Kwa sasa, huenda hawa wakawa ndio Wanawake bora wa kuoa

Na mimi nataka huo urojo

Humu kuna wanaume wenye makelele sana na huwezi kuta nafokeana na mtu kama wewe nk, ila wale vichwa panzi lazima tuwakumbushe kidogo ili wakae kwenye mstari waache kuleta sheria na masharti humu sio kwao
 
Na uzee huu kunifokea utanionea tu. Ntakua nimekufanya nini hadi tufokeane?

Kuna ka Gen Z kanaitwa binti kiziwi ndio kananifanyia vurugu bila kujali umri wangu.

Urojo utauweza weye? Unawekwa ukali, mishkaki, source vichips, viazi mbatata, pilipili...orodha ni ndefu kwakweli.
 
Jamaa yangu moja kuna demu alikuwa naye anafanya kazi hotelini kila akisafiri kwenda huo Mkoa alikuwa analala hiyo hotel anajupigia huyo demu.Mwaka jana ameoa kabisa-hakutaka mambo mengi.
 
Wahudumu wa Bar wanaolewa sana,hasa kule Mkoa wa Njombe kuna e nawajua wameolewa.
Pia nina jamaa ninamfahamu alioa mhudumu wa Bar sasa hivi wana watoto 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…