Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
AnastahiliJuzi hapa Rais wenu kapewa tena udaktari wa heshima huko India.
Hili kweli is not right, PhD za honoria causa, hazibadili title ya mtu kuitwa Dr!. Mwalimu Nyerere alipewa na hakuitwa Dr, Ali Hassan Mwinyi alipewa na hakuitwa Dr. Benjamin Mkapa alipewa na hakuitwa Dr. Jakaya Kikwete alipewa na akaitwa Dr, sasa kama JK aliitwa Dr kwa PhD ya honoria causa, na hatukusema wala kupinga, now Mama kapewa, why sasa ndio tunasema na tunapinga?.Tayari sasa katika utambulisho wake, watu wameshaanza kumwita eti Dr. Samia Suluhu Hassan.
Tuiombe TCU ilifafanue hili, nakuikumbuka vizuri hoja ya Prof. Kironde.
Usikute sio yeye, au usikute...Naye kwa kupenda ujiko, hata hagomi kuitwa hivyo.
ila kwa vile JK aliitwa na hakugoma, why not her?.
Sisi washauri wa bure, tumeikubali hii title ni well befitting her na tumeshauri Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?
P