Kwa njia za kawaida, uwezo huo hauna. Ila kiheshima, eti unao….

Sasa mtu form tu hapo alifaulu kibahati huko mbeleni PhD ya class angemudu kweli, muache bhn apewe hiyohiyo ya mchongo/fake ndio size yake!.
 
Wanapewa kwa sababu wanaowapa wanajipendekeza tu, huyo bimdashi ana mchango mkubwa? Upi?
Wahindi wamepata taarifa za kiintelijensia kuwa Bibi anapenda sana sifa na nchini kwake ana vikundi vya kumsifia maarufu Chawa;Wazee wa kazi wa India wakapendekeza kwa PM Modi kuwa akija mpeni PhD ya mchongo ili waendelee kula mema ya nchi ya Tanzania.
 
Sasa mtu form tu hapo alifaulu kibahati huko mbeleni PhD ya class angemudu kweli, muache bhn apewe hiyohiyo ya mchongo/fake ndio size yake!.
Form four ipi aliyofaulu!🤣
 
Muacheni Mama Abdul jamani!🤣🤣🤣🤣
 
Kuna mtu alipata PhD ya mafuta ya korosho! Waliojaribu kuhoji juu ya hiyo PhD walipotea mpaka leo familia zao hazijui wako wapi.

Normal people like you think PhD is something.....but anyone can get it.
 
Kwa sababu hii PhD ni ya pili, chawa wa mama watanza kumwita kwa zote mbili yaani Mheshimiwa Dr, Dr....
 
Chiizi wa chatttle mbona alikuwa 'na elimu ya magumashi,

Ww mbbwa piga kelele,lakini samia ndo rais hadi 2040 inshallah,baada ya katiba mpya anapiga tena miaka kumi,waziri mkuu atakuwa Januari makamba,makamu kinana .
 
Dr Dr Samia Suluhu Hassan. Hapo vipi?
 
Tatizo kubwa la nchi Sasa hivi ni:

  • Uchawa
  • Kuwa na viongozi wanaoabudu pesa, na uwezo mdogo vichwani.
 

Attachments

  • Polish_20230127_174111622.jpg
    127 KB · Views: 1
Una hoja japo nyuma ya pazia....Wasukuma mmegoma kumkubali Samia kabisa🤣🤣🤣🤣
 
Now let’s face it. Katika hali ya kawaida, Samia hana uwezo wa kusoma na kufaulu mpaka kiwango cha PhD.
I'd like to differ, PhD za kusomea ziko za aina mbili, by thesis, and course work and dissertation.

PhD nazo pia ni relative zinafuata principles za relativity, sisi Tanzania na vyuo vingi duniani vina PhD za academic, lakini sasa dunia imebadilika, kuna PhD za lobbying and advocacy, kuna PhD za negotiation wahitimu wanaitwa the negotiators, kuna PhD za interior decorators, kuna PhD za hair stylish, kuna PhD hadi za comedy!, India kuna hadi PhD za magic, kuna PhD za public speaking, kuna PhD za strategic thinking, kuna PhD za peace and reconciliation, etc etc.

Kwa Samia anayoyafanya kwenye eneo la kuliponya taifa letu kwa yale tuliyopitia kipindi cha yule Homeboy wetu, maridhiano, kuunda kikosi kazi, anakwenda kubadili sheria ya uchaguzi na kutuundia Tume Huru ya Uchaguzi, mwisho anatuletea katiba mpya, tungekuwa na vyuo vikuu vyenye study hiyo, Samia angeweza kabisa kupata PhD ya thesis.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…