ikiwemo mbolea,dizeli/petroli ambapo mwisho wa siku utajikuta umetumia gharama kubwa sana hautaweza kupambana na bei ya soko au utauza kwa hasara
Mkuu,ukanda wetu miundombinu ni mibovu kuliko Pwani...watu wanalima milimani huko,
Yani huko kuna vijiji kwenda ni shida.....

Pwani pamebarikiwa sana sema tu watu wake dah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…