Pre GE2025 Kwa Respond hii ya Kariakoo, kuirudisha Serikali ya CCM madarakani itabidi tujitafakari

Pre GE2025 Kwa Respond hii ya Kariakoo, kuirudisha Serikali ya CCM madarakani itabidi tujitafakari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mjinga wewe kudhani kuwa sio tatizo la kisiasa..!

Hawa viongozi wanaotunga sera za ujenzi na kufanya maamuzi wametoka wapi kama sio kupitia michakato ya kisiasa...?

Wewe unadhani ni kina nani wanaopanga na kupitisha bajeti za mapato na matumizi ikiwemo bajeti ya kuimarisha taasisi za uokozi kuhakikisha Zina vifaa vya kuokolea wakati wa majanga kama sio wanasiasa hawa walioko madarakani wakiwemo wabunge...??

Ni mtu mwenye akili zilizokufa tu kudhani kuwa hayo ni mapenzi ya Mungu kutaka watu wafie kwenye jengo lililojengwa chini ya kiwango na binadamu kwa sababu ya rushwa...!!

Ndiyo, rushwa. Kwa sababu inawezekana kibali cha ujenzi kilipatikana kwa rushwa, consultant kwa sababu ya rushwa alikuwa anaziona kasoro za kujenga chini ya kiwango mapema, lakini hakuchukua hatua kuepusha janga kama hili kwa sababu tu alipewa kitu kidogo kumfumba mdomo...

Rushwa, rushwa, rushwa ndilo tatizo....................!!!!

Na hili linaanzia kwenye michakato ya kupata viongozi tunaowaweka kufanya maamuzi na kusimamia mipango na sera zikiwemo za ujenzi....

Kama kiongozi aliipata nafasi hiyo ya uongozi kwa njia ya rushwa, usitegemee akafanya maamuzi sahihi ktk kusimamia ustawi wa watu anaowaongoza...

Kiongozi wa namna hii hana tofauti na jambazi mwizi na muuaji...

KWA HIYO: Siasa na wanasiasa ndiyo wanaamua kila kitu katika maisha yako....

Wanaamua hali ya uchumi wa nchi, ujenzi na makazi ya watu, elimu, maji, umeme, ujenzi wa barabara, muabudu au msiabudu nk

Kwa hiyo acha kuwa mjinga. Jielimishe Ili uyajue sawasawa mambo haya...!!!
Yaah mimi ni mjinga sana mkuu, Ni
Mjinga kiasi kwamba nimeshindwa kutambua siasa inavyochangia kutokea kwa Majanga...

Ikiwemo ilivyochangia mafuriko kule Arusha, maporomoko ya ardhi kule HANANG ..

Pia sijaona Siasa mbovu za nchi kama china mpaka hili jengo likaanguka bila sababu mwaka 2009 .

Wewe ni Genious sana, unaona mbali 👏👏
china_1432267c.jpg

NB: Siasa China ni hovyo sana, just imagine walishindwa kusimamia ujenzi wa hili jengo 😆😆
 
Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.

Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?

Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".

Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.

View attachment 3153700
 
Attachments

  • IMG-20241116-WA0046.jpg
    IMG-20241116-WA0046.jpg
    226.5 KB · Views: 2
  • IMG-20241117-WA0000.jpg
    IMG-20241117-WA0000.jpg
    141.8 KB · Views: 1
Sio vyema kutafuta kiki za kisiasa muda huu wa uokoaji
Wewe ni punguani. Watu kutoa maoni yao ni kiki za kisiasa? Wewe unakumbuka ulianzisha nyuzi ngapi zenye lengo la kuwapaka matope watu wakati wa shambulizi la LISU? huku ukiwa unajua aliyemshambulia?
Lisu hakuwa binaadamu?
 
kiazi kweli wewe kila jambo mnatafuta mtoke vipi hamjali uhai wa mwanadamu
 
Unaleta siasa kwenye mambo ya maafa, maandamano yanaweza kugeuka na kuwa kikundi cha mapinduzi yakapindua serikali. Hivyo basi ni lazima yadhibitiwa mapema kwa nguvu zote, huwezi kufananisha na maafa yanayotokea ghafla bila kupangwa na watu
Sasa hata kukitokea mapinduzi, kama ikipinduliwa Serikali kama hii ya kwetu, kuna hasara yoyote utakayoipata?

Serikali inayobaka mamlaka ya wananchi ya kuchagua Serikali wanayoitaka, hata ikipinduliwa hakuna ubaya wowote. Lakini kama Serikali imepatikana kupitia mifumo halali ya uchaguzi halafu wahalifu wachache wakaipindua, hayo ni kweli yanakuwa maafa katika mfumo wa utawala, na hayapaswi kuvumilika.
 
Tatizo la Tanznaia ni ccm.
Kwa kweli CCM ni janga kubwa kwa Taifa. Yaani serikali ya CCM hakuna jema inayoliweza, zaidi ya uovu. MV Bukoba watu walipotea kwa uzembe. Ajali ya ndege Bukoba, uzembe mtupu. Ajali mbalimbali zinazohitaji uokozi, hakuna wakati ambapo Serikali imewahi kufanya kama inavyotakiwa. Wanachokiweza ni uovu wa kupora uchaguzi, kufanya ufisadi, kuteka na kuua watu!!
 
Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.

Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?

Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".

Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.

View attachment 3153700
Na hapa ndo dar
Pata picha ingekuwa mkoa?
 
Kwa kweli CCM ni janga kubwa kwa Taifa. Yaani serikali ya CCM hakuna jema inayoliweza, zaidi ya uovu. MV Bukoba watu walipotea kwa uzembe. Ajali ya ndege Bukoba, uzembe mtupu. Ajali mbalimbali zinazohitaji uokozi, hakuna wakati ambapo Serikali imewahi kufanya kama inavyotakiwa. Wanachokiweza ni uovu wa kupora uchaguzi, kufanya ufisadi, kuteka na kuua watu!!
Wanaweza haya
Screenshot_20241116-162911.jpg
 
Maafa gani yametokea?
Nilikuwa napiga raundi huko nje ndio kwanza narudi.
No doubt sasa hivi nitajua jambo gani limetokea.
Nilikuwa napita barabarani nimeona leo Waziri Mkuu alikuwa busy.
Nimemwona msafara wake unapita toka nyumbani kwake saa saba mchana.
Halafu baada ya sixty minutes akarudi nyumbani kwake.
Halafu obviously alitoka tena,kwa sababu jioni nimeona msafara wake tena.
Nikawa nafikiria tu,"Hivi huyu Waziri Mkuu hajui kwamba anasumbua watu sana na hii nenda- rudi,kwa sababu magari inabidi yasimamishwe.
Watu katika vifusi.?Hebu nicheki hizi habari.
 
Back
Top Bottom